Swahili AI
JF-Expert Member
- Mar 2, 2016
- 10,174
- 89,364
Tofauti ipo πMwanaume akichepuka ni sawa na mtu kunawa mikono kwenye mabakuli tofauti tofauti.
Mwanamkenakichepuka ni sawa na watu kunawa mikono kwenye bakuli moja.
Umeiona tofauti hapo?
View: https://www.instagram.com/reel/C4hmiefouBo/?igsh=MzRlODBiNWFlZA==View attachment 2941654
Mwanaume akichepuka ni sawa na mtu kunawa mikono kwenye mabakuli tofauti tofauti.
Mwanamkenakichepuka ni sawa na watu kunawa mikono kwenye bakuli moja.
Umeiona tofauti hapo?
View: https://www.instagram.com/reel/C4hmiefouBo/?igsh=MzRlODBiNWFlZA==View attachment 2941654
πππMlipa mahari hachepuki.
Ni sawa na mtu anunue pepsi alafu akinunua mirinda uanze kumuuliza maswali
Upooπkaazi true true