Tofauti ya Dini(Imani) ni ushahidi wa uhakika wa uwepo wa Mungu

Wazungu wana haki lakini watu hawana haki???

Wacha nijisalishe, sina peteroli leo, kasumba tupu, nasali bei ipungue, ikipungua, naenda pugu, nikirudi kutoka kununua bando tutaendelea
Mimi nasema binadamu na watu wewe unasema wazungu. Sasa nashangaa Sana kwani wazungu siyo watu na wala siyo binadamu????.
Dah wewe nenda Pugu kwanza
But
Wazungu waliabudu Nini basi Soma hapa wagiriki wa Athens kipindi Cha Mtume Paulo waliabudu Nini.
Matendo ya Mitume 17:16,23,27
[16]Paulo alipokuwa akiwangojea huko Athene na kuona jinsi mji ule ulivyojaa sanamu, roho yake ilichukizwa sana ndani yake.
[23]Kwa sababu nilipokuwa nikipita huko na huko na kuyaona mambo ya ibada yenu, naliona madhabahu iliyoandikwa maneno haya, KWA MUNGU ASIYEJULIKANA. Basi mimi nawahubirini habari zake yeye ambaye ninyi mnamwabudu bila kumjua.
[27]ili wamtafute Mungu, ingawa ni kwa kupapasa-papasa, wakamwone, ijapokuwa hawi mbali na kila mmoja wetu.
 
Kwanza sishangai msimamo wako huo maana huu msimamo ni wa masadukayo kwani hawakuamini maisha baada ya kifo.

Matendo ya Mitume 23:8
[8]Kwa maana Masadukayo husema ya kwamba hakuna kiyama wala malaika wala roho; bali Mafarisayo hukiri yote.
For the Sadducees say that there is no resurrection, neither angel, nor spirit: but the Pharisees confess both.

Je unakiri kuwa binadamu ana Roho???
Hizo hekaya za Mafarisayo na masadukayo zilikua za zama za Giza Huko hazina nafasi Katika Dunia ya Kisasa,
Pia Swala Roho ni la nadharia tu hakuna ushahidi wa kiidhibati na kisayansi kuthibitisha uwepo wa Roho zaidi zaidi ni kichaka Cha watu wa Dini kujibu maswali magumu Kwa majibu mepesi,

Mungu,roho,mbingu,jehanam,
Shetani, Malaika, maserafi,mapepo ni man made Ili hivyo vitu viwepo vinategemea watu wawepo ndipo navyo viwepo bila hivyo hizo ni Nadharia uchwara Ambazo hazishikiki Wala kuthibitishika katika Hali halisia labda uwe mgonjwa wa akili ndipo utapata hayo mambo!
 
Ulipoharibu ni pale uliposema Waafrica. Ulaya, America ,Asia, etc hakuna dini??. Je kabla ya kuletewa dini na wazungu Africa hatukuwa na dini (Imani)?
Dini zipo ila ni za kwao na sisi waafrica tulikuwa na zetu izi zilizopo saiv ni mpya uwa najiuliza hao waafrica waliokuwepo kabla ya izi dini na wao wataona moto just because awakufuata maandiko. Na likija suala la kufunuliwa kimaandiko kwanini wasingekuwepo waafrica ambao wanatangaza dini za ukristo na uislam mpaka wazungu ndo wamekuja leta izo dini kwahiyo ina maana Mungu aliteua wazungu tu kutangaza izo dini,mostly mambo mengi kwenye maandiko ya dini zenu yamefanyika uzunguni itoshe kusema uyo ni mungu wao ila cha kushangaza waafrica wamezipokea na kuzshika kama za kwao
 
Hizo hekaya za Mafarisayo na masadukayo zilikua za zama za Giza Huko hazina nafasi Katika Dunia ya Kisasa,
Pia Swala Roho ni la nadharia tu hakuna ushahidi wa kiidhibati na kisayansi kuthibitisha uwepo wa Roho zaidi zaidi ni kichaka Cha watu wa Dini kujibu maswali magumu Kwa majibu mepesi,

Mungu,roho,mbingu,jehanam,
Shetani, Malaika, maserafi,mapepo ni man made Ili hivyo vitu viwepo vinategemea watu wawepo ndipo navyo viwepo bila hivyo hizo ni Nadharia uchwara Ambazo hazishikiki Wala kuthibitishika katika Hali halisia labda uwe mgonjwa wa akili ndipo utapata hayo mambo!
Ok upo vizuri bwana mzee. Vipi naomba kufahamu Annuanak ni viumbe harisia au Roho. Je vilitoka wapi na vilipoteaje hapa katika uso wa Dunia ama huko kwenye sayari zingine. Niambie kwa ushahid wa kisayansi walitowekaji?
 
