Tofauti na tafsiri ya kula na kulishwa nyama ndotoni

Tofauti na tafsiri ya kula na kulishwa nyama ndotoni

Nipo huru mkuu sina hiyana na mambo ya imani mimi
Ok
Search utube ,christopher and Diana Mwakasege...ana masomo ya ndoto full na anaelekeza namna ya kuombea we mwenyewe bila kumtegemea mtumishi au mtu yyt!

Pia utapata na majibu ya ndoto nyingine !
 
Ok
Search utube ,christopher and Diana Mwakasege...ana masomo ya ndoto full na anaelekeza namna ya kuombea we mwenyewe bila kumtegemea mtumishi au mtu yyt!

Pia utapata na majibu ya ndoto nyingine !
Ubarikiwe mtumishi wa bwana
 
Mkuu mimi nimeota ndoto naendesha ndege lakini kila nikijaribu kuipaisha inagoma na haikupaa mpaka nikaamua kuipaki tu hii maana yake nin
 
Mkuu mimi nimeota ndoto naendesha ndege lakini kila nikijaribu kuipaisha inagoma na haikupaa mpaka nikaamua kuipaki tu hii maana yake nin
Kuna jambo unajaribu kulitimiza lakini halitimii
 
Asante mkuu...naomba nitoke nje ya mada niulize...niliwah kuota nimekufa na nimewekwa kwenye jeneza ina maan gani ndoto hii?!
Ukiota hivyo ujue hauna mahusiano mazur na Mungu wako, yan Maisha yako kiroho hayapo sawa ,umekufa kirohoo. Ukijarb kurud katka njia sahihi hutoota tena
 
Imenibidi niitafute hii nyuzi asubuhi asubuhi, nimeota ndoto ya hovyo hovyo tu leo, kwanza nimeota nakula mahindi though sijui nilitoa wap, baada ya mahindi nikapewa kipande cha nyama ya kuku hapo nilikua katika Kijiji ambacho sikifahamu baada ya gari niliyopanda kusimama kwenye hicho Kijiji nikiwa na watu ambao siwafahamu.

(Jana nilikula kuku wa kutosha so sio kwamba nafsi ilikua inatamani)
 
Imenibidi niitafute hii nyuzi asubuhi asubuhi, nimeota ndoto ya hovyo hovyo tu leo, kwanza nimeota nakula mahindi though sijui nilitoa wap, baada ya mahindi nikapewa kipande cha nyama ya kuku hapo nilikua katika Kijiji ambacho sikifahamu baada ya gari niliyopanda kusimama kwenye hicho Kijiji nikiwa na watu ambao siwafahamu. (Jana nilikula kuku wa kutosha so sio kwamba nafsi ilikua inatamani)
Inawezekana ni kumbukumbu tu ya ulichokula mchana ama la chama la wana walikuletea dinner
 
Samahani naomba nifafanulie kidogo walau hii ndoto mbaya sana niliota lafiki yangu wa kike ila simjui kaniomba nimsindikiz kwa mganga baada y kufik tukangoja mtej atoke ivofik zamu yetu gafla waganga wawil wasaidiz wakaingia na fisi mkubwa ndani ya kichumba kisha akatokea mganga mkuu wa kike anatisha akaanza kunikalipia kuwa niondoke mimi sio mwenzao nikaanz kutapik Kama ivi kisha shoti y radi Kama ilikuw inapiga mwili wangu naishiwa nguvu nikaanza kutambaa kuelekea nje uku natetemeka naogopa Yule mtu kakazana toka toka toka wewe sio mwenzetu
Nini hii ndoto
 
Hivi ukiota unalishwa kitu kibaya na ikapita miaka mitano tiba yake nini ili kuondoa madhara?
 
Samahani naomba nifafanulie kidogo walau hii ndoto mbaya sana niliota lafiki yangu wa kike ila simjui kaniomba nimsindikiz kwa mganga baada y kufik tukangoja mtej atoke ivofik zamu yetu gafla waganga wawil wasaidiz wakaingia na fisi mkubwa ndani ya kichumba kisha akatokea mganga mkuu wa kike anatisha akaanza kunikalipia kuwa niondoke mimi sio mwenzao nikaanz kutapik Kama ivi kisha shoti y radi Kama ilikuw inapiga mwili wangu naishiwa nguvu nikaanza kutambaa kuelekea nje uku natetemeka naogopa Yule mtu kakazana toka toka toka wewe sio mwenzetu
Nini hii ndoto
Mmh kuna nyakati roho zetu husafiri tunapolala na kukutana na mambo ya ajabu, kuna wakati ni mambo ya kweli unachotakiwa kujali ni kama je ndoto hiyo inajirudiarudia?

Vilevile kumbuka kuota ni lazima na huna uwezo wa kujichagulia ndoto za kuota
 
Mkuu habari ya leo, nisahidie hii tafsiri ya ndoto; ukiota upo shuleni siku ya mwisho ya kumaliza shule basi ktkt zile shangwe za kumaliza shule wanafunzi wakawa wananikimbilia wakinikumvatia wengine wakike wakinibusu wengine wakitaka niwaachie vitu vyangu, kutokana na ule umati mkubwa nikawa nakimbia kwa furaha hufiki mbali wengine wanatokea wana kukumbatia kwa furaha wakati mimi sisomi nilisha malizaga shule. Inakuaje hii ktk tafsiri.
Asante
 
Safari ya kimaisha na changamoto zake tafsiri ya picha kwenye ulimwengu wa roho ni pana sana KIASI kwamba ni ngumu kutoa tafsiri moja labda tu kwa zile ndoto zinazojirudia
 
Back
Top Bottom