Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kwa nini unasema hivyo??Huu sasa ushoga.
Waafrika mbumbumbu sana inapofika suala la kuiga mambo ya kizungu hadi kufikia kuwa kichekesho, sasa baby shower ya mtoto mtu kafanya ya makungwi. Ndo utajua tofauti ya mtu mwenye pesa na mtu anayefilisika.
View attachment 1218396View attachment 1218397View attachment 1218398View attachment 1218399View attachment 1218400View attachment 1218401View attachment 1218402View attachment 1218403View attachment 1218404View attachment 1218405View attachment 1218406
Swine we,uwe una soma na kuelewa kwanza kabla hujakurupuka.Jamaa alikuwa anashauri matumizi bora ya rasilimali fedha,leo anazo kesho hana.
Hata Mhe. JPM anatupa akili ya kutumia fedha kiungalifu awamu hii ya 5 pasipo kusaka sifa.
Sikupotoshi na usipotoshe wengine.
Dogo wala haukupaswa kujibu ulichemka, kaa kimya
1.umekejeli yeye kulinganisha
2.umekejeli elimu
3.kisha ukasema sio kosa lake
bado ukaomba msamaha
bado unaaandika post mfu kama hii
narudi tena, angalia na ID zenu hizo, ni aibu[/
Acha kuita watu dogo bila kuwafahamu wewe zwazwa...so ulitaka nisiseme kama sikumwelewa ama? Chukua time yako we kijana
Hivi Zurckerbeg ile T-shirt yake pendwa haibadilishwi au anazo nyingi?
Were acha masihala hamna familia yenye matumizi mabaya ya fedha kama ya akina kardashian,juzi kati Kylie Jenner kafanya birthday ambayo imejumuisha watu 30 katika boti ya kukodi imekatika dola mil 1.So usione mkusanyiko wa watu wachache ukazani hela inayotumika ni ndogo.Wewe lini umeona baby shower ya beyonce/jay-z yenye mbwembwe za kijinga? Hebu jaribu ku Google baby shower za kim Kardashian ambaye maisha yake ni show hutakuta baby shower kama ya Diamond imejaa mishankupe ya mjini. Baby shower zao very simple ki home home tena hata siyo sherehe.
Kama ulifafanua ulifafanua kibwege sana.Halafu hueleweki upo upande gani.Ndio maana ume-apologize baada ya kuona umejichanganya kibwege.We bwege kweli, kwahiyo maana ya mimi kufafanua ni ipi?
Nafikiri kuna kitu unakisahau, linapokuja suala la matumizi ya fedha yawe makubwa au madogo kuna mambo makuu mawili.Sasa hebu ona mark Zuckerberg ni billionea mkubwa sana ila baby shower yake hajatumia hata elfu 50, wakati diamond ni kama maskini tu kwa Zuckerberg lakini katumia kama millioni 100 hv kwenye baby shower huoni ni ulimbukeni wewe jamaa?
Sawa mtunza kabati wa Zuckerberg"cyrustheruler,
Hivi Zurckerbeg ile T-shirt yake pendwa haibadilishwi au anazo nyingi?
Anazo nyingi ila zina rangi mbili ni kama zinaelekeana elekeana hivyo hivyo, kuna siku aliweka picha ya sanduku lake la nguo la ukutani. Asilimia kubwa hata viongozi wakubwa wasiopenda kuchosha akili mapema kabisa asubuhi kufikiria nivae nini leo huwa na nguo maalumu za kuvaa kama sare kwa wiki nzima na ndo maana utaona baadhi ya watu wazito hupendelea kuvaa nguo za aina moja. Mfano wa baadhi ya watu ni rais mstaafu wa marekani Barack Obama alikua anabadilisha rangi ya tai tu pamoja na bilionea Richard Branson.
Wengi wao hukwepa kuwa na decision fatique mapema kabisa asubuhi maana Maisha yao yanaongozwa na kufanya maamuzi mengi kwa siku juu ya majukumu yao wanayotekeleza na kuyasimamia.