Dini zipo ila ni za kwao na sisi waafrica tulikuwa na zetu izi zilizopo saiv ni mpya uwa najiuliza hao waafrica waliokuwepo kabla ya izi dini na wao wataona moto just because awakufuata maandiko. Na likija suala la kufunuliwa kimaandiko kwanini wasingekuwepo waafrica ambao wanatangaza dini za ukristo na uislam mpaka wazungu ndo wamekuja leta izo dini kwahiyo ina maana Mungu aliteua wazungu tu kutangaza izo dini,mostly mambo mengi kwenye maandiko ya dini zenu yamefanyika uzunguni itoshe kusema uyo ni mungu wao ila cha kushangaza waafrica wamezipokea na kuzshika kama za kwao
Kabla ya ukiristo, uisilamu budha etc kuja duniani , ulaya kulikuwa na dini gani?. Je Waafrica nani aliwafunulia hizo dini zao kabla ya wazungu kuleta ukristo na uisilamu??.
 
Unaona sasa ilo la ulaya ni la wao kufikiria na sisi waafrica ni letu kufikiria,ukiangalia sasa hao wa ulaya dini saiv wanazikacha wakristo ndo kwanza wanafungisha ndoa za mashoga. Dini zao azituhusu sanaaa
 
Ok upo vizuri bwana mzee. Vipi naomba kufahamu Annuanak ni viumbe harisia au Roho. Je vilitoka wapi na vilipoteaje hapa katika uso wa Dunia ama huko kwenye sayari zingine. Niambie kwa ushahid wa kisayansi walitowekaji?
Annunaki ni viumbe kama Mimi na Wewe ulivyo,walikuwepo waliendesha Maisha Katika Hali halisia,waliishi hapa hapa duniani,walijenga Miji mikubwa,migodi,viwanda na walifanya space travel Katika uhalisia,waliendesha Dunia ya kale Katika ustaarabu wao Kwa kushirikiana na watu,
Mwishowe wakaondoka kurudi Katika Sayari Yao waliyotokea,
Kwa hiyo Maswala Yao sio ya Imani ni real Katika uthibitisho wa kimazingira na Kazi zao zinaonekana mpaka Leo Hii Kwa ushahidi wa kiidhibati na kisayansi,
Pia Swala la kutoweka kwao ilikuwepo Katika mipango Yao maana waliandika katika maandishi Yao ya kwamba
Wametoka Nibiru wakashuka duniani kuchimba Dhahabu ikiwa kama project endelevu Kwa maelfu ya miaka mpaka pale watakapofikia lengo lao mwishowe wataondoka kurudi kwao na hawata Rudi Tena duniani Kwa lengo la kuchimba Dhahabu ila ikiwa ni kuifanya Dunia ufanane na Mbinguni(Nibiru)
Yaani heaven in Earth na Enlil ndie aliyetoa wazo Katika miaka ya mbeleni watakuja kuijenga Dunia ifanane na mbingu hapo ndipo binadamu akaanzisha nadharia za Dunia kufanywa paradise na viumbe wa anga za Juu na wakaviabudu wakijipa matumaini Juu ya ujio wao mara ya pili hiyo imeandikwa katika vitabu vya kale vya Sumeria na Biblia ya Israelites

Matumaini hewa Toka kale mpaka Leo hawakurejea habari zikageuka ni Imani,kua na subira siku ifike,wakaibuka manabii na mitume wakijinasibu ni mawakala wa MIUNGU Ili kuendelea kuwafariji watu Juu ya Hilo Swala wakatoweka wakaacha wafuasi mpaka Leo
Ndio nyie watu wa Dini!
 
