Tofauti ni hii: Upinzani wapo bize sana mitandaoni, CCM wao ni maarufu sana mitaani

2019

JF-Expert Member
Joined
Dec 31, 2018
Posts
3,232
Reaction score
4,927
Ukiangalia maisha ya online na mitaani ni tofauti kabisa, unaweza kudhani ni sayari mbili tofauti kabisa.

Ukiangalia watu mitaani na mishe zao huwezi amini kama kuna mambo makubwa ya kisiasa yanayoendelea kabisa (hii ni tofauti na 2015).

Ukiingia tu online iwe ni JF, Twitter n.k unaweza kusema Watanzania wana hasira kweli na Serikali hii. Unaweza kusema Magufuli hashindi

Kupokelewa kwa wachezaji wanaotoka nje mfano ule wa Yanga juzi Calinyo. Unaweza kusema wale wanajua chochote kuhusu siasa? Vipi kama wangekuwa bize na watu wanaokatwa kwa makusudi? Wakachukua hatua kama hizo? Hakika Magufuli atashinda tena na hakuna atakaetoa pua yake nje.
 
huku tarime tunavyojielewa! jimbo watalisikia tu. tumeishafanya maamuzi baada ya kutuletea huyu bwege wao
 
Imebidi iwe hivyo maana wakiseme kwenye kituo chochote cha radio/TV Wanashukiwa na TCRA. Hibi kuna pingamizi lolote la Mpinzani limekubaliwa kweli? Au la CCM lililokatalowa kweli? Hii nchi hakuna uchaguzi. Ni kupotezeana muda tu
 
Kakubaliana na ww kabisa hivi kusoma hujui hata picha huoni? Kandokando zote hizi tena toka kwa wasimamizi afu useme unashinda? Ni ajab sana
 
Ccm wanauza sera zao kwa wananchi. Lissu kila akipata nafasi ya kuongea utasikia nilipigwa marisasi na vibaka, wazungu watanisaidia kushinda uchaguzi, mahusiano ya jinsia moja ni faragha , patachimbika nk.
 
Uzuri ni kuwa walio mtandaoni ndio wanaoishi mitaani. Kubwa zaidi ni kuwa wakiwa mtaani kutokana na kuogopa kutekwa na kuuwawa Kama sio kubambikiwa kesi wanaweka feelings zao moyoni na wanakuja kuzielezea mahala kama humu bila kujulikana
 
Ccm wanauza sera zao kwa wananchi. Lissu kila akipata nafasi ya kuongea utasikia nilipigwa marisasi na vibaka, wazungu watanisaidia kushinda uchaguzi, mahusiano ya jinsia moja ni faragha , patachimbika nk.
Sera gani?? Kujenga uwanja Chato?
 
Unadhani wajinga na masikini wana uwezo wa kuingia online?Hiyo ndio advantage kubwa ya CCM,inapendwa zaidi na wajinga na masikini!
Huku mitandaoni upepo hauko kwao maana wengi ni walioelimika na wenye nafuu ya maisha!Ukiangalia na utafiti wa Twaweza basi it makes sense!
Siku nchi hii walioelimika wakifikia nusu kwa idadi dhidi ya wajinga basi CCM itaondoka madarakani kirahisi sana!
 
Ushauri wa bure kwako,jiweke huru kifikra na itakusaidia sana kuishi kwa amani!Lasivyo utateseka sana na moyo wako!Kama hapa unaongozwa na chuki kumsema Lissu,kadri utavyomuona anazidi kupaa basi nafsi yako itazidi kuteseka na utateseka sana!
 
Unadhani wajinga na masikini wana uwezo wa kuingia online?Hiyo ndio advantage kubwa ya CCM,inapendwa zaidi na wajinga na masikini!
Huku mitandaoni upepo hauko kwao maana wengi ni walioelimika na wenye nafuu ya maisha!Ukiangalia na utafiti wa Twaweza basi it makes sense!
Siku nchi hii walioelimika wakifikia nusu kwa idadi dhidi ya wajinga basi CCM itaondoka madarakani kirahisi sana!
Ccm haitegemei hao masikini ina wapiga kura wa kisasa Kuna BAO LA MKONO Ni Zaidi ya Wapiga Kura wa Mikoa Zaidi ya 15 Mkuu wewe endelea kuamini kuna kupiga kura
 
Hapa ndio naanza kukuelewa... naunga mkono hoja hii
 
Kakubaliana na ww kabisa hivi kusoma hujui hata picha huoni? Kandokando zote hizi tena toka kwa wasimamizi afu useme unashinda? Ni ajab sana
Ila kwa haya TCRA wanyofanya kwenye media za nchi hii wanajiandaa hiyo Agosti 29, 28 na 30 kuwatangaza wana CCM wote na hakuma chombo cha habari kitakachosema lolote.
 
Ccm haitegemei hao masikini ina wapiga kura wa kisasa Kuna BAO LA MKONO Ni Zaidi ya Wapiga Kura wa Mikoa Zaidi ya 15 Mkuu wewe endelea kuamini kuna kupiga kura
Hata bao la mkono linafungwa pale timu inapokuwa inashambulia!Sio mmepaki basi halafu mnategemea bao la mkono!!!Hapo inakuwa ngumu!So ukiwa na mtaji wa wapiga kura wajinga na masikini,dola unayo basi bao la mkono inakuwa kazi nyepesi sana!
 
Ila kwa haya TCRA wanyofanya kwenye media za nchi hii wanajiandaa hiyo Agosti 29, 28 na 30 kuwatangaza wana CCM wote na hakuma chombo cha habari kitakachosema lolote.
Kweli kabisa,ninahisi media kubwa zitaacha kutoa taarifa za uchaguzi kabisa kutokana na sheria hizi za kikoloni.
 
Upinzani wako mitandaoni kushangilia drama za Lisu,
Ccm iko field kimyaaa.

Nafikiri unajua nini kitatokea
 
Sera gani?? Kujenga uwanja Chato?
Unajua chato kuna wapiga kura wangapi?

Sasa peleka hiyo kwa wanachi wa tabora kule waambie msimchgue Magufuli kwakuwa kajenga uwanja chato uone kama hunapigwa mawe
 
Back
Top Bottom