Your right 100%
Mwanzo 12:1
[1]BWANA akamwambia Abramu, Toka wewe katika nchi yako, na jamaa zako, na nyumba ya baba yako, uende mpaka nchi nitakayokuonyesha;
Now the LORD had said unto Abram, Get thee out of thy country, and from thy kindred, and from thy father's house, unto a land that I will shew thee:
Hebrew ( waebrania), walizaliwa katika jamii hiyo. Kulikuwa na kingdom nyingi tu hapo mashariki ya karibu.
Abraham alienda mara kazaa Egypt. Hicho kipindi Engyt ilikuwa imeshaimarika zamani Sana.
Mwanzo 12:14-15
[14]Basi ikawa Abramu alipofika Misri, Wamisri wakamwona huyo mwanamke ya kwamba yeye ni mzuri sana.
[15]Wakuu wa Farao wakamwona, nao wakamsifu kwa Farao; basi yule mwanamke akachukuliwa nyumbani mwa Farao.
Hiii maana yake mipango ya Mungu ilianza katikati ya himaya zilizoimarika. Ambazo zilikuwa na miungu wao.