Beatrice Kamugisha
JF-Expert Member
- May 18, 2019
- 762
- 6,984
Jana niliuliza kuhusu majukumu ya Mhe. Waziri wa mambo ya nje, Leo naangazia utendaji wa Mhe. Waziri wa Fedha.
Naomba anayeweza kueleza Mhe. Waziri wa Fedha wa Tanzania amebuni mikakati Gani yakukuza uchumi? Tofauti na kukopa pamoja na kutoza wananchi tozo ni kipi kipya chenye tija alichofanya waziri?
Je, ungetamani afanye Nini kuboost uchumi wa mtu mmoja mmoja au nchi Kwa jumla?
Mwisho nitoe angalizo waziri wa Fedha apandishi mishahara na kupandisha mishahara siyo Jambo jipya ni jambo lipo Toka ajira za Dunia zilipoanza.
Kupandisha mishahara ihesabike kama kupanga Fedha za wananchi kuwalipa wafanyakazi Jambo ambalo kila mtu anaweza na Hii siyo tafsiri ya kukua Kwa uchumi.
Tuambieni amefanya nini?