Mimi kama shabiki wa Yanga nimerelax sana, binafsi naona Yanga haina cha kupoteza nadhani hata mashabiki wengine hawana presha kubwa. Timu inajaribu kuvunja rekodi ya kuingia nusu fainali. Mimi nikiulizwa nani atasonga mbele Simba au Yanga, nitajibu Simba. Sababu ni Moja tu Simba nadhani wamechoka kufungwa na Al Ahly watapambana sana na huenda watatoboa.