Naomba kujua ni miaka ipi walikuja duniani na kufanya makazi yao huku Kisha kuondoka?. Pia naomba kujua baadhi ya miji waliojenga na kuishi pamoja na migodi waliyochumba dhahabu. Umetaja makazi yao ni niburi (mbinguni). Naomba kufahamu huko niburi ama mbinguni ni wapi?
Asante
 
Unaona sasa ilo la ulaya ni la wao kufikiria na sisi waafrica ni letu kufikiria,ukiangalia sasa hao wa ulaya dini saiv wanazikacha wakristo ndo kwanza wanafungisha ndoa za mashoga. Dini zao azituhusu sanaaa
Ukisoma Uzi wangu hapo juu, unatoa sababu za watu kupuuza Mambo ya Imani (dini), hivyo wazungu kukacha ukristo na kufungisha ushoga ndoa ni Jambo la kawaida tu. Hapa naomba kukuuliza unafahamu history ya Ukristo kuenezwa Ulaya na namna waeneza dini hiyo walivyoteswa na kuuwawa kikatiri?. Je Kama waeneza ukristo waliteswa na kuuwawa kikatiri huko ulaya , lakini wakashindwa kuuzuia , Je wadhani ukiristo zilikuwa fikra za wazungu tu ama fikra hizi zimetokea wapi?. Maana hata ulaya ukristo ulienezwa tu Tena Karine ya kwanza mwishoni na Karne ya pili mwanzoni. Je unafahamu ukristo ulienezwa wakati mmoja katika bara la ulaya na Africa. Kumbuka Israel, kushi na Ethiopia zimehusika katika shughuli za Dini ya kikiristo toka Agano la kale hadi Jipya?.
Karibu Sana mkuu
 
kwa mujibu wa bibilia kuna ushaihindi wa uwepo wa dini mbalimbaili toka kitambo sana soma Kutoka 7:10-11
[10]Basi Musa na Haruni wakaingia kwa Farao, wakafanya vivyo kama BWANA alivyowaambia; Haruni akaibwaga fimbo yake chini mbele ya Farao, mbele ya watumishi wake, ikawa nyoka.
[11]Ndipo Farao naye akawaita wenye akili na wachawi; na hao waganga wa Misri wakafanya vivyo kwa uganga wao.
Yoshua 24:15
[15]Nanyi kama mkiona ni vibaya kumtumikia BWANA, chagueni hivi leo mtakayemtumikia; kwamba ni miungu ile ambayo baba zenu waliitumikia ng’ambo ya Mto, au kwamba ni miungu ya wale Waamori ambao mnakaa katika nchi yao; lakini mimi na nyumba yangu tutamtumikia BWANA.
Matendo ya Mitume 23:6-8
[6]Paulo alipotambua ya kuwa sehemu moja ni Masadukayo, na sehemu ya pili ni Mafarisayo, akapaza sauti yake katika ile baraza, Ndugu zangu, mimi ni Farisayo mwana wa Farisayo; mimi ninahukumiwa kwa ajili ya tumaini la ufufuo wa wafu.
[7]Alipokwisha kunena hayo palikuwa na mashindano baina ya Mafarisayo na Masadukayo, mkutano ukafarakana.
[8]Kwa maana Masadukayo husema ya kwamba hakuna kiyama wala malaika wala roho; bali Mafarisayo hukiri yote.
Matendo ya Mitume 17:22-25
[22]Paulo akasimama katikati ya Areopago, akasema, Enyi watu wa Athene, katika mambo yote naona ya kuwa ninyi ni watu wa kutafakari sana mambo ya dini.
[23]Kwa sababu nilipokuwa nikipita huko na huko na kuyaona mambo ya ibada yenu, naliona madhabahu iliyoandikwa maneno haya, KWA MUNGU ASIYEJULIKANA. Basi mimi nawahubirini habari zake yeye ambaye ninyi mnamwabudu bila kumjua.
[24]Mungu aliyeufanya ulimwengu na vitu vyote vilivyomo, yeye, kwa kuwa ni Bwana wa mbingu na nchi, hakai katika hekalu zilizojengwa kwa mikono;
[25]wala hatumikiwi kwa mikono ya wanadamu kana kwamba anahitaji kitu cho chote; kwa maana ndiye anayewapa wote uzima na pumzi na vitu vyote.
Matendo ya Mitume 6:5
[5]Neno hili likapendeza machoni pa mkutano wote; wakamchagua Stefano, mtu aliyejaa imani na Roho Mtakatifu, na Filipo, na Prokoro, na Nikanori, na Timoni, na Parmena, na Nikolao mwongofu wa Antiokia;
Tunashukuru
 
Yoshua 24:15
[15]Nanyi kama mkiona ni vibaya kumtumikia BWANA, chagueni hivi leo mtakayemtumikia; kwamba ni miungu ile ambayo baba zenu waliitumikia ng’ambo ya Mto, au kwamba ni miungu ya wale Waamori ambao mnakaa katika nchi yao; lakini mimi na nyumba yangu tutamtumikia BWANA.
And if it seem evil unto you to serve the LORD, choose you this day whom ye will serve; whether the gods which your fathers served that were on the other side of the flood, or the gods of the Amorites, in whose land ye dwell: but as for me and my house, we will serve the LORD.

