Slowly
JF-Expert Member
- Jul 7, 2016
- 10,589
- 35,268
Diamond ni halali kufanya hvyo , Diamond anahitaj public attention kuliko huyo mwingine, silaha kuu ya Diamond na celebrity yeyte ni kuiteka jamii ikuangalie wewe, you must do each possible way to capture public attention,tofauti na hapo unakufa kifo cha mende,
Leo hii ukiambiwa utaje top 20 ya mabillionare Tanzania utashindwa, wao hawahtaj jamii iwajue ili wapige hela, Diamond anazidiwa hela na watu mamilion hapa Tanzania lakn yeye yupo kwenye top ten ya watu maarufu tz , ni kwa sababu kazi yake inahtaji that kind of life