Kweli kabisa.ila ukipata mtu sahihi unaoa.Uoeni vijana ni maneno ambayo utahamasishwa sana ila kupewa michongo ya maana hautakaa usikie na ukisikia ujue kuna harufu ya utapeli.
Sio unajiokotea tu mtu ambae hata hakuvutii kisa hauna pesa mwisho wa siku ukizipata unaanza mtesa mtoto wa watuKweli kabisa.ila ukipata mtu sahihi unaoa.
Tatizo ni kuwa tunafekiana sanaNdoa ndoa ndoa imekua fashion ila ikiingia ndan ni vita vya tatu humo ndan
Sasa najiuliza Kwan watu mpaka mnaoana inamaana mnafahamiana tabia zetu na kuelewana inakuaje mkiingia inakua tofaut
Ongezeko la watu kukesha bar inawezekana nyumbani kunawaka moto?View attachment 3246767
Tofauti na hako katoto innocent hapo juu, hakuna cha maana tena. Too bad kakishafikisha miaka 14 kataanza fundishwa kumchukia baba yake.
Modern Weak Men alafu wanakutana Modern Independent Women unadhania nini kitafuata?
Ndoa imekuwa engineered katika panels zinazo hamasisha ukosefu wa furaha ya kweli.
Ndoa imekuwa structured katika systems zinazo haribu misingi ya mwanamke kumtii mwanaume na mwanaume kumuheshimu mwanamke.
Ndoa zimekuwa feminist, Ndoa zimekuwa maonesho ya "mlisema sitaoelewa"