Tofauti na tafsiri ya kula na kulishwa nyama ndotoni

Tofauti na tafsiri ya kula na kulishwa nyama ndotoni

Me nkilala nmekatia kilaji hataa siotagi kabisaa labda mapumziko ya usiku short call na nikirud kama kawaa mpaka asubuh
 
Unajua watu hufa kabla ya kufa kabisa... Mtu anakuonea kijicho anakuendea kwa mganga ili akuondoe duniani.. Anapewa beseni la maji mara anaona sura yako majini. Anapewa kisu achome yale maji akisita umepona na huko uliko utashtuka toka kwenye ndoto mbaya ya kifo... Asiposita umeondoka
Lakini vilevile usiku roho huenda kuvinjari ulimwengu huko hukutana na hathatari mbalimbali na ndio mwanzo wa ndoto za kifo
Mkuu mshana Jr Je, ikitokea sasa katika kwenda kwake kwa mganga ili atoe uhai wangu akapewa hilo beseni la maji ili achome , na kweli kafanikiwa kuchoma bila kusita , lakini kumbe na Mimi Nina kinga imara hapo inakuaje?
 
Kinga yenye nguvu ndio inashinda...ndio maana wengine hufariki
 
Mshana! Juzi nimeota MBWA wangu wameua nyoka Wawili katikati ya uwanja wa Nyumbani. Hao mbwa nimewafuga kwa ajili ya ulinzi. Nini tafsiri yake?
Mmh hili halihitaji majibu ya haraka yani ni wanyama kwa wanyama
 
Mkuu Mshana Mm Niliwahi ota watu kama wanne hv wamebebe jeneza lakini wanalia hawataki niangalia Yaan ni kuwa lile jeneza ni kama limewazidi hawawezi kutembea wanalia tu m nawashangaa nawauliza watu wngne wapo wapi wawasaidie hawanijibu hamadi jeneza likawashinda likaanguka ndani maiti kumbe ni Mume wangu nkashtuka Sana halafu wamemfunga sanda Ila Mzma kabisa half nkamtambua mzee mmoja ambae mpk Leo kama hanipendi kabisa Hyo ndoto ilikuwa mwaka jana January miezi minne baada ya kuanza kuishi na mume wangu naogopa kamsimulia kabisa ina maana gani hii ndoto?
 
Walikuwa wanga na walikuwa wamebeba kivuli chake, walikuwa wanaenda kukizika.

Wangefanikiwa ndio ingekuwa mwisho wake kwenye ulimwengu wa mafanikio yoyote na kila kitu kingesambaratika.

Wewe ndio ulikuwa mwokozi wake
 
Walikuwa wanga na walikuwa wamebeba kivuli chake, walikuwa wanaenda kukizika... Wangefanikiwa ndio ingekuwa mwisho wake kwenye ulimwengu wa mafanikio yoyote na kila kitu kingesambaratika... Wewe ndio ulikuwa mwokozi wake
Aiseeee sasa Napata picha kamili Asante kaka aisee walimwengu wabaya Sana anawaambia watu mm mkali wakati sijawahi Ht bishana nae zaidi ya salam
 
Mkuu mi nimeota Mzee wangu ambaye ni marehemu tayari amenunua magari mawili yaani jeupe na la kahawia.

katika ndoto iyo mara ya kwanza nipo mimi na yeye katika gari mojawapo na yeye ndio anaendesha tunatoka nyumbani tunapoishi tukaekelea sehemu yetu ya biashara kisha tukarudi nyumbani.

Baada ya kufika tukakuta wageni ambao walikua nyumbani wanataka kuondoka ivyo nikamuomba baba funguo za gari ili niwapeleke hadi kituo cha bodaboda wakapande maana sina leseni ivyo naogopa kuwafikisha mbali nitakamatwa na trafiki.

Katika kuendesha nikawa mtu ambaye yani sijiamini kabisa yani hata gari likawa linayumbayumba kama vile baiskeli inayoendeshwa na mtu anayejifunza.

Tulipofika kituo cha boda boda nikawashusha ila cha kushangaza wakawa wananilipa shilingi elfu moja kila mtu na jumla walikua kama wanne ivyo ikawa kama elfu 4 ivi.Nikazipokea lakini badae nikaona aibu baada ya kumuangalia mmoja usoni ambaye ni jirani yetu (ambaye ndio namkumbuka kati ya wale wageni nilioowaota) nikaamua niwarudishie wote ela zao wakafurahi kisha nikaanza safari ya kurudi nyumbani huku nikiendelea kuendesha ivyo ivyo kwa wasiwasi.

Tafsiri yake nini mkuu?
 
Nitarejea
 
mmmh sasa hicho kitinguu saumu na ndimu unamba siku zote mbona ni kibarua sana.sali kwa imani yako upate ulinzi kama ni mkristo iite damu ya Yesu ikufunike utalala kwa amani zote
 
Vipi kuhusu kuota unakunywa pombe/ kilevi.
Nimeota karibu mara NNE nakunywa pombe Na sijawahi kuonja au kunywa pombe.

Ndoto ya hivyo itakuwa inamaanisha nini? Msaada hapo
 
Asante mkuu...naomba nitoke nje ya mada niulize...niliwah kuota nimekufa na nimewekwa kwenye jeneza ina maan gani ndoto hii?!
Namna nyingine, Kimsingi maisha tuishiyo yapo pande 2, a)Ulimwengu wa roho (Giza na Nuru) na b) Ulimwengu wa mwili. Jambo lolote ktk maisha tuishiyo chanzo chake huanza ktk roho ndipo hutimilika ktk mwili. Japo kuna baadhi ya mambo huishia ktk roho hayajidhihirishi ktk mwili kutokana na sababu mbalimbali.
Binadam ana vitu vitatu, 1)Roho 2) Nafsi 3) Mwili, hivi vyote vina mchango mkubwa ktk kuleta matokeo ya kiroho na kimwili.
Mfano: Niwazo linapita ndani ya Moyo ununue simu aina fulan, kiroho umenunua ili kuweza kuimiliki hiyo simu ionekane kwa macho ya kawaida basi mwili utasukumwa kusaka vumba,kuelekea k/koo dukani ukalipa pesa kisha ukamiliki simu physically, lkn kama umeshindwa kumudu kuinunua hiyo simu umeishia kuimiliki rohoni tu.

Ndoto.
Kuna vifo vya mapenzi ya MUNGU muumba na mpango wa nguvu za giza. Kifo kimekwisha andaliwa kiroho isipikuwa ni siku itimie ndo tunasubir hata miaka. nguvu za giza zinazohusika na umauti huandaa mkakati wa namna ya kifo na wakati aidha ugonjwa ama ajali, MUNGU anatupenda roho wake hutupambania na mabaya yasitupate ndo maana unaweza ukaota upo kwenye jeneza na miaka inakatika upo tu; Kiroho mauti ilisimama ilibaki kimwili lkn MUNGU kazimisha kulekule rohoni unakula maisha siku zinaenda.
 
Vipi kuhusu kuota unakunywa pombe/ kilevi.
Nimeota karibu mara NNE nakunywa pombe Na sijawahi kuonja au kunywa pombe.
Ndoto ya hivyo itakuwa inamaanisha nini? Msaada hapo
Roho tamanifu hukutoka na kwenda kupata moja baridi[emoji13]
 
Back
Top Bottom