GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Mi nafikiri anaekata kiu na kuimarisha afya ndo Bora zaidi maana hata maji ya vidimbwi yanakata kiu lakini yanadhoofisha afyaChama ni 100% Zinedine Zidane na Aucho ni 100% Andrea Pirlo ambapo Chama ni Mpishi mzuri wa Chakula Kitamu na Aucho ni Viungo muhimu katika Chakula Kitamu halafu Chama ni sawa na Maji yanayokata Kiu upesi huku Aucho akiwa ni sawa na Maji yanayokata Kiu na Kuimarisha pia Afya yako.
Wote Wawili ni Wachezaji Bora sana.
Tatizo chama anapooza mashambulizi kwa back pass zakeKama ni hivyo basi GSM ifanye mpango ili mwakani Chama acheze timu moja na Aucho.
Back pass inatolewa pale anapoona mabeki wameziba nafasi na hakuna wa kumpa pasi mbele. Hivyo sio dhambi, ni sehemu ya mchezo.Tatizo chama anapooza mashambulizi kwa back pass zake
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Wanacheza role sawa?Kwamba wote wako sawa ilhali Aucho hawezi kufunga aina ya magoli yanayofungwa na Chama? Vyura nao bila kujua kuwa umewakejeli wao wanakuja kuvimba tu kwenye uzi.
Chama alikosa namba Berkane
Sidhani kama atakujibuUnaweza kusimulia Aucho kafikaje Yanga?
Unaweza kusimulia Aucho kafikaje Yanga?
Kila Baada Ya Uzi Mmoja Anatundikwa Ban.[emoji23]Mwamba una ratiba ya kuchezea ban?
Haha swali la kipumbavuUnaweza kusimulia Aucho kafikaje Yanga?
AUCHO ALIKOSA NAMBA DTB.Chama alikosa namba Berkane