Mkuu, Mungu aliamua kujipambanua ili kuleta kweri. Watu walitapatapa kutafuta kweri kwa kupapasa lakini yeye akaamua kujifunua kwetu. Miungu ilikuwepo na ndiyo maana naye ajifunua. Siyo watu wote watapona maana hata viumbe wa kiroho hawakumutii wote. Jambo la msingi ni kutafuta kweri nayo itakuweka huru
Ndo nimeanza kuutafuta ukweli, mababu zetu hawakuwa na uwezo mkubwa kuwachallenge wamisionari, waliingia kwenye dini za watu kama kumbikumbi, nataka nijipe hiyo kazi iliyowashinda mababu zetu.

Kwanza Mungu kapungukiwa nini hadi nimtumikie, kama Kuna maagizo kanipa niyafate mbona hajishughulishi na midahalo ya kidini, mnaweza mkabishana watu wa dini mbalimbali hadi kupelekea vita lakini Mungu anakaa kimya. Mungu haoni ni ukatili kumpa binadamu maagizo alafu yeye mwenyewe anajificha hataki aonekane? Sisi tutajuaje kama kweli yupo?
 
Mkuu Soma hapa utaona wazee walichallange lakini Mambo yalikuwa magumu Hadi wanasurrender.
Ethene ni makao makuu ya ugiriki huko ndiko akina Plato, Socrates, pythogras etc watata wote wa philothopy, mathematics and all sayansi ndiko walikozaliwa lakini walinyosha mikono juu. Maana Elimu ya Mungu iliambatana na miujiza ya ajabu isiyoelezeka katika mazingira ya kawaida Mkuu.
Matendo ya Mitume 17:16-34
[16]Paulo alipokuwa akiwangojea huko Athene na kuona jinsi mji ule ulivyojaa sanamu, roho yake ilichukizwa sana ndani yake.
[17]Basi katika sinagogi akahojiana na Wayahudi na waliomcha Mungu, na wale waliokutana naye sokoni kila siku.
[18]Na baadhi ya Waepikureo na Wastoiko, wenye ujuzi, wakakutana naye. Wengine wakasema, Mpuzi huyu anataka kusema nini? Wengine walisema, Anaonekana kuwa mtangaza habari za miungu migeni, kwa maana alikuwa akihubiri habari za Yesu na ufufuo
[19]Wakamshika, wakamchukua Areopago, wakisema, Je! Twaweza kujua maana ya elimu hii mpya unayoinena?
[20]Kwa maana unaleta mambo mageni masikioni mwetu, tutapenda kujua, basi, maana ya mambo haya.
[21]Kwa maana Waathene na wageni waliokaa huko walikuwa hawana nafasi kwa neno lo lote ila kutoa habari na kusikiliza habari za jambo jipya.
[22]Paulo akasimama katikati ya Areopago, akasema, Enyi watu wa Athene, katika mambo yote naona ya kuwa ninyi ni watu wa kutafakari sana mambo ya dini.
[23]Kwa sababu nilipokuwa nikipita huko na huko na kuyaona mambo ya ibada yenu, naliona madhabahu iliyoandikwa maneno haya, KWA MUNGU ASIYEJULIKANA. Basi mimi nawahubirini habari zake yeye ambaye ninyi mnamwabudu bila kumjua.
[24]Mungu aliyeufanya ulimwengu na vitu vyote vilivyomo, yeye, kwa kuwa ni Bwana wa mbingu na nchi, hakai katika hekalu zilizojengwa kwa mikono;
[25]wala hatumikiwi kwa mikono ya wanadamu kana kwamba anahitaji kitu cho chote; kwa maana ndiye anayewapa wote uzima na pumzi na vitu vyote.
[26]Naye alifanya kila taifa la wanadamu kutoka katika mmoja, wakae juu ya uso wa nchi yote, akiisha kuwawekea nyakati alizoziamuru tangu zamani, na mipaka ya makazi yao;
[27]ili wamtafute Mungu, ingawa ni kwa kupapasa-papasa, wakamwone, ijapokuwa hawi mbali na kila mmoja wetu.
[28]Kwa maana ndani yake yeye tunaishi, tunakwenda, na kuwa na uhai wetu. Kama vile mmoja wenu, mtunga mashairi alivyosema, Maana sisi sote tu wazao wake.
[29]Basi, kwa kuwa sisi tu wazao wa Mungu, haitupasi kudhani ya kuwa Uungu ni mfano wa dhahabu au fedha au jiwe, vitu vilivyochongwa kwa ustadi na akili za wanadamu.
[30]Basi, zamani zile za ujinga Mungu alijifanya kama hazioni; bali sasa anawaagiza watu wote wa kila mahali watubu.
[31]Kwa maana ameweka siku atakayowahukumu walimwengu kwa haki, kwa mtu yule aliyemchagua; naye amewapa watu wote uthabiti wa mambo haya kwa kumfufua katika wafu.
[32]Basi waliposikia habari za ufufuo wa wafu wengine walifanya dhihaka; wengine wakasema, Tutakusikiliza tena katika habari hiyo.
[33]Basi hivi Paulo akaondoka akawaacha.
[34]Baadhi ya watu wakashikamana naye, wakaamini; katika hao alikuwamo Dionisio, Mwareopago, na mwanamke mmoja jina lake Damari, na watu wengine pamoja na hao.
 
