Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Utakuwa kikongwe wa mwendokasi wewe kama umeanza kuota miaka 10 iliyopita.....bonge la kibibi wewe!Aisee nashukuru Mungu...nliota ndoto hiyo miaka 10 imepita ila hua sisahau...asante mkuu
Sent from my TECNO W2 using JamiiForums mobile app
Oky, shukrani mkuuTafuta dawa ya kisambaa inaitwa makata
Ndiyo mjukuu wangu nna miaka 85Utakuwa kikongwe wa mwendokasi wewe kama umeanza kuota miaka 10 iliyopita.....bonge la kibibi wewe!
[emoji28] [emoji28] [emoji28] ndo anachotaka kusikiaHii kali
Ila nakupenda bibi kizee....Ndiyo mjukuu wangu nna miaka 85
Tafuta dawa ya kisambaa inaitwa makata
na zote zililetwa na yeye aliye juuLife has so many options
DaaahVema tukarejea kwenye mada zetu hizi... Huko siasani ni tabu tupu... Kunaweza kukufanya mtu sometimes uwe na frustration zako... Nitajitahidi nisiende tena kule.... Japo naona kama naidhulumu nafsi.....
Dhana ya kula chakula ndotoni si jambo baya si jambo la ajabu japo kuna wakati huambatana na matatizo ya kisaikolojia kwa sehemu! Lakini lazima tutambue kuwa lazima tuote kuota ni lazima na kuna ndoto baadhi hazina maana yoyote zaidi ya kumbukumbu ya yaliyopita.....
Kuota mara kwa mara unakula ni ishara ya kutamani kufanikisha jambo fulani katika maisha, hamu ya kuwa na mahusiano , mali ama mafanikio yoyote yale.. Chakula ni uhai bila chakula uhai uko shakani hivyo kuota unakula ni dalili za kutaka kupata uhai kwenye jambo fulani
Lakini vilevile kuota unakula hutokana na kutamani chakula fulani lakini ikatokea hukukipata lakini ufahamu wako ukahifadhi ile hamu na usiku unapolala roho yako huondoka na kwenda kutafuta chakula husika na kuiridhisha nafsi tamanifu....
Sasa turudi kwenye mada... Kuota unakula nyama na kulishwa nyama... Kuna tofauti kubwa hapa
Kuota unakula nyama ni tafsiri ni dalili ya kutaka mafanikio ama kufanikisha jambo lako kwa njia ya kudhuru ama kuumiza wengine.. Yani ufanikiwe wewe lakini ukiacha wengine na madhara... Nyama inatokana na kuondosha uhai wa kiumbe hai kingine... Hii hutokana na mawazo tuwazayo bila kujua madhara yake kiroho... Kwa mfano penzi linazingua unatamani kurekebisha mambo lakini masharti ya mtaalam unatakiwa upate kuku wa kafara....
Ni kitu kama hiki... Unatamani cheo kazini, mvuto ama umaarufu nk unaambiwa dawa yake lazima itengenezwe na damu na mzoga wa mbuzi... Ni vitu kama hivi... Hivyo kupitia ndotoni hujidhihiri kwa njia ya kula nyama. Kwamba unashibisha nafsi huku kiumbe kikipoteza uhai
Sasa linapokuja suala la kulishwa nyama ndotoni... Hiki ni kitu tofauti kabisa.. Hizi ni ndoto zenye kuakisi uhalisia.. Ni ndoto za kichawi na unacholishwa ni nyama halisi kwa njia za kishirikina na nyama hizo si nzuri si nyama za wanyama tulao bali ni nyama za mizoga ya kenge nyani mbweha fisi konokono hata panya nk...
Sio nyama nzuri kwakuwa zina madawa ya kudhuru kiroho na hushibisha na hata kuvimbiza.. Hujaza tumbo kabisa na kukufanya ushindwe kula chochote.... Na tafsiri yake ni moja tu kukufunga usifanikiwe tena kwenye lolote.. Kwamba ukishakula na kushiba huwezi kula tena....
Namna bora ya kutatua tatizo hili ni kitunguu saumu na ndimu tuu... Kabla ya kulala hakikisha unalamba ndimu au kutafuna kipande cha kitunguu saumu ama vyote kwa pamoja... Kwa njia hii utakuwa umeidhibiti hiyo hali
Jr[emoji769]
Duu ungezila ungeugua vichomi visivyo na tiba ama kukabwa na kitu kooni
Ilikuwa ni lazima wakamilishe zoezi lakini ikishindikana... Imani yako imekuokoa...Na baada ya hapo nilivyolala tena nikawa kama nakabwa zaid ya mara mbili nzima, mara ya kwanza nlshtuka nikaomba na kulala. Nikakabwa mara ya tatu na kuamka na kuanza kusali kisha nkachukua na bibilia kuiweka kando ikawa afadhar, hii hali ipoje kwamba zoezi la kucha lilivyoshndkana wakawa wanajarb njia nyngne au?