Eli Cohen
JF-Expert Member
- Jun 19, 2023
- 4,460
- 13,715
Tofauti na hako katoto innocent hapo juu, hakuna cha maana tena. Too bad kakishafikisha miaka 14 kataanza fundishwa kumchukia baba yake.
Modern Weak Men alafu wanakutana Modern Independent Women unadhania nini kitafuata?
Ndoa imekuwa engineered katika panels zinazo hamasisha ukosefu wa furaha ya kweli.
Ndoa imekuwa structured katika systems zinazo haribu misingi ya mwanamke kumtii mwanaume na mwanaume kumuheshimu mwanamke.
Ndoa zimekuwa feminist, Ndoa zimekuwa maonesho ya "mlisema sitaoelewa"