Tofauti ya Simba na Yanga kuelekea mechi zao za robo fainali

Kwahiyo huko yanga kuna mtu anamsifia mzize?
 
wote wanaondoka
 
Tofauti ni moja wengine wamezoea kufika hatua ya robo wakati wengine ndio wageni hivyo Wana makelele mengi.
 
Simba yenyewe kikosi hatuna
 
Mashabiki hawachezi, wachezaji tunao? Simba iliyocheza robo final mara tatu ilikuwa Bora kuliko Simba hii. Simba hii ilishinda mechi moja TU makundi, Jwaneng walipuliziwa vitu visivyofahamika. Kama Simba waliweza kuroga uwanja wa Orlando ugenini watashindwaje kuroga kwa Mkapa nyumbani?
 
Ni Tanzania pekee timu iliyo nafasi ya pili kwenye msimamo wa ligi na ya tano afrika inaitwa timu dhaifu na ndio timu pekee inayoshikilia kombe rasmi (ngao ya jamii) kwa msimu husika ila inaitwa dhaifu hayo ni maajabu!
 
Ni Tanzania pekee timu iliyo nafasi ya pili kwenye msimamo wa ligi na ya tano afrika inaitwa timu dhaifu na ndio timu pekee inayoshikilia kombe rasmi (ngao ya jamii) kwa msimu husika ila inaitwa dhaifu hayo ni maajabu!
Timu ambayo imekosa ubingwa w ligi kwa miaka 2 mtawalia na kufungwa goli 5 kwenye ligi inayoendelea, licha ya kuishia robo final kila msimu. Actually, lazima Iko siku itagundulika kwanini wanafika robo lakini hawafiki nusu.
 
Kila la kheri Yanga.
Fainali yetu jumamosi.
Hatutaki kosakosa za Mzize na Ki Aziz, tunataka accuracy na magoli mengi maana tumeanza kuzoea mechi ya pili tunakamilisha ratiba tu!
Nyuma wacheze Nondo, Baka na Job, kuna quality inakosekana mmoja wao akiwa nje naona Gamondi hajashtukia hilo anapenda kumuweka nje Mwamnyeto na maboko tunayaona!! Ushauri umfikie walio karibu nae!!
 
nilikuwa namjibu yule anayesema simba wanafatilia zaidi mechi ya utopolo
Simba wanasahau uwezo wa okrah, Aziz ki, pacome, musonda, aucho, mudathir, lomalisa, Bacca, kibabage, Guede, job, nondo, Fred, Farid na Diara uwanjani. Ni Kweli kuwa Yanga na Simba zitafungwa zote kwenye weekend moja TU? Itakuwa aibu na msiba mkubwa kwa taifa, TFF na timu zetu.
 
Kila mtu apambane na Hali yake
 
Mpira sio ngono kwamba inachezwa chumbani,soka ni mchezo wa wazi unachezwa dimbani,tar 29 na 30 sio mbali..
 
wewe ndiye umekata tamaa, mpira ni dressing code ya dunia nzima, watu wana bet, wanachambua, wanaangalia mpira na wanashangilia mpira. ukijiona kuwa wewe ni tofauti na wale basi ujue umechanganyikiwa vibaya sana.
Kila siku kauli yake hiyo hiyo,afu bado yumo kwenye nyuzi za simba na yanga.
 
Wtf akili yako haina akili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…