Tofauti ya kesi ya Mbowe na Sabaya

Tofauti ya kesi ya Mbowe na Sabaya

econonist

JF-Expert Member
Joined
Jul 11, 2015
Posts
20,189
Reaction score
29,663
Baada ya Mh Mbowe na Wenzake kuachiliwa kumeibuka watu wanaodai na Sabaya naye aachiwe. Msingi wa madai yao Kama Mbowe ameachiwa kwanini na Sabaya asiachiwe. Naomba nitoe tofauti ya kesi ya mbowe na Sabaya.

1. Kwanza, kesi ya Sabaya ilishafika hukumu na akapatikana na hatia na kifungo Cha miaka 30. Ila kwa Mbowe ndio kwanza alikuwa anaanda ushahidi wake kujitetea.

2. Pili, kwa sehemu ilipokuwa imefikia kesi ya Mbowe alikuwa haitaji msamaha bali kufutiwa mashtaka maana hukumu ilikuwa bado haijasomwa. Ila kwa Sabaya kwasababu alishahukumiwa yeye anahitaji presidential pardon Yani huruma ya Rais.

3. Tatu, kwenye kesi ya mbowe kulikuwa hakuna ushahidi wa nguvu zaidi ya assumptions , lakini kwenye kesi ya Sabaya ushahidi upo dhahiri na victims walitoa ushahidi wao.

4. Nne, kwenye kesi ya Sabaya Sabaya amekata Rufaa, Hapo msamaha utasubiri mpaka rufaa isikilizwe na maamuzi kutolewa. Na Kama Rufaa itakazia hukumu, basi Sabaya itabidi asubirie huruma ya Rais.

5. Tano, Tatizo jingine Sabaya ana kesi nyingi Sana, hivyo itabidi ksubiri kusikiliza kesi zote za Arusha na Moshi, ndipo uamuzi wa kumsamehe utolewe. Ila Kuna kesi zingine zimekaa vibaya, Kama ubakaji.

6. Mwisho, kesi ya Sabaya imefunguliwa baada ya Rais kuingia madarakani 2021, lakini ya Mh Mbowe ilianza kabla ya 2021, Yani mwaka 2020 ndio maana Mbowe amepachikwa kwenye kesi katikati.

Mwisho, tumuombee Sabaya naye atolewe kwa msamaha wa Rais.
 
Huyu nashauri akae hata miaka 3 ili iwe fundisho maana kwa umri wake na mambo aliyofanyia raia ni hujuma nzito na mbaya sana kwa kundi la vijana hasa walio katika utumishi wa umma.
 
Sabaya akisamehewa basi wafungwa wote regardless ya makosa na gereza nao wapewe presidential pardon.
 
Sabaya Arusha tu ana kesi 6... Kilimanjaro 70
 
Mkuu uzito ama tofauti nyingine ni kwamba Sabaya alitenda makosa yake akiwa Mtumishi wa Serikali na makosa yake ni ukiukaji mkubwa wa nidhamu ya kazi kazini wakati Mbowe ni Wanasiasa na makosa yake ni ya kisiasa zaidi.
 
Ole Sabaya amefungwa kwa makosa ya ujambazi na utakatishaji fedha. Huko jela watu waliofungwa kwa makosa hayo ni wengi sana kwahiyo Rais hawezi kufanya upendeleo wa kumsamehe jambazi mmoja asitumikie kifungo kwasababu ni mwanaccm na majambazi wengine wakaozea jela!!

Ole Sabaya ana kesi nyingine ambazo bado hazijaamuliwa ingawa watu wanataka kuaminisha jamii kuwa ujambazi wa Sabaya ni wa kisiasa hivyo aonewe huruma; kumuonea huruma jambazi aliyehukumiwa kifungo kwa kuingiza siasa sio busara bali ni kuiangamiza jamii.
 
Baada ya Mh Mbowe na Wenzake kuachiliwa kumeibuka watu wanaodai na Sabaya naye aachiwe. Msingi wa madai yao Kama Mbowe ameachiwa kwanini na Sabaya asiachiwe. Naomba nitoe tofauti ya kesi ya mbowe na Sabaya.

