Tofauti ya baby shower ya Diamond Platnumz na Mark Zuckerberg

Tofauti ya baby shower ya Diamond Platnumz na Mark Zuckerberg

Diamond ni halali kufanya hvyo , Diamond anahitaj public attention kuliko huyo mwingine, silaha kuu ya Diamond na celebrity yeyte ni kuiteka jamii ikuangalie wewe, you must do each possible way to capture public attention,tofauti na hapo unakufa kifo cha mende,

Leo hii ukiambiwa utaje top 20 ya mabillionare Tanzania utashindwa, wao hawahtaj jamii iwajue ili wapige hela, Diamond anazidiwa hela na watu mamilion hapa Tanzania lakn yeye yupo kwenye top ten ya watu maarufu tz , ni kwa sababu kazi yake inahtaji that kind of life
 
Diamond ni superstar mkubwa Tanzania
chochote anachofanya lengo pia ni ku trend
kuhusu pesa sio lazima awe ametumia pesa sana

watu wanaweza sponsor mradi bidhaa zao nazo zi trend...

Na utamaduni tu wa Kitanzania na Wasanii...ingekuwa ngumu kwake
kufanya kitu low profile..

India kuna harusi zinatumia hadi dollar milioni 100
sababu ni utamaduni kupenda harusi kubwa
 
Kila mtu na maisha yake, unaweza kukuta una flat screen ya milion moja unusu wakati mshahara wako haufiki milion wakati mwenye kipato cha milion 10 kwa mwezi ana tv ya lak nne.
Hatuwezi kuwa na mtazamo sawa na that is what makes life interesting. Tungekuwa tunawaza sawa maisha yangekuwa boring
Sasa hebu ona mark Zuckerberg ni billionea mkubwa sana ila baby shower yake hajatumia hata elfu 50, wakati diamond ni kama maskini tu kwa Zuckerberg lakini katumia kama millioni 100 hv kwenye baby shower huoni ni ulimbukeni wewe jamaa?
 
Ukiona Diamond kaweka kitu kikubwa mara nyingi nyuma yaje huwa na wadhamini/wafadhili...

Jamaa ana mikataba ya kibiashara na makampuni kadhaa, na katika sherehe kama hizo ndio sehemu muafaka kuzitangaza...

Mathalani kama kulikuwa na soda hapo basi Pepsi ndio kilikuwa kinywaji kikuu n.k
 
Sasa hebu ona mark Zuckerberg ni billionea mkubwa sana ila baby shower yake hajatumia hata elfu 50, wakati diamond ni kama maskini tu kwa Zuckerberg lakini katumia kama millioni 100 hv kwenye baby shower huoni ni ulimbukeni wewe jamaa?
Tajiri anavyotumia pesa yake maskini anaona Kama anaharibu hela.....
 
Waafrika mbumbumbu sana inapofika swala la kuiga mambo ya kizungu hadi kufikia kuwa kichekesho, sasa baby shower ya mtoto mtu kafanya ya makungwi. Ndo utajua tofauti ya mtu mwenye pesa na mtu anayefilisika View attachment 1218396View attachment 1218397View attachment 1218398View attachment 1218399View attachment 1218400View attachment 1218401View attachment 1218402View attachment 1218403View attachment 1218404View attachment 1218405View attachment 1218406
mark Zuckerberg si ni shoga
 
Sasa hebu ona mark Zuckerberg ni billionea mkubwa sana ila baby shower yake hajatumia hata elfu 50, wakati diamond ni kama maskini tu kwa Zuckerberg lakini katumia kama millioni 100 hv kwenye baby shower huoni ni ulimbukeni wewe jamaa?
Ulimsaidia kuzisaka,!!
 
Diamond ni mwanamuziki na pia ni celebrity number 1 hapa nchini ,katika kukuza biashara yake ya Muziki lazima ayakuze na maisha yake ya kawaida ili watu wapende na wazidi kumfuatilia kila siku kwa sababu kwa kufanya hivyo thamani yake inaongezeka mara dufu.

Mark Zuckeberg sio Mwanamuziki wala sio mtu anayetegemea maisha yake ya kawaida kukuza thamani yake au ya biashara yake kwa ujumla, ndio maana Mark anaweza akavaa shati la rangi moja mwaka mzima ila isiwe issue kabisa kwake wala biashara yake haitaathirika hata kidogo lakini Jay z au Kanye West hawawezi kufanya hivyo japokuwa wameachwa mbali sana Mark Zuckeberg kwenye upande wa utajiri.

Next time ukitaka ufananishe watu/vitu tafuta ulinganyo kwanza , maana mwisho wa siku utakuja kuonekana huna uelewa na vitu vidogo vidogo
atakayebisha baada ya hii comment na apigwe maana hamn namna (in pinda voice)
 
Sasa hebu ona mark Zuckerberg ni billionea mkubwa sana ila baby shower yake hajatumia hata elfu 50, wakati diamond ni kama maskini tu kwa Zuckerberg lakini katumia kama millioni 100 hv kwenye baby shower huoni ni ulimbukeni wewe jamaa?
Mkuu uelewa wako bado..
Mark ni CEO wa kampuni ambayo haihitaji show off za baby shower ili ku-make money wala mark hahitaji popularity ili atengeneze pesa...

Lakini Diamond the moment atakapoacha kuongelewa pesa inakata hapo hapo...

MPAKA HAPO HUONI TOFAUTI??

Mark hata akitumia usd mil 1 kufanya hio baby shower haimpunguzii kitu wala kumuongezea .
Lakini Diamond akitumia pesa nyingi na show off nyingi inamuongezea popularity ya kuongelewa na inawezekana akagain more zaidi ya alivyowekeza...

Mentality kama yako ndio imemuua kiba na kumtoa kwenye soko la kibongo..
Bila showoff bongo flavor inakushinda asubuhi mapema
 
Nipo huku Kwediboma, Handeni nyumba haina hata umeme wa REA wa 27,000 lakini kuna bonge la sherehe wamekodi Generator, Mabasi mziki mkubwa mtoto anachezwa.
 
Wachangiaji wa huu uzi nani kati yenu alifanyiwa babe shower? Hivi vitu vya kuiga ni matumizi mabaya ya pesa sawa na kichen party. Lakini kama mnazo hakuna shida.
 
Ha h ha ha huu uzi nilikua nafikiria cha kukuandikia mtoa mada ila comment ya bibi faiza foxy apo juu naona kamaliza kila kitu
 
Back
Top Bottom