Kakubaliana na ww kabisa hivi kusoma hujui hata picha huoni? Kandokando zote hizi tena toka kwa wasimamizi afu useme unashinda? Ni ajab sanaImebidi iwe hivyo maana wakiseme kwenye kituo chochote cha radio/TV Wanashukiwa na TCRA. Hibi kuna pingamizi lolote la Mpinzani limekubaliwa kweli? Au la CCM lililokatalowa kweli? Hii nchi hakuna uchaguzi. Ni kupotezeana muda tu
Sera gani?? Kujenga uwanja Chato?Ccm wanauza sera zao kwa wananchi. Lissu kila akipata nafasi ya kuongea utasikia nilipigwa marisasi na vibaka, wazungu watanisaidia kushinda uchaguzi, mahusiano ya jinsia moja ni faragha , patachimbika nk.
Ushauri wa bure kwako,jiweke huru kifikra na itakusaidia sana kuishi kwa amani!Lasivyo utateseka sana na moyo wako!Kama hapa unaongozwa na chuki kumsema Lissu,kadri utavyomuona anazidi kupaa basi nafsi yako itazidi kuteseka na utateseka sana!Ccm wanauza sera zao kwa wananchi. Lissu kila akipata nafasi ya kuongea utasikia nilipigwa marisasi na vibaka, wazungu watanisaidia kushinda uchaguzi, mahusiano ya jinsia moja ni faragha , patachimbika nk.
Ccm haitegemei hao masikini ina wapiga kura wa kisasa Kuna BAO LA MKONO Ni Zaidi ya Wapiga Kura wa Mikoa Zaidi ya 15 Mkuu wewe endelea kuamini kuna kupiga kuraUnadhani wajinga na masikini wana uwezo wa kuingia online?Hiyo ndio advantage kubwa ya CCM,inapendwa zaidi na wajinga na masikini!
Huku mitandaoni upepo hauko kwao maana wengi ni walioelimika na wenye nafuu ya maisha!Ukiangalia na utafiti wa Twaweza basi it makes sense!
Siku nchi hii walioelimika wakifikia nusu kwa idadi dhidi ya wajinga basi CCM itaondoka madarakani kirahisi sana!
Hapa ndio naanza kukuelewa... naunga mkono hoja hiiUnadhani wajinga na masikini wana uwezo wa kuingia online?Hiyo ndio advantage kubwa ya CCM,inapendwa zaidi na wajinga na masikini!
Huku mitandaoni upepo hauko kwao maana wengi ni walioelimika na wenye nafuu ya maisha!Ukiangalia na utafiti wa Twaweza basi it makes sense!
Siku nchi hii walioelimika wakifikia nusu kwa idadi dhidi ya wajinga basi CCM itaondoka madarakani kirahisi sana!
Ila kwa haya TCRA wanyofanya kwenye media za nchi hii wanajiandaa hiyo Agosti 29, 28 na 30 kuwatangaza wana CCM wote na hakuma chombo cha habari kitakachosema lolote.Kakubaliana na ww kabisa hivi kusoma hujui hata picha huoni? Kandokando zote hizi tena toka kwa wasimamizi afu useme unashinda? Ni ajab sana
Hata bao la mkono linafungwa pale timu inapokuwa inashambulia!Sio mmepaki basi halafu mnategemea bao la mkono!!!Hapo inakuwa ngumu!So ukiwa na mtaji wa wapiga kura wajinga na masikini,dola unayo basi bao la mkono inakuwa kazi nyepesi sana!Ccm haitegemei hao masikini ina wapiga kura wa kisasa Kuna BAO LA MKONO Ni Zaidi ya Wapiga Kura wa Mikoa Zaidi ya 15 Mkuu wewe endelea kuamini kuna kupiga kura
Kweli kabisa,ninahisi media kubwa zitaacha kutoa taarifa za uchaguzi kabisa kutokana na sheria hizi za kikoloni.Ila kwa haya TCRA wanyofanya kwenye media za nchi hii wanajiandaa hiyo Agosti 29, 28 na 30 kuwatangaza wana CCM wote na hakuma chombo cha habari kitakachosema lolote.
Unajua chato kuna wapiga kura wangapi?Sera gani?? Kujenga uwanja Chato?