Wafia dini hawatokuelewa maana akili zao zilishaharibiwa na mafundisho ya vitisho kutoka kwenye magenge yao ya ibada.
How come Mungu muumbaji aishi mbinguni na kuja ktk dunia aliyoumba? Je kabla ya uumbaji alikuwa wapi? Hawa wafia dini wakifaulu kujibu haya maswali kiufasaha basi watafunguka akili na kujua kuwa mambo mengi ya dini tulipigwa, ni uongo mkubwa.
Dunia haijaumbwa na Mungu bali imefanywa na Nguvu ambazo si Mungu bali ni zaid ya Umungu na Nguvu hizo hazishahabiani na imani yoyote hapa dunian ivyo basi ilishasahauliwa zaman sana baada ya jamii kuacha kufuata sheria hizo na kukumbatia sheria mpya za uongo wa viumbe wanaojiita Miungu ambao wako limited kwenye kutoa misaada kwa mtu/mwanadamu.
Ndiomaana utaona kila siku makanisa na misikiti inaongezeka lakn mabaya na magonjwa hayakwishi unajuwa kwanini? Kwasababu huyo Allah/Mungu/Yahweh/Yehova/elishadai/Elohim/Yesu/azazel/zeus hawa wako limited kutimiza mahitaji ya wanadamu na kusolve matatizo ya kila mtu,
hivyo ili wakusaidie inakubdi uwatolee sana sadaka za kuwafuraisha ili wakusaidie na wao, we nenda kwa makanisa utasikia et ili ubarikiwe sharti utoe sadaka na upuuzi mwingine, na kwa wanganga na washirikina ni hivyo hivyo utaambiwa utoe kafara kwa mizimu/mashetan yaan unakabwa kila secta kuhakikisha huna pa kutorokea...
Kwa bahat mbaya yule mnaemkemea makanisan na misikitini ndiye yule yule mnaemuabudu kupitia majina mazuri ya Umungu ambapo kuna makundi ya viumbe wa kiroho wenye nguvu kubwa na ndio hugawana madaraja ya Uungu na Ushetani ili kubalance imani za watu dunian na hata hizi sheria huzi introduce ktk maisha ya kawaida ya wanadamu kupitia mawakala wao ambao ndio huleta hizi sheria na kanuni za kimataifa na mifumo ya siasa, uchumi na kijamii ili maisha yawe balance
.
Ukweli huu hutowai usikia kwa hao wachungaji wako wala mashekhe maana hao wote ni sehemu ya mipango ya huyo shetan kwa ubaya na Uzuri mnamuita Mungu
[emoji2