alaksh natena
JF-Expert Member
- Oct 4, 2017
- 462
- 523
Mkuu mshana nakushukuru sana sasa kumbe hii dawa naipata kwenye maduka ya dawa za kisuna bila shaka?Hapana ni dawa fulani kama magadi ukiinywa kama kuna kitu kibaya tumboni kinatoka
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu mshana nakushukuru sana sasa kumbe hii dawa naipata kwenye maduka ya dawa za kisuna bila shaka?Hapana ni dawa fulani kama magadi ukiinywa kama kuna kitu kibaya tumboni kinatoka
shughulikia hii ndoto KAMA NI MKRISTO au sio mpe YESU MAISHA YAKO pata mafundisho sahihi ya kuombea ndoto nenda facebook mtafute Mwalimu Christopher Mwakasege (Mana Ministry) amefundisha namna ya kuomba usipo omba uwezi vuka kimaishaMkuu samahani mm Mara nyingi naotaga nipo darasani shule ya msingi au sekondari nilizo soma,ajabu ni kwmba haipitagi cku tatu bila hii ndoto kujirudia,mara nyingi nikiwa nafanya mtihani au maandalizi nikiwa na hofu nyingi ya paper alafu ni madhari ya kweli niliyosoma ata walimu na wanafunzi ni walewale yaani utafikiri ni rekodi.
Ni kweli nilikua napenda sana kusoma ila ilitokea nikakwama aliyekua ananilipia ada naye akaniambia nisubiri uchumi umedorora,nikaingia kusaka pesa niendelee ila nikatafakari nikiingia shule pesa sitapata tena ,ikawa ndio bc tena
Naweza nisiwe na tafsiri sahihi kabisa kwakuwa ulimwengu wa ndoto ni mpana sana ila hilo la kwako kulikuwa na hatari zinakukabili lakini ukawa unanusurika nazoMkuu mshana pole na majukumu...naomba nitoke Kidogo nje ya mada...niliwahi kuota ndege mwenye Rangi tofauti tofauti na mdomo mrefuu amening'ata mkono wa kulia...ukaoza...nikashtuka...juzi juz tena niliota paka mweusi then amechokaa meno makali sana...napigana nae..kila akija nampiga teke..kama Mara Mbili hivi...Mara ya tatu akaning'ata mkono wa kulia...nisaidie mkuu nijue...tatizo li wapi?au inamaanisha nini?ahsante mkuu
Ahsante mkuuNaweza nisiwe na tafsiri sahihi kabisa kwakuwa ulimwengu wa ndoto ni mpana sana ila hilo la kwako kulikuwa na hatari zinakukabili lakini ukawa unanusurika nazo
Asante, siasa zinatupotezea elimu hii bila ada....nalimisigi hili class, haaya baba achana na frustration za wanasiasa lete vitu adimu.Vema tukarejea kwenye mada zetu hizi... Huko siasani ni tabu tupu... Kunaweza kukufanya mtu sometimes uwe na frustration zako... Nitajitahidi nisiende tena kule.... Japo naona kama naidhulumu nafsi.....
Dhana ya kula chakula ndotoni si jambo baya si jambo la ajabu japo kuna wakati huambatana na matatizo ya kisaikolojia kwa sehemu! Lakini lazima tutambue kuwa lazima tuote kuota ni lazima na kuna ndoto baadhi hazina maana yoyote zaidi ya kumbukumbu ya yaliyopita.....
Kuota mara kwa mara unakula ni ishara ya kutamani kufanikisha jambo fulani katika maisha, hamu ya kuwa na mahusiano , mali ama mafanikio yoyote yale.. Chakula ni uhai bila chakula uhai uko shakani hivyo kuota unakula ni dalili za kutaka kupata uhai kwenye jambo fulani
Lakini vilevile kuota unakula hutokana na kutamani chakula fulani lakini ikatokea hukukipata lakini ufahamu wako ukahifadhi ile hamu na usiku unapolala roho yako huondoka na kwenda kutafuta chakula husika na kuiridhisha nafsi tamanifu....
