Uchunjuba Punjubi
JF-Expert Member
- Jul 1, 2017
- 799
- 622
Ukila ndimu na kitunguu swaumu ni tiba ya kudumu au ni ya muda
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Je kwenu kuna mtu ambae anakunywa? Yaani baba ,babu nk....Vipi kuhusu kuota unakunywa pombe/ kilevi.
Nimeota karibu mara NNE nakunywa pombe Na sijawahi kuonja au kunywa pombe.
Ndoto ya hivyo itakuwa inamaanisha nini? Msaada hapo
Kuna wakati Mumgu anakupa taarfa ya knachofanyika ktk ulimwengu wa roho ili uchukue hatua sio kukaa tu,likija kutokea utasema niliota kumbe Mungu anakupa taarifa!Mkuu Mshana Mm Niliwahi ota watu kama wanne hv wamebebe jeneza lakini wanalia hawataki niangalia Yaan ni kuwa lile jeneza ni kama limewazidi hawawezi kutembea wanalia tu m nawashangaa nawauliza watu wngne wapo wapi wawasaidie hawanijibu hamadi jeneza likawashinda likaanguka ndani maiti kumbe ni Mume wangu nkashtuka Sana halafu wamemfunga sanda Ila Mzma kabisa half nkamtambua mzee mmoja ambae mpk Leo kama hanipendi kabisa Hyo ndoto ilikuwa mwaka jana January miezi minne baada ya kuanza kuishi na mume wangu naogopa kamsimulia kabisa ina maana gani hii ndoto?
Sio mara zote maana ni hiyo ya nafsi kukamatwa!Kuitoa vipi nafsi, sijakuelewa kidogo mkuu fafanua kidogo nikupate
Baadhi ya maana za nyoka tu ina maana zifuatazo~hila~uadui~uongo~mungu/pepo lenye cheo cha miungu nk.Sawa mkuu, mshana jr niliotaga, japo sidhani kama ni ndoto kweli.. ilikua hivi
Wakati najiandaa nipande kulala kitandani, huku sikuchukua muda nikaanza kusinzia ghafla nikawa nahisia fulani kama ya kuota ivi, lkn uhalisia wote wa kitanda changu naupata, nilihisi kama mnyama aina ya jaguar mweusi tii amekamatia kichwa kwa taya zake upande wa kichogoni huku, sasa katika harakati yakutaka kama kumtoa kwa mkono nikahisi kumwona tena mnyama nyoka nae kapanua mdomo akinikwarua mkono kwa meno yake vile vile na mnyama wa tatu simkumbuki vizuri ila ni kama ndege ivi naye alikua mweusi ivyo ivyo...
Nikastuka nikajisemea hii itakua labda ile hali kama ya kuhisi kunigwa na jinamizi, basi kwa hofu kidogo nikabadili upande kutoka kusho nilipokua nimeangalia kuelekea kulia...
Usingizi ukanibeba tena nikapata tena situation ile ile nikashtuka nikatikisa kichwa kujiweka sawa nikalala..
Sasa nashindwa kuelewa hii ni hali tuu ya mwili au ni ndoto na kuna maana flani nyuma yake...
Embu fanya mambo mtaalam nijue
OkaySio mara zote maana ni hiyo ya nafsi kukamatwa!
Mara nyingine ukiota upo shule level yyt,manaake kuna mahali umekwama ktk maisha inatakiwa uvuke hivyo Mungu hutumia lugha nyepesi kutokana na mazongira yako!
Na hii ht ww unaweza kuangalia mwmywe maisha yako,kuna majali u ashindwa kuvuka iwe ni kiuchumi,wengine ndoa,wengine landa kuna jambo anataka/anapanga kufanya lkn halifanikiwi na huelewi!
Kama wa kushoto hivi, lkn Sikumbuki fresh mkuu, em define kwa kila mkonoBaadhi ya maana za nyoka tu ina maana zifuatazo~hila~uadui~uongo~mungu/pepo lenye cheo cha miungu nk.
Inategemea unamuotaje!
