Ukiangalia maisha ya online na mitaani ni tofauti kabisa, unaweza kudhani ni sayari mbili tofauti kabisa.
Ukiangalia watu mitaani na mishe zao huwezi amini kama kuna mambo makubwa ya kisiasa yanayoendelea kabisa (hii ni tofauti na 2015).
Ukiingia tu online iwe ni JF, Twitter n.k unaweza kusema Watanzania wana hasira kweli na Serikali hii. Unaweza kusema Magufuli hashindi
Kupokelewa kwa wachezaji wanaotoka nje mfano ule wa Yanga juzi Calinyo. Unaweza kusema wale wanajua chochote kuhusu siasa? Vipi kama wangekuwa bize na watu wanaokatwa kwa makusudi? Wakachukua hatua kama hizo? Hakika Magufuli atashinda tena na hakuna atakaetoa pua yake nje.