1. Kwanza, kesi ya Sabaya ilishafika hukumu na akapatikana na hatia na kifungo Cha miaka 30. Ila kwa Mbowe ndio kwanza alikuwa anaanda ushahidi wake kujitetea.

2. Pili, kwa sehemu ilipokuwa imefikia kesi ya Mbowe alikuwa haitaji msamaha bali kufutiwa mashtaka maana hukumu ilikuwa bado haijasomwa. Ila kwa Sabaya kwasababu alishahukumiwa yeye anahitaji presidential pardon Yani huruma ya Rais.

3. Tatu, kwenye kesi ya mbowe kulikuwa hakuna ushahidi wa nguvu zaidi ya assumptions , lakini kwenye kesi ya Sabaya ushahidi upo dhahiri na victims walitoa ushahidi wao.

4. Nne, kwenye kesi ya Sabaya Sabaya amekata Rufaa, Hapo msamaha utasubiri mpaka rufaa isikilizwe na maamuzi kutolewa. Na Kama Rufaa itakazia hukumu, basi Sabaya itabidi asubirie huruma ya Rais.

5. Tano, Tatizo jingine Sabaya ana kesi nyingi Sana, hivyo itabidi ksubiri kusikiliza kesi zote za Arusha na Moshi, ndipo uamuzi wa kumsamehe utolewe. Ila Kuna kesi zingine zimekaa vibaya, Kama ubakaji.

6. Mwisho, kesi ya Sabaya imefunguliwa baada ya Rais kuingia madarakani 2021, lakini ya Mh Mbowe ilianza kabla ya 2021, Yani mwaka 2020 ndio maana Mbowe amepachikwa kwenye kesi katikati.

Mwisho, tumuombee Sabaya naye atolewe kwa msamaha wa Rais.
Tofauti nyingine kubwa ni kwamba Mbowe ni international figure aliejadiliwa mpaka na bunge la Ulaya,ivyo kesi yake ina madhara sana kwenye diplomasia ya kiuchumi na siasa za kimataifa.

Huyu Sabaya anajulikana tu miongoni mwa wahuni waliokuwa wanafaidika na matendo yake machafu km ujambazi,ubakaji n.k.
 
Yule Sabaya ndio alifoji kitambulisho cha usalama
 
Baada ya Mh Mbowe na Wenzake kuachiliwa kumeibuka watu wanaodai na Sabaya naye aachiwe. Msingi wa madai yao Kama Mbowe ameachiwa kwanini na Sabaya asiachiwe. Naomba nitoe tofauti ya kesi ya mbowe na Sabaya.

1. Kwanza, kesi ya Sabaya ilishafika hukumu na akapatikana na hatia na kifungo Cha miaka 30. Ila kwa Mbowe ndio kwanza alikuwa anaanda ushahidi wake kujitetea.

2. Pili, kwa sehemu ilipokuwa imefikia kesi ya Mbowe alikuwa haitaji msamaha bali kufutiwa mashtaka maana hukumu ilikuwa bado haijasomwa. Ila kwa Sabaya kwasababu alishahukumiwa yeye anahitaji presidential pardon Yani huruma ya Rais.

3. Tatu, kwenye kesi ya mbowe kulikuwa hakuna ushahidi wa nguvu zaidi ya assumptions , lakini kwenye kesi ya Sabaya ushahidi upo dhahiri na victims walitoa ushahidi wao.

4. Nne, kwenye kesi ya Sabaya Sabaya amekata Rufaa, Hapo msamaha utasubiri mpaka rufaa isikilizwe na maamuzi kutolewa. Na Kama Rufaa itakazia hukumu, basi Sabaya itabidi asubirie huruma ya Rais.

5. Tano, Tatizo jingine Sabaya ana kesi nyingi Sana, hivyo itabidi ksubiri kusikiliza kesi zote za Arusha na Moshi, ndipo uamuzi wa kumsamehe utolewe. Ila Kuna kesi zingine zimekaa vibaya, Kama ubakaji.

6. Mwisho, kesi ya Sabaya imefunguliwa baada ya Rais kuingia madarakani 2021, lakini ya Mh Mbowe ilianza kabla ya 2021, Yani mwaka 2020 ndio maana Mbowe amepachikwa kwenye kesi katikati.

