Rayban/p
JF-Expert Member
- Jun 30, 2015
- 1,269
- 917
Basi me siku zingine unakuwa fresh kabisaa nashtuka lakin kuna siku naona wananiwahig[emoji28][emoji28]Mlango wako wa sita wa fahamu uko vizuri
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Basi me siku zingine unakuwa fresh kabisaa nashtuka lakin kuna siku naona wananiwahig[emoji28][emoji28]Mlango wako wa sita wa fahamu uko vizuri
Mkuu mshana Jr Je, ikitokea sasa katika kwenda kwake kwa mganga ili atoe uhai wangu akapewa hilo beseni la maji ili achome , na kweli kafanikiwa kuchoma bila kusita , lakini kumbe na Mimi Nina kinga imara hapo inakuaje?Unajua watu hufa kabla ya kufa kabisa... Mtu anakuonea kijicho anakuendea kwa mganga ili akuondoe duniani.. Anapewa beseni la maji mara anaona sura yako majini. Anapewa kisu achome yale maji akisita umepona na huko uliko utashtuka toka kwenye ndoto mbaya ya kifo... Asiposita umeondoka
Lakini vilevile usiku roho huenda kuvinjari ulimwengu huko hukutana na hathatari mbalimbali na ndio mwanzo wa ndoto za kifo
Kinga yenye nguvu ndio inashinda...ndio maana wengine hufarikiMkuu mshana Jr Je, ikitokea sasa katika kwenda kwake kwa mganga ili atoe uhai wangu akapewa hilo beseni la maji ili achome , na kweli kafanikiwa kuchoma bila kusita , lakini kumbe na Mimi Nina kinga imara hapo inakuaje?
Mshana! Juzi nimeota MBWA wangu wameua nyoka Wawili katikati ya uwanja wa Nyumbani. Hao mbwa nimewafuga kwa ajili ya ulinzi. Nini tafsiri yake?
Walikuwa wanga na walikuwa wamebeba kivuli chake, walikuwa wanaenda kukizika.Mkuu Mshana Mm Niliwahi ota watu kama wanne hv wamebebe jeneza lakini wanalia hawataki niangalia Yaan ni kuwa lile jeneza ni kama limewazidi hawawezi kutembea wanalia tu m nawashangaa nawauliza watu wngne wapo wapi wawasaidie hawanijibu hamadi jeneza likawashinda likaanguka ndani maiti kumbe ni Mume wangu nkashtuka Sana halafu wamemfunga sanda Ila Mzma kabisa half nkamtambua mzee mmoja ambae mpk Leo kama hanipendi kabisa Hyo ndoto ilikuwa mwaka jana January miezi minne baada ya kuanza kuishi na mume wangu naogopa kamsimulia kabisa ina maana gani hii ndoto?
Aiseeee sasa Napata picha kamili Asante kaka aisee walimwengu wabaya Sana anawaambia watu mm mkali wakati sijawahi Ht bishana nae zaidi ya salamWalikuwa wanga na walikuwa wamebeba kivuli chake, walikuwa wanaenda kukizika... Wangefanikiwa ndio ingekuwa mwisho wake kwenye ulimwengu wa mafanikio yoyote na kila kitu kingesambaratika... Wewe ndio ulikuwa mwokozi wake
NitarejeaMkuu mi nimeota Mzee wangu ambaye ni marehemu tayari amenunua magari mawili yaani jeupe na la kahawia.
katika ndoto iyo mara ya kwanza nipo mimi na yeye katika gari mojawapo na yeye ndio anaendesha tunatoka nyumbani tunapoishi tukaekelea sehemu yetu ya biashara kisha tukarudi nyumbani.
Baada ya kufika tukakuta wageni ambao walikua nyumbani wanataka kuondoka ivyo nikamuomba baba funguo za gari ili niwapeleke hadi kituo cha bodaboda wakapande maana sina leseni ivyo naogopa kuwafikisha mbali nitakamatwa na trafiki.
Katika kuendesha nikawa mtu ambaye yani sijiamini kabisa yani hata gari likawa linayumbayumba kama vile baiskeli inayoendeshwa na mtu anayejifunza.
Tulipofika kituo cha boda boda nikawashusha ila cha kushangaza wakawa wananilipa shilingi elfu moja kila mtu na jumla walikua kama wanne ivyo ikawa kama elfu 4 ivi.Nikazipokea lakini badae nikaona aibu baada ya kumuangalia mmoja usoni ambaye ni jirani yetu (ambaye ndio namkumbuka kati ya wale wageni nilioowaota) nikaamua niwarudishie wote ela zao wakafurahi kisha nikaanza safari ya kurudi nyumbani huku nikiendelea kuendesha ivyo ivyo kwa wasiwasi.
Tafsiri yake nini mkuu?
Mkuu nilikua Pm,abt a month ago.Kimya[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] nia ni kusaidia sio personal gainings... Hasa kifedha
Namna nyingine, Kimsingi maisha tuishiyo yapo pande 2, a)Ulimwengu wa roho (Giza na Nuru) na b) Ulimwengu wa mwili. Jambo lolote ktk maisha tuishiyo chanzo chake huanza ktk roho ndipo hutimilika ktk mwili. Japo kuna baadhi ya mambo huishia ktk roho hayajidhihirishi ktk mwili kutokana na sababu mbalimbali.Asante mkuu...naomba nitoke nje ya mada niulize...niliwah kuota nimekufa na nimewekwa kwenye jeneza ina maan gani ndoto hii?!
Roho tamanifu hukutoka na kwenda kupata moja baridi[emoji13]Vipi kuhusu kuota unakunywa pombe/ kilevi.
Nimeota karibu mara NNE nakunywa pombe Na sijawahi kuonja au kunywa pombe.
Ndoto ya hivyo itakuwa inamaanisha nini? Msaada hapo