Tofauti ya kusema mtumba sio nguo za mdosho sawa na kusema udi sio dawa ya kufukuza mbu

Fbn

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2016
Posts
15,749
Reaction score
37,420
Wiki zilizopita nili nunua viatu vya kichina ikatokea vikapotea mazingira ambayo ni uzembe wangu.Kwa vile nilipo mji ni mdogo nikashangaa kuulizia na alama niliyo gundua kuwa niliweka mimi nikaambiwa ni mtumba vinadumu.

Hivi kwa nini watu wanaamini kilicho tumika kinadumu wakati kinaweza kuwa ndio mlicho kataa kukitumia wakati kimekosa jina la biashara
 
Chukuwa chuma og timberland,teva, new balance, cat, Salomon sandals ss watu Waarusha ndy tunavaa izi mitumba bei n kwanzia 65000/ mpaka lak 35000/ syo unaenda kuvaa mtumba ya 5000/ et unasema kiatu mtumba og na unaishi nayo miaka ya kutosha
 
Hii lugha uliyoweka kama hupo live unaongea kichuga
 
Back
Top Bottom