Mwisho, tumuombee Sabaya naye atolewe kwa msamaha wa Rais.
Umeandika ujinga mtupu. Kutetea uongo ni kazi sana. Bora uendelee kujituma kuweka mambo yako sawa zaidi ya hapo ulipo.
 
Kama utafatilia vizuri ukiwa huna upande wako ata kesi ya Sabaya niya kuchongwa kuainzia ile aliyohukumiwa 30 years mpaka inayoendelea sasa!

Hakuna ushahidi usioshaka ata mmoja atakama kuna mashahidi ila mashahidi wote ni vituko vitupu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Baada ya Mh Mbowe na Wenzake kuachiliwa kumeibuka watu wanaodai na Sabaya naye aachiwe. Msingi wa madai yao Kama Mbowe ameachiwa kwanini na Sabaya asiachiwe. Naomba nitoe tofauti ya kesi ya mbowe na Sabaya.

1. Kwanza, kesi ya Sabaya ilishafika hukumu na akapatikana na hatia na kifungo Cha miaka 30. Ila kwa Mbowe ndio kwanza alikuwa anaanda ushahidi wake kujitetea.

2. Pili, kwa sehemu ilipokuwa imefikia kesi ya Mbowe alikuwa haitaji msamaha bali kufutiwa mashtaka maana hukumu ilikuwa bado haijasomwa. Ila kwa Sabaya kwasababu alishahukumiwa yeye anahitaji presidential pardon Yani huruma ya Rais.

3. Tatu, kwenye kesi ya mbowe kulikuwa hakuna ushahidi wa nguvu zaidi ya assumptions , lakini kwenye kesi ya Sabaya ushahidi upo dhahiri na victims walitoa ushahidi wao.

4. Nne, kwenye kesi ya Sabaya Sabaya amekata Rufaa, Hapo msamaha utasubiri mpaka rufaa isikilizwe na maamuzi kutolewa. Na Kama Rufaa itakazia hukumu, basi Sabaya itabidi asubirie huruma ya Rais.

5. Tano, Tatizo jingine Sabaya ana kesi nyingi Sana, hivyo itabidi ksubiri kusikiliza kesi zote za Arusha na Moshi, ndipo uamuzi wa kumsamehe utolewe. Ila Kuna kesi zingine zimekaa vibaya, Kama ubakaji.

6. Mwisho, kesi ya Sabaya imefunguliwa baada ya Rais kuingia madarakani 2021, lakini ya Mh Mbowe ilianza kabla ya 2021, Yani mwaka 2020 ndio maana Mbowe amepachikwa kwenye kesi katikati.

Mwisho, tumuombee Sabaya naye atolewe kwa msamaha wa Rais.
Salama ya Ole Sabaya ni gerezani sina imani na yeye kuachiwa huru watu bado wana hasira
 
Siwaelewi mjue! Sabaya anatakiwa asamehewe kisa Mbowe kaachiwa? Ujinga gani huu mbele ya taifa langu, kwa watu wenye timamu zao kichwani kesi ya Mbowe ilikuwa aibu kwa Taifa hili,hata kwa kutizama ushahidi wa upande wa jamhuri unaliona hili bila chenga,na kama wangeipoteza hiyo fulsa ya kuifuta hii kesi huenda tusingeamini macho na masikio yetu wenye hasira zao walikuwa tayari kutoa ushahidi.
SABAYA AACHIWE?
 
Baada ya Mh Mbowe na Wenzake kuachiliwa kumeibuka watu wanaodai na Sabaya naye aachiwe. Msingi wa madai yao Kama Mbowe ameachiwa kwanini na Sabaya asiachiwe. Naomba nitoe tofauti ya kesi ya mbowe na Sabaya.

1. Kwanza, kesi ya Sabaya ilishafika hukumu na akapatikana na hatia na kifungo Cha miaka 30. Ila kwa Mbowe ndio kwanza alikuwa anaanda ushahidi wake kujitetea.

2. Pili, kwa sehemu ilipokuwa imefikia kesi ya Mbowe alikuwa haitaji msamaha bali kufutiwa mashtaka maana hukumu ilikuwa bado haijasomwa. Ila kwa Sabaya kwasababu alishahukumiwa yeye anahitaji presidential pardon Yani huruma ya Rais.

