Tofauti na wachaga, kwanini wakabila mengine hayaendelezi makwao na hawapendi kurudi kwao?

Ni kawaida ya masikini kuishi kwa kujilinganisha na wengine.

Kwa hilo hata makabila ‘yaliyoendelea’ hawajaweza kujikomboa.

Umasikini uko akilini zaidi.
 
Wachaga mnawashwaga na nini? Ni mashoga? Bila kuja kujisifu huku hamuonagi mmekamilika, we umetembelea sehemu ngapi nchi hii ujue kwao hawajengi. Acha ukabila hangaika na maisha yako. Kuna sehemu nyingi sana nchi hii inazidi huko kwenu uchakani sorry uchagani.
 
Mambo ya zamani kivipi, asili ina uzamani ??

Mtu ana mijengo mjini lakini huko kijijini kwao nyumba ya mbavu za mbwa, hii hali ni sawa ?
Toa mfano, acha umbea mwanaume fanya mambo yako. Acha kuishi kwa hisia tena hasi kuhusu watanzania wenzako. Hujasikiaga Mkoa Kilimanjaro ndio unaongozaga kwa Kwashiakor? Mtakosaje Kwashiakor wakati hakuna maziwa? Na maziwa ndio chakula chenye virutubisho vyote, Ukitaka kujua angalia vijana wengi wa kichaga waliotoka kijijini wengi vijeba, vifupifupi na wenye siha dhaifu. Wachaga wenye siha nzurini waliokimbia uchagani. Mkoa Kilimanjaro unazidiwa hata na Mkoa Ruvuma kimapato endeleeni kujidanganya kwenye vijiwe vyenu vya gambe maana ndio maziwa yenu.
 
Huo ni utaratibu wao walio jiwekea wao. Na sisi makabila mengine tunautaratibu wetu.

Nikipata hela ntajenga popote pale Tz hii sio lazima mbeya nilipo zaliwa.

Sent from my CPH1819 using JamiiForums mobile app
 
Punguza chuki, nakukumbusha tu kwamba mkoa wa Kilimanjaro ndio WA pili Kwa kuwa na hali ndogo ya umaskini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…