Tofauti ya baby shower ya Diamond Platnumz na Mark Zuckerberg

Tofauti ya baby shower ya Diamond Platnumz na Mark Zuckerberg

Sasa hebu ona mark Zuckerberg ni billionea mkubwa sana ila baby shower yake hajatumia hata elfu 50, wakati diamond ni kama maskini tu kwa Zuckerberg lakini katumia kama millioni 100 hv kwenye baby shower huoni ni ulimbukeni wewe jamaa?
White people they get money, but they don't know how to spend it.
 
Lengo la baby shower ni kupeana vizawadi kwa ajili ya mtoto mtarajiwa kama vi nguo nguo, na kutangaza jinsia ya mtoto mtarajiwa. Na mara nyingi huwa ni simple indoor event ya ki home home. Najua diamond ushamba tu umechangia. We fuatilia hata mastaa wengi duniani baby shower huwa ni event ndogo sana hainaga mbwembwe kabisa
Kwa hiyo wewe ujanja ni kufanya wanavyofanya Ma star wakubwa wa dunia.

Akili za kitumwa ni shida.
 
Ukijua maana showbizz utafuta huu uzi na utaandika uzi wakutuomba msamaha
 
tusiojua hata maana ya bby shower tuendelee kusoma comments huenda tukaambulia chochote kitu
 
Back
Top Bottom