Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
White people they get money, but they don't know how to spend it.Sasa hebu ona mark Zuckerberg ni billionea mkubwa sana ila baby shower yake hajatumia hata elfu 50, wakati diamond ni kama maskini tu kwa Zuckerberg lakini katumia kama millioni 100 hv kwenye baby shower huoni ni ulimbukeni wewe jamaa?
Kwa hiyo wewe ujanja ni kufanya wanavyofanya Ma star wakubwa wa dunia.Lengo la baby shower ni kupeana vizawadi kwa ajili ya mtoto mtarajiwa kama vi nguo nguo, na kutangaza jinsia ya mtoto mtarajiwa. Na mara nyingi huwa ni simple indoor event ya ki home home. Najua diamond ushamba tu umechangia. We fuatilia hata mastaa wengi duniani baby shower huwa ni event ndogo sana hainaga mbwembwe kabisa