Tindo
Platinum Member
- Sep 28, 2011
- 72,020
- 129,293
Kwani octoba tume itamtangaza nani?
Itamtangaza Magufuli.
Kwani octoba tume itamtangaza nani?
Hamna cha umarufu ccm wala nini waende kwenye kampeni bila wasanii uone wasipojikuta wapo na wajumbe wa nyumba kumi kumiUkiangalia maisha ya online na mitaani ni tofauti kabisa, unaweza kudhani ni sayari mbili tofauti kabisa.
Ukiangalia watu mitaani na mishe zao huwezi amini kama kuna mambo makubwa ya kisiasa yanayoendelea kabisa (hii ni tofauti na 2015).
Ukiingia tu online iwe ni JF, Twitter n.k unaweza kusema Watanzania wana hasira kweli na Serikali hii. Unaweza kusema Magufuli hashindi
Kupokelewa kwa wachezaji wanaotoka nje mfano ule wa Yanga juzi Calinyo. Unaweza kusema wale wanajua chochote kuhusu siasa? Vipi kama wangekuwa bize na watu wanaokatwa kwa makusudi? Wakachukua hatua kama hizo? Hakika Magufuli atashinda tena na hakuna atakaetoa pua yake nje.
Ni kweli. Tunaona jinsi wakurugenzi/watendaji wanavyotekeleza maagizo. Kwa utkelezaji huo unashindwaje kwa mfano tu?Ukiangalia maisha ya online na mitaani ni tofauti kabisa, unaweza kudhani ni sayari mbili tofauti kabisa.