3. Tatu, kwenye kesi ya mbowe kulikuwa hakuna ushahidi wa nguvu zaidi ya assumptions , lakini kwenye kesi ya Sabaya ushahidi upo dhahiri na victims walitoa ushahidi wao.

4. Nne, kwenye kesi ya Sabaya Sabaya amekata Rufaa, Hapo msamaha utasubiri mpaka rufaa isikilizwe na maamuzi kutolewa. Na Kama Rufaa itakazia hukumu, basi Sabaya itabidi asubirie huruma ya Rais.

5. Tano, Tatizo jingine Sabaya ana kesi nyingi Sana, hivyo itabidi ksubiri kusikiliza kesi zote za Arusha na Moshi, ndipo uamuzi wa kumsamehe utolewe. Ila Kuna kesi zingine zimekaa vibaya, Kama ubakaji.

6. Mwisho, kesi ya Sabaya imefunguliwa baada ya Rais kuingia madarakani 2021, lakini ya Mh Mbowe ilianza kabla ya 2021, Yani mwaka 2020 ndio maana Mbowe amepachikwa kwenye kesi katikati.

Mwisho, tumuombee Sabaya naye atolewe kwa msamaha wa Rais.
Kuachiwa KWA mbowe pigo lingine KWA sukuma gang
 
Huyu nashauri akae hata miaka 3 ili iwe fundisho maana kwa umri wake na mambo aliyofanyia raia ni hujuma nzito na mbaya sana kwa kundi la vijana hasa walio katika utumishi wa umma.
Mimi nashauri akae miaka wanayokaa vibaka na majambazi wote,haki sawa kwa wote.
Kama hana hatia hata leo hii aachiwe.
 
Baada ya Mh Mbowe na Wenzake kuachiliwa kumeibuka watu wanaodai na Sabaya naye aachiwe. Msingi wa madai yao Kama Mbowe ameachiwa kwanini na Sabaya asiachiwe. Naomba nitoe tofauti ya kesi ya mbowe na Sabaya.

1. Kwanza, kesi ya Sabaya ilishafika hukumu na akapatikana na hatia na kifungo Cha miaka 30. Ila kwa Mbowe ndio kwanza alikuwa anaanda ushahidi wake kujitetea.

2. Pili, kwa sehemu ilipokuwa imefikia kesi ya Mbowe alikuwa haitaji msamaha bali kufutiwa mashtaka maana hukumu ilikuwa bado haijasomwa. Ila kwa Sabaya kwasababu alishahukumiwa yeye anahitaji presidential pardon Yani huruma ya Rais.

3. Tatu, kwenye kesi ya mbowe kulikuwa hakuna ushahidi wa nguvu zaidi ya assumptions , lakini kwenye kesi ya Sabaya ushahidi upo dhahiri na victims walitoa ushahidi wao.

4. Nne, kwenye kesi ya Sabaya Sabaya amekata Rufaa, Hapo msamaha utasubiri mpaka rufaa isikilizwe na maamuzi kutolewa. Na Kama Rufaa itakazia hukumu, basi Sabaya itabidi asubirie huruma ya Rais.

5. Tano, Tatizo jingine Sabaya ana kesi nyingi Sana, hivyo itabidi ksubiri kusikiliza kesi zote za Arusha na Moshi, ndipo uamuzi wa kumsamehe utolewe. Ila Kuna kesi zingine zimekaa vibaya, Kama ubakaji.

6. Mwisho, kesi ya Sabaya imefunguliwa baada ya Rais kuingia madarakani 2021, lakini ya Mh Mbowe ilianza kabla ya 2021, Yani mwaka 2020 ndio maana Mbowe amepachikwa kwenye kesi katikati.

Mwisho, tumuombee Sabaya naye atolewe kwa msamaha wa Rais.
Mwisho Sabaya amewakosea watu binafsi na siyo serikali tuu. Hao aliowakosea hawajamsamehe wanaendelea kusononeka.
 
Kesi ya Mbowe imeanza 2021 na kakamatwa Samia akiwa madarakani, BAVICHA acheni kujipendekeza kwa Chifu Hangaya mkimuona kama ni Malaika. Hata hivyo Sabaya ni ushahidi wa kutengeneza tu na CHADEMA ambao leo Samia anawaona wa maana sana
 
Back
Top Bottom