Tofauti ni hii: Upinzani wapo bize sana mitandaoni, CCM wao ni maarufu sana mitaani

Hamna cha umarufu ccm wala nini waende kwenye kampeni bila wasanii uone wasipojikuta wapo na wajumbe wa nyumba kumi kumi
 
Ni kweli. Tunaona jinsi wakurugenzi/watendaji wanavyotekeleza maagizo. Kwa utkelezaji huo unashindwaje kwa mfano tu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…