Tofauti ya Dini(Imani) ni ushahidi wa uhakika wa uwepo wa Mungu


Shukrani mkuu naona umegusia kuhusu credo mutwa kuna kipindi nilitafuta sana vitabu vyake nilifanikiwa kuvipata

lkn tatizo vyote vilikuwa kwenye lugha ya kizulu; natamani sana kujua kuhusu annunak,
 
Shukrani mkuu naona umegusia kuhusu credo mutwa kuna kipindi nilitafuta sana vitabu vyake nilifanikiwa kuvipata

lkn tatizo vyote vilikuwa kwenye lugha ya kizulu; natamani sana kujua kuhusu annunak,
Credo Mutwa aliandika mengi Sana kuhusu hao viumbe pia utaweza umtafute father of conspiracy theories mwingereza David Icke naye ana vitabu vingi hasa reptilians agenda na vingine vingi Sana pia huyo David Icke kashirikiana na Credo Mutwa kuandika machapisho vile vile,
Pia nitaendelea kukupa mtiririko na matini kuwahusu Hawa viumbe na uhusika wao na
Accient civilization,
Ila ukiangalia documentary YouTube inaitwa
Anunnak Chronicles kidogo utapata mwanga!
 

Shukrani Mkuu
 
Nitaludi baada ya chimbo kidogo la haya uliyoyataja
 

Binadamu alitokeaje? Vipi nao viumbe wengine walitokeaje? Kwanini kuna Me na Ke ,factor zipi zilifanya kutokee viumbe vya ke na me? Mbona miti ni ke yote? (Uchavushaji)
 
Mkuu Dumas the terrible
Kunaswali moja la Musingi hapa.
Katika viumbe vinavyoonekana kwa Sasa nikiamanisha wanyama na binadamu wote wame undergo evolution.

Kwanza nakili kabisa Giant humani walikuwapo hapo zamani, hata kwenye Biblia wamesemwa, wewe unawaita Hawa Annuanak.
Hoja yako kubwa kwamba Hawa Annuanak (viumbe wa sayari zingine) walifanya human cloning na morden man akatokea.
Swali
Nani alifanyia Animal cloning wakatokea morden animals?. Maana tukiludi nyuma kidogo wanyama wanaononekana kwa Sasa hawakuwa hivyo ushaidi mwingi Sana wa archeology kwenye accident animal site inaonesha tembo, Simba, tigers etc wa Sasa hawafanani na WA miaka iliyopita.

Naomba kumufahamu aliyefanya hii animal cloning.
Asante
 
Mkuu Dumas the terrible , kutokana na ulichosema kuhusu annuanak binafsi nina swali,
1. Ikiwa main purpose la hao viumbe kuja duniani ni kuchimba dhahabu na kwenda nazo space ili ku repair atmosphere yao je if they are capple of creating a human being kwanini wasitengeneze dhahabu wao kama wao coz uwezo huo wanao au kuamuru iwe tu bula kufanya repair

2. Nimefuatilia hoja zako ni kwamba Mungu hayupo bali hawa hawa Annuanak baada ya kutoweka ndo binadam ndo waliweka imani ya juu uwepo wa mbingu kwa maana ya sehemu waliyoenda hao viumbe je , original source ya hawa viumbe inaonyesha wameanzaje maisha .?
Naomba kuwasilisha mkuu [emoji1320][emoji1320]

Sent from my TECNO K9 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…