Naomba kujua ni miaka ipi walikuja duniani na kufanya makazi yao huku Kisha kuondoka?. Pia naomba kujua baadhi ya miji waliojenga na kuishi pamoja na migodi waliyochumba dhahabu. Umetaja makazi yao ni niburi (mbinguni). Naomba kufahamu huko niburi ama mbinguni ni wapi?
Asante
According to Sumeria text Annunaki waliwasili duniani Miaka 450,000 BCE na kuanzisha project zao nyingi, mathalani sehemu iitwayo Nippur ndipo Spaceship ya kwanza ya ANNUNAK ilitua na hapo ndipo walianzia project Yao Kisha ikafuatia kush ambako ndipo ilipogunduliwa Dhahabu Kwa mara ya kwanza na Igigi Aliens Moja ya race ya Anunnaki walianza kufanya Kazi ya machimbo then wakaendelea mpaka maputo Msumbiji na South Africa ambako archiologist wameyagundua machimbo ya Dhahabu ya kale Yenye hiyo idadi ya Miaka,
Kuhusu Miji Anunnaki walijenga Miji mingi sana ukiacha Ile iliyozama baharini kipindi Cha deluge,pia Kuna Underground tunnels nyingi sana kukatiza bahari zote,
Pia Kuna Pyramids za Giza, MesoAmerica,Canary islands, Indonesia, china, India,
Puma Punku,Rama setu bridge Tamil Nadu India, Angkor wat kule Cambodia,Atlantis,Lemuria pamoja na mambo mengi sana yasiyoelezeka ila yanaacha utata juu ya Accient civilization Kiasi kwamba Muda hautoshi kuelezea hapa mkuu!
 
Unaushahidi gani Kama hizo accient civilization hazijajengwa na Normal humani?. Naomba ushaidi wa kisayansi Mkuu wenye concrete evidence.
 
Mambo ya Tomaso hayo mpaka aguse viganja vya Yesu ndipo aamini kwamba ni yeye ok,
Nenda You tube kataangalie documentary mbali mbali kuwahusu hasa
Annunaki chronicles pia angalia tafiti za Chris Dun anavyoelezea Pyramids za Giza zilivyotumika kuzalisha Umeme wa mionzi vile vile utaangalia tafiti za kisayansi kuhusu pyramids za MesoAmerica nazo zikionesha ni Accient Mashine zilizotumika kusupply Umeme wa mionzi Katika Dunia ya kale,
Usipende kutafuniwa Anza na Hivyo halafu njoo unipe mrejesho hapa hapa
Note tafiti hupingwa Kwa tafiti usije na maswali Tena kwangu Ili uridhike Tenga bajeti Nenda site kajionee mwenyewe kama wasemayo ni kweli au laa!
 
Ushaangalia video ya Mussa, Yesu, Adamu na Hawa katika bustani ya Eden?. Mkuu nishaangalia documentary Sana katika channel ya National Geographic kuhusu accient civilization. Kama mji wa Pompeii itali, Bablion, Misiri etc lakini zinaeleza only human development na siyo Annuanak Mkuu.
Hebu such the Earth in 100 million years to come how will look like.
 
Back
Top Bottom