Sasa turudi kwenye mada... Kuota unakula nyama na kulishwa nyama... Kuna tofauti kubwa hapa
Kuota unakula nyama ni tafsiri ni dalili ya kutaka mafanikio ama kufanikisha jambo lako kwa njia ya kudhuru ama kuumiza wengine.. Yani ufanikiwe wewe lakini ukiacha wengine na madhara... Nyama inatokana na kuondosha uhai wa kiumbe hai kingine... Hii hutokana na mawazo tuwazayo bila kujua madhara yake kiroho... Kwa mfano penzi linazingua unatamani kurekebisha mambo lakini masharti ya mtaalam unatakiwa upate kuku wa kafara....
Ni kitu kama hiki... Unatamani cheo kazini, mvuto ama umaarufu nk unaambiwa dawa yake lazima itengenezwe na damu na mzoga wa mbuzi... Ni vitu kama hivi... Hivyo kupitia ndotoni hujidhihiri kwa njia ya kula nyama. Kwamba unashibisha nafsi huku kiumbe kikipoteza uhai
Sasa linapokuja suala la kulishwa nyama ndotoni... Hiki ni kitu tofauti kabisa.. Hizi ni ndoto zenye kuakisi uhalisia.. Ni ndoto za kichawi na unacholishwa ni nyama halisi kwa njia za kishirikina na nyama hizo si nzuri si nyama za wanyama tulao bali ni nyama za mizoga ya kenge nyani mbweha fisi konokono hata panya nk...
Sio nyama nzuri kwakuwa zina madawa ya kudhuru kiroho na hushibisha na hata kuvimbiza.. Hujaza tumbo kabisa na kukufanya ushindwe kula chochote.... Na tafsiri yake ni moja tu kukufunga usifanikiwe tena kwenye lolote.. Kwamba ukishakula na kushiba huwezi kula tena....
Namna bora ya kutatua tatizo hili ni kitunguu saumu na ndimu tuu... Kabla ya kulala hakikisha unalamba ndimu au kutafuna kipande cha kitunguu saumu ama vyote kwa pamoja... Kwa njia hii utakuwa umeidhibiti hiyo hali
Jr[emoji769]
Mkuu mshana pole na majukumu...naomba nitoke Kidogo nje ya mada...niliwahi kuota ndege mwenye Rangi tofauti tofauti na mdomo mrefuu amening'ata mkono wa kulia...ukaoza...nikashtuka...juzi juz tena niliota paka mweusi then amechokaa meno makali sana...napigana nae..kila akija nampiga teke..kama Mara Mbili hivi...Mara ya tatu akaning'ata mkono wa kulia...nisaidie mkuu nijue...tatizo li wapi?au inamaanisha nini?ahsante mkuu
kazi ya kufasiri ndoto ni ya ROHO MTAKATIFU na ROHO MTAKATIFU ASEMI NJE YA NENO LA MUNGU BIBLIA SOMA ZABURI 119;105Ahsante mkuu
Mkuu barikiwa sana...hayo usemayo ndio napambana nayo sana....I'm speechless... Nishauri zaid nifanyaje?SOMA MITHALI 3;16 UTAJIRI NA HESHIMA VIMEPIGWA NA KUZIMU inafanyaga kazi na unapokea pesa ila pesa zina peperuka jaanu ufanyi kitu cha maana sasa mpe YESU MAISHA YAKO TOA SADAKA NA ZAKA IAMINIDAMU YA YESU ITUMIE
Kwa ufupi uchumi wako umepigwa
Mmh kuna ndoto huja kinyume ukiota unaokota pesa unaeza ukapotezaMshana nimechelewa mada mm mgeni humu niliota niko kwenye basi naabiria wachache mara kdgo pesa zikawa zina ruka juu ndani ya basi nikawa naokota naweka kwenye malboro naabiria wakawa wananisaidia muda kdgo nikashuka na malbro ya pesa hiyo ndoto vp