Tofauti ya baby shower ya Diamond Platnumz na Mark Zuckerberg

Wewe lini umeona baby shower ya beyonce/jay-z yenye mbwembwe za kijinga? Hebu jaribu ku Google baby shower za kim Kardashian ambaye maisha yake ni show hutakuta baby shower kama ya Diamond imejaa mishankupe ya mjini. Baby shower zao very simple ki home home tena hata siyo sherehe.
 
Kweli sikumuelewa jamaa ndio maana nimemwimba samahani
Swine we,uwe una soma na kuelewa kwanza kabla hujakurupuka.Jamaa alikuwa anashauri matumizi bora ya rasilimali fedha,leo anazo kesho hana.

Hata Mhe. JPM anatupa akili ya kutumia fedha kiungalifu awamu hii ya 5 pasipo kusaka sifa.

Sikupotoshi na usipotoshe wengine.
 
Wao ni wao na yeye ni yeye ili mradi hakukuomba mchango yanini unaumia ndugu?
Kila mtu na style yake mkuu hatufanani hata kidogo. Kuna mtu hapo jirani yako anaona una haribu pesa kwa kumiliki ka tecno kako hako camon 11 wakati kuna simu za promotion za tigo 70000. Pesa haina maana kama huitumii kufurahi maana ukifa hutozikwa nayo.
 
Una hoja nzuri kwa maelezo haya.
 
Sasa hebu ona mark Zuckerberg ni billionea mkubwa sana ila baby shower yake hajatumia hata elfu 50, wakati diamond ni kama maskini tu kwa Zuckerberg lakini katumia kama millioni 100 hv kwenye baby shower huoni ni ulimbukeni wewe jamaa?
Uliwahi kumsaidia Diamond kutafuta hela? Tunaanza kupangiana matumizi ya hela wakati hatusaidiani kutafuta?
 
Mambo yao waachie wenyewe...

Tofauti ni kwamba Mark anapangiwa matumizi na nini cha kufanya, Diamond anajipangia matumizi na hapangiwi nini cha kufanya...



Cc: mahondaw
 
Naona madogo wa Masaki na Obey wanatoana jasho kwenye hii thread, sisi wa vijijini Nyalugusu haya mambo wala hatuna abc zake, ngoja tupite kimya kimya
 

Aliekueleza nani kama ukishakua mwanamuziki unahitaji kufanya show off? Macelebrities wanaofanya show of sikuzote ni wale wanaokosa cha kuuzia na Washamba.

Huwezi mkuta Angelina Jolie akifanya upuuzi kama anaofanya Kim Kardashian. sasa hapo ndipo unapopata kuona tafauti kati ya Super Star au Celebrity wa kweli na Drama Queen.

Domo nae ni Drama Queen tu
 
Umeona kuna kejeli hapo ama ni ukweli kwamba hao wawili hawawezi kulinganishwa

Dogo wala haukupaswa kujibu ulichemka, kaa kimya

1.umekejeli yeye kulinganisha
2.umekejeli elimu
3.kisha ukasema sio kosa lake


bado ukaomba msamaha

bado unaaandika post mfu kama hii

narudi tena, angalia na ID zenu hizo, ni aibu
 
Babyshower imlipe Chibu lakin sio Zuckerberg?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…