Ahead
JF-Expert Member
- Jan 11, 2013
- 2,292
- 2,566
No wonder mnaambiwa ubingwa wenu unamakandokando yaani unamdoubt mtu mwenye consistent miaka tano caf wakati wewe miaka 25 hujui kuingia makundi club bingwa ya caf maana yake nini.Timu ambayo imekosa ubingwa w ligi kwa miaka 2 mtawalia na kufungwa goli 5 kwenye ligi inayoendelea, licha ya kuishia robo final kila msimu. Actually, lazima Iko siku itagundulika kwanini wanafika robo lakini hawafiki nusu.