Dah!!! Mbona mnanichanganya sasa,kwaio CCM inategemea bao la mkono na sio masikini na wasio na elimu?Ccm haitegemei hao masikini ina wapiga kura wa kisasa Kuna BAO LA MKONO Ni Zaidi ya Wapiga Kura wa Mikoa Zaidi ya 15 Mkuu wewe endelea kuamini kuna kupiga kura
Nasikiliza clouds fm hapa wanalia kila dk kuomba msamaha kwa kwenda kinyume na maadili ya uchaguzi sijui wamefanya nini.Ila kwa haya TCRA wanyofanya kwenye media za nchi hii wanajiandaa hiyo Agosti 29, 28 na 30 kuwatangaza wana CCM wote na hakuma chombo cha habari kitakachosema lolote.
Bila shaka hata pale Uwanja wa Mkapa siku ya Simba Day ile reaction ya watu ilikuwa ni ya mtandaoniUkiingia tu online iwe ni JF, Twitter n.k unaweza kusema Watanzania wana hasira kweli na serikali hii. Unaweza kusema Magufuli hashindi
Ukiangalia maisha ya online na mitaani ni tofauti kabisa, unaweza kudhani ni sayari mbili tofauti kabisa.
Ukiangalia watu mitaani na mishe zao huwezi amini kama kuna mambo makubwa ya kisiasa yanayoendelea kabisa (hii ni tofauti na 2015).
Ukiingia tu online iwe ni JF, Twitter n.k unaweza kusema Watanzania wana hasira kweli na Serikali hii. Unaweza kusema Magufuli hashindi
Kupokelewa kwa wachezaji wanaotoka nje mfano ule wa Yanga juzi Calinyo. Unaweza kusema wale wanajua chochote kuhusu siasa? Vipi kama wangekuwa bize na watu wanaokatwa kwa makusudi? Wakachukua hatua kama hizo? Hakika Magufuli atashinda tena na hakuna atakaetoa pua yake nje.
Hali sivyo ilivyo hata watoto wadogo hawataki kuwasikia.Ukiangalia maisha ya online na mitaani ni tofauti kabisa, unaweza kudhani ni sayari mbili tofauti kabisa.
Ukiangalia watu mitaani na mishe zao huwezi amini kama kuna mambo makubwa ya kisiasa yanayoendelea kabisa (hii ni tofauti na 2015).
Ukiingia tu online iwe ni JF, Twitter n.k unaweza kusema Watanzania wana hasira kweli na Serikali hii. Unaweza kusema Magufuli hashindi
Kupokelewa kwa wachezaji wanaotoka nje mfano ule wa Yanga juzi Calinyo. Unaweza kusema wale wanajua chochote kuhusu siasa? Vipi kama wangekuwa bize na watu wanaokatwa kwa makusudi? Wakachukua hatua kama hizo? Hakika Magufuli atashinda tena na hakuna atakaetoa pua yake nje.
Wacha wajifariji kidogo mkuu kwa miezi miwili, oktoba tunakifuta rasmi chama chao, loketo atarudi europe. Wananzengo tutakuwa hapahapa
Ukiangalia maisha ya online na mitaani ni tofauti kabisa, unaweza kudhani ni sayari mbili tofauti kabisa.
Ukiangalia watu mitaani na mishe zao huwezi amini kama kuna mambo makubwa ya kisiasa yanayoendelea kabisa (hii ni tofauti na 2015).
Ukiingia tu online iwe ni JF, Twitter n.k unaweza kusema Watanzania wana hasira kweli na Serikali hii. Unaweza kusema Magufuli hashindi
Kupokelewa kwa wachezaji wanaotoka nje mfano ule wa Yanga juzi Calinyo. Unaweza kusema wale wanajua chochote kuhusu siasa? Vipi kama wangekuwa bize na watu wanaokatwa kwa makusudi? Wakachukua hatua kama hizo? Hakika Magufuli atashinda tena na hakuna atakaetoa pua yake nje.
Ccm wanauza sera zao kwa wananchi. Lissu kila akipata nafasi ya kuongea utasikia nilipigwa marisasi na vibaka, wazungu watanisaidia kushinda uchaguzi, mahusiano ya jinsia moja ni faragha , patachimbika nk.
Wewe Ni mpumbavu kweli ukitaka kujua nguvu ya Lissu angalia ziara zake maeneo ya vijijini alikopita.Ukiangalia maisha ya online na mitaani ni tofauti kabisa, unaweza kudhani ni sayari mbili tofauti kabisa.
Ukiangalia watu mitaani na mishe zao huwezi amini kama kuna mambo makubwa ya kisiasa yanayoendelea kabisa (hii ni tofauti na 2015).
Ukiingia tu online iwe ni JF, Twitter n.k unaweza kusema Watanzania wana hasira kweli na Serikali hii. Unaweza kusema Magufuli hashindi
Kupokelewa kwa wachezaji wanaotoka nje mfano ule wa Yanga juzi Calinyo. Unaweza kusema wale wanajua chochote kuhusu siasa? Vipi kama wangekuwa bize na watu wanaokatwa kwa makusudi? Wakachukua hatua kama hizo? Hakika Magufuli atashinda tena na hakuna atakaetoa pua yake nje.
Kwani octoba tume itamtangaza nani?Kwa bahati mbaya sisi tuko huku mitandaoni muda mrefu sana, labda nyie wanaccm mliokuja na mafuriko ya Magufuli, ndio mnadani October Ni mwisho wetu kisa Magufuli ana uhakika wa kutangazwa na tume isiyo huru ya uchaguzi.
Tufanye ww ndio rais hao wasio na ajira ungewasaidiaje?
Ni obvious Chadema miaka yote hawataki kufanya ground work wao kutwa Ni watsapp , Twitter , Youtube,Instagram na Jamil forums!!! CCM iko field kuanzia low level ya Matawi huwaoni hukoUpinzani wako mitandaoni kushangilia drama za Lisu,
Ccm iko field kimyaaa.
Nafikiri unajua nini kitatokea