Hivi nimeongelea birthday au baby shower mbona hunielewi, birthday ni sawa ila kuwa muelewaWere acha masihala hamna familia yenye matumizi mabaya ya fedha kama ya akina kardashian,juzi kati Kylie Jenner kafanya birthday ambayo imejumuisha watu 30 katika boti ya kukodi imekatika dola mil 1.So usione mkusanyiko wa watu wachache ukazani hela inayotumika ni ndogo.
Yale mapumziko binafsi ya Jiga na familia yake ktk boti ukipigiwa mahesabu yake unaweza ukakuta Diamond katika hiyo Baby shower yake hayajagusa hata robo.We mtu shingoni tu ana cheni thamani yake zaidi ya dola laki 3,ana Maybach thamani yake 8mil dollars ,yote haya anayafanya sababu ya branding yake.
Tena hiyo familia ya Kardashian kila kitu kwao ni biashara ndio wanao ongoza kwa SHOW OFF hollywood yote na ndio maana maisha yao yote wameyaweka kwenye TV.
Diamond hizi show off ndizo zinazo mpa mikataba ya PEPSI, Coca Cola,DSTV,Parimatch,GSM,Nice One ili azitangaze bidhaa kwani marketing ya bidhaa yoyote inahitaji mtu anaye trend.
Mark Zuckerburg yy haitaji hizi SHOW OFF zaidi ya hapo atajikita katika kucreate new technology ili apige hela,ndio maana yy mwaka mzima anavaa nguo za rangi moja kwake haina athari kwenye biashara yake.
Hahaaaaahaaaaa...Tajiri hata akiwa simple tu ila tayari yeye ni tajiri na anajulikana kua yeye ni tajiri tayari,
Masikini ndio hujitutumua ili nao waonekane wamo pia, But sio mbaya kila mtu anaishi apendavyo,kwani kuna formula ya jinsi ya kufanya hiyo Baby shower?
Mimi ndio mara yangu ya kwanza kusikia kua kumbe hua kuna kitu kinaitwa Baby shower!
Kwa hiyo kutumia gharama kubwa kwenye birthday sawa,ila kwenye baby shower sio sawa?Hivi nimeongelea birthday au baby shower mbona hunielewi, birthday ni sawa ila kuwa muelewa
Mtu pesa katafuta kwa jasho lake why apangiwe kuzitumia, hapo ndipo wabongo tunapokwama [emoji23] ina maana mkuu wewe umeumia sana kuliko ndugu zake wa karibuSasa hebu ona mark Zuckerberg ni billionea mkubwa sana ila baby shower yake hajatumia hata elfu 50, wakati diamond ni kama maskini tu kwa Zuckerberg lakini katumia kama millioni 100 hv kwenye baby shower huoni ni ulimbukeni wewe jamaa?
Sure. Watu hawashangai kuna harusi lilipigwa India, wizikid akalipwa zaidi ya 500M + za kibongo ili awepo tu pale kwa wiki.Diamond ni superstar mkubwa Tanzania
chochote anachofanya lengo pia ni ku trend
kuhusu pesa sio lazima awe ametumia pesa sana
watu wanaweza sponsor mradi bidhaa zao nazo zi trend...
Na utamaduni tu wa Kitanzania na Wasanii...ingekuwa ngumu kwake
kufanya kitu low profile..
India kuna harusi zinatumia hadi dollar milioni 100
sababu ni utamaduni kupenda harusi kubwa
Hata diamond angekuw mark angefanya hivyo na hata mark angekuwa diamond anvefanya hivyo..Sasa hebu ona mark Zuckerberg ni billionea mkubwa sana ila baby shower yake hajatumia hata elfu 50, wakati diamond ni kama maskini tu kwa Zuckerberg lakini katumia kama millioni 100 hv kwenye baby shower huoni ni ulimbukeni wewe jamaa?