Tofauti na tozo, Waziri wa Fedha amefanya nini mwaka mmoja Toka akabidhiwe ofisi?

Au na yy kuokotwa toka jalalani? Maana msomi mwenye kuamini kuwa kuvaa mavazi yafananayo na bendera, kuimba mapambio, kushangilia kw sauti kila mara bosi ake anapotoa neno ni dalili za uzalendo, anayefikiria kutajataja majina yote ya rais kila mahala - misikitini, makanisani, mashuleni, mikutanoni...nk. ni uzalendo na sio kujipendekeza, kutajataja idadi ya digirii alizo nazo kila anapohutubia ...nk. hatoshi.
Ndo walewale wanaokaa viti vya mbele ili waonekane. Ni balaa kwamba, hapa Tz, unapokuwa na tabia ya kuketi viti vya mbele ili wakuone, kweli unaonekana. Wametoka walikotoka wamehamia huko waliko, kutimiza lengo. Ndo hao wanaomfananisha na kumuita mkuu wa nchi mungu! ...dah!
Ikiwa ni kweli uongozi unafanya maamuzi, mabaya/mazuri kw niaba, basi wanapomkosea Mungu, wanafanya hivyo kw niaba yetu pia! Matokeo, Maendeleo ya Kusadikika ...Mungu tuhurumie
 
Kuboresha skafu na tai
 

Mwigulu ameshindwa kuimudu hii wizara ya fedha ambayo ni muhimu sana kwa ustawi wa nchi. Ingawa the buck stops with the appointing authority; SSH sio wa kulaumiwa kwa uteuzi wa huyu bwana, mtu wa kulaumiwa ni makamu wa Rais Philip Mpango ambaye ndio aliyemshawishi mama amteue huyo bwana kama mrithi wa nafasi aliyoishika yeye kabla. Mpango alikuwa na kila sababu ya kuhakikisha kuwa waziri wa fedha aliyemfuata awe ni mtu ambaye asingekuwa mahiri kwenye mambo ya uchumi na fedha kumzidi yeye!! Na hapo ndiyo alipompendekeza Mwigulu!!!

Laiti kama SSH angemteua mtu mbobezi na mahiri wa uchumi na fedha kama STARGOMERA TAX ni wazi kuwa kazi yake ingeweza kuwa bora zaidi ya aliyofanya Mpango kama waziri wa fedha wa Magufuli!!! Itakuwa faida kwa nchi kama hiyo wizara nyeti itampata waziri mwingine mara SSH atakapofanya mabadiliko ya Baraza lake!
 
Eti deni la taifa halituhusu wananchi kwani hakuna Mtanzania atakayegongewa hodi mlangoni kudaiwa.
 
Kasafiri sana sana kama vile hajawahi safiri! Kala bata la kufa mtu. Kamsifia sana mama mpaka tukahisi kweli alikuwa kabanwa. Kajitahidi kutokuwa mbunifu wa kutafuta kodi kwa matajiri na makampuni makubwa. Twahisi kahamia nyumba nzuri zaidi inayostahili kukaa waziri wa fedha wa jmt. Kuonekana tbc akinadi tozo kwa walalahoi. Kajitahidi asibane matumizi serikalini kama alivyosema mama wale kutokana na kamba ilyo shingoni na haijafungwa popote…😠😡🤬
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…