Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wachaga mnawashwaga na nini? Ni mashoga? Bila kuja kujisifu huku hamuonagi mmekamilika, we umetembelea sehemu ngapi nchi hii ujue kwao hawajengi. Acha ukabila hangaika na maisha yako. Kuna sehemu nyingi sana nchi hii inazidi huko kwenu uchakani sorry uchagani.A. MAENDELEO (Kujenga kwao)
View attachment 2394702
Mtu ana mafanikio makubwa huku mjini ana nyumba ya kisasa, gari nzuri, kipato cha uhakika, n.k lakini huko kwao hali ni mbaya, Nyumba imekaa kimasikini mpaka aibu, bati lina kutu,ndani vitanda vimechoka, jikoni sufuria ni za kale, n.k… Huu ni uungwana kweli ? kuna makabila unakuta profesa kasimamisha mjengo kijijini humo ndani lakini ukiangalia hali za mjirani zinatia huruma.
Hakunaga kitu kinaleta baraka kama kusaidia kwenu kwa kupelekea maendeleo, na ndio maana mkoa wakilimanjaro si ajabu ni namba 2 kwa kiwango cha chini cha umasikini,,,, wachaga huwa hawasahau kwao, yani ukifika huko vijijini watu wamejenga,
KURUDI KUSALIMIA NA KUKUTANA
View attachment 2394703
Kwenda kusalimia kijijini wengine mwaka mzima unapita hawajarudi ila nauli ipo, hata kwa wale wanaorudi kila moja anaenda kivyake vyake awajumuiki kwa pamoja,,, mwezi huu mjomba, mwezi unaofata, shangazi, mwezi mwengine ba mdogo, mwisho wa mwaka ni kaka, n.k.
wachaga wana utamaduni mzuri, ikifika mwezi wa 12 wachaga wanarudi kwao "KWA PAMOJA", hata waliopo New York, Dubai, London hufanya jitihada kurudi, kukutana ndugu wote ama wengi kwa wakati mmoja kuna umuhimu zaidi kuliko kila mtu akienda kivyake vyake,, Ondoa shaka, si ndugu tu utawakuta bali hata majirani na marafiki
Toa mfano, acha umbea mwanaume fanya mambo yako. Acha kuishi kwa hisia tena hasi kuhusu watanzania wenzako. Hujasikiaga Mkoa Kilimanjaro ndio unaongozaga kwa Kwashiakor? Mtakosaje Kwashiakor wakati hakuna maziwa? Na maziwa ndio chakula chenye virutubisho vyote, Ukitaka kujua angalia vijana wengi wa kichaga waliotoka kijijini wengi vijeba, vifupifupi na wenye siha dhaifu. Wachaga wenye siha nzurini waliokimbia uchagani. Mkoa Kilimanjaro unazidiwa hata na Mkoa Ruvuma kimapato endeleeni kujidanganya kwenye vijiwe vyenu vya gambe maana ndio maziwa yenu.Mambo ya zamani kivipi, asili ina uzamani ??
Mtu ana mijengo mjini lakini huko kijijini kwao nyumba ya mbavu za mbwa, hii hali ni sawa ?
Punguza chuki, nakukumbusha tu kwamba mkoa wa Kilimanjaro ndio WA pili Kwa kuwa na hali ndogo ya umaskini.Toa mfano, acha umbea mwanaume fanya mambo yako. Acha kuishi kwa hisia tena hasi kuhusu watanzania wenzako. Hujasikiaga Mkoa Kilimanjaro ndio unaongozaga kwa Kwashiakor? Mtakosaje Kwashiakor wakati hakuna maziwa? Na maziwa ndio chakula chenye virutubisho vyote, Ukitaka kujua angalia vijana wengi wa kichaga waliotoka kijijini wengi vijeba, vifupifupi na wenye siha dhaifu. Wachaga wenye siha nzurini waliokimbia uchagani. Mkoa Kilimanjaro unazidiwa hata na Mkoa Ruvuma kimapato endeleeni kujidanganya kwenye vijiwe vyenu vya gambe maana ndio maziwa yenu.