Mfano umeota anakukwaruza mkono, mkono upi? Kila mkono una maana yake kiroho
Kwanza huna ulinzi wa kiroho kabisa ndo maana huyo ndege alifanikiwa kukuuma!Mkuu mshana pole na majukumu...naomba nitoke Kidogo nje ya mada...niliwahi kuota ndege mwenye Rangi tofauti tofauti na mdomo mrefuu amening'ata mkono wa kulia...ukaoza...nikashtuka...juzi juz tena niliota paka mweusi then amechokaa meno makali sana...napigana nae..kila akija nampiga teke..kama Mara Mbili hivi...Mara ya tatu akaning'ata mkono wa kulia...nisaidie mkuu nijue...tatizo li wapi?au inamaanisha nini?ahsante mkuu
Mithali 3:16 na wewe soma ujiridhishe utaona,iko direct kabisa.....post ya juu nimeandika kwa urefu mkuu na mstari wote wa hiyo mithali soma!Kama wa kushoto hivi, lkn Sikumbuki fresh mkuu, em define kwa kila mkono
Shida ni kuwa wengi hawajui wala hawajawahi kusikia kabisa,hivyo hujikuta wanaangukia tafsiri za upande wa pili ambazo mwisho wa siku solution yake inawapeleka kubaya !kazi ya kufasiri ndoto ni ya ROHO MTAKATIFU na ROHO MTAKATIFU ASEMI NJE YA NENO LA MUNGU BIBLIA SOMA ZABURI 119;105
"Roho tamanifu " ndio ipi?Roho tamanifu hukutoka na kwenda kupata moja baridi[emoji13]
nimesoma nimejitidhisha nimeelwa pia.. sasa kuhusisha na huyo nyoka ndio bado sijaelewa ...relationship iliyopo!Shida ni kuwa wengi hawajui wala hawajawahi kusikia kabisa,hivyo hujikuta wanaangukia tafsiri za upande wa pili ambazo mwisho wa siku solution yake inawapeleka kubaya !
Hawaju kuwa soln ni damy ya Yesu/jina la Yesu tu!
Oknimesoma nimejitidhisha nimeelwa pia.. sasa kuhusisha na huyo nyoka ndio bado sijaelewa ...relationship iliyopo!
Kwamba uyo nyoka ni hila~uadui~uongo~mungu/pepo linalotaka kunipora utajiri na heshima yangu auu??
Hii kuomba inakuaje naomba unijuze, hii kuomba ni personally au ad uende kwa waombeajiOk
Ujue ulimwengu wa roho unaathiriwa na ishara,ninamaanisha unafanya kazi kwa (symbols) ishara!..
Ss unapoona picha ya kitu lzm ujue kibiblia ktk ulimwengu wa roho hiyo picha inamaanisha nn kutokana na ndoto uliyoota! Ndo maana nimetoa mfano wa nyoka na maana zake....
Mfano.. mwingine anaweza akaota nyoka labda kaingia dukani kwake,lzm huyu mtu bness yake ya duka ife km asipochukua hatua ya kuomba!
Ss kw case yako,angalia maisha yako mwenywe..umekwama wapi ni uchumi au nn!?
Unaweza omba mwenyewe au ukaenda kwa wanaoelewa wakuombee!Hii kuomba inakuaje naomba unijuze, hii kuomba ni personally au ad uende kwa waombeaji
Ewaaa... naomba unifunze kuomba mwenyewe nimalizane na matatizo yangu mwenyewe tafadhariUnaweza omba mwenyewe au ukaenda kwa wanaoelewa wakuombee!
Lkn ni vzr ukajifunza kuomba mwenyewe!
Kwanza huwa upo huru kufuatilia mafundisho ya watumishi wa Mungu? Ili nikupe link ambayo utube utapata somo la mambo ya ndoto na maana zake na namna ya kuomba!Ewaaa... naomba unifunze kuomba mwenyewe nimalizane na matatizo yangu mwenyewe tafadhari
Nipo huru mkuu sina hiyana na mambo ya imani mimiKwanza huwa upo huru kufuatilia mafundisho ya watumishi wa Mungu? Ili nikupe link ambayo utube utapata somo la mambo ya ndoto na maana zake na namna ya kuomba!
Na hii itakusaidia kufuatilia kwa undani na kujifunza kuombea ht mambo mengine kwa undani