jiwe angavu
JF-Expert Member
- Aug 28, 2015
- 20,419
- 39,217
Kwanza muamini Mungu mmoja tu ambaye hakuzaa wala kuzaliwa ,wala hana mwana wala anayefanana naye,na amini kiwa muhmaad S.a.w ni mtume wake pamoja na mitume kabla yake issa(Yesu),musa,ibrahm mpka adam kuwa hawa ni mitume wa Mungu wametumwa kuufikisha ujembe mmoja wa kuabudiwa mungu mmoja tu na hawajawahi tofautiana.
then tutakupa utafauti murua wa sunn na shea
karibu sana
Nitambue lipi kati ya hayo 2?Yesu ni Mungu/Wana wa Mungu aliye Hai,tambua hilo kwanza.
Jibu swali bwana acha braabraaKwanza muamini Mungu mmoja tu ambaye hakuzaa wala kuzaliwa ,wala hana mwana wala anayefanana naye,na amini kiwa muhmaad S.a.w ni mtume wake pamoja na mitume kabla yake issa(Yesu),musa,ibrahm mpka adam kuwa hawa ni mitume wa Mungu wametumwa kuufikisha ujembe mmoja wa kuabudiwa mungu mmoja tu na hawajawahi tofautiana.
then tutakupa utafauti murua wa sunn na shea
karibu sana
Hao hao ndo wameniambia kwamba Yesu alikufa na kufufuka na Issa alikufa na hajawahi kufufuka. Au wew mwenzangu una habari za Issa kufufuka?ww huna unalogua unapelekwa pelekwa tu na ujinga ulionao,waulize viongozi wako wa dini watakwambia ukwel dogo....
Yataje hayo mafundishoTOFAUTI IPO:
Kwa kifupi ulisikia SUNNI maana yake wale WAISLAM wanaojinasibisha na kuihuisha Sunnah yaani MAFUNDISHO YA DINI KAMA ALIVYOYAISHI MTUME WA ALLAH REHEMA NA AMANI ZIWE JUU YAKE....
SHIA ilianza kama VUGUVUGU la kisiasa then baadaye kundi hili likawa na misingi yake ya THEOLOGIA na kwa wasomi wengi wa KIISLAM [JAMUHURIL ULAMAAH] wanaliona kundi hili kuwa sii WAISLAM bali ni kama CULT kwa sababu mafundisho yao mengi yapo kinyume na mafundisho ya Mtume wa Allah Rehema na amani ziwe juu yake.
Alie kwambia isa kafa ni chizi kama alie kubaliHao hao ndo wameniambia kwamba Yesu alikufa na kufufuka na Issa alikufa na hajawahi kufufuka. Au wew mwenzangu una habari za Issa kufufuka?
Angalau umesha notice utofauti. Sasa Yesu alikufa na kufufuka. Sasa kama Isa hata kufa hakufa anakuaje sawa na Yesu?Alie kwambia isa kafa ni chizi kama alie kubali
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Embu tueleze namna ya kujitoharisha mpk unamaliza kuswali kutoka ndani ya Qur-ani tu kma unakataa hadithiKila kundi Lina hadithi zake za mtume,ndiyo maana wengine hatutaki hadithi sababu ni uzushi wa wahuni kuwatoa waislam kwenye Qur'an, Bilal bin rabah alikua mweusi na miongoni mwa wa mwanzo kusilimu,lakini hakuna Hadith toka kwa Bilal bin rabah...
Kwani maya hudi wanasemaje kuhusu ndugu yao yesuAngalau umesha notice utofauti. Sasa Yesu alikufa na kufufuka. Sasa kama Isa hata kufa hakufa anakuaje sawa na Yesu?
Ili aingie kichwa kichwaKwanza muamini Mungu mmoja tu ambaye hakuzaa wala kuzaliwa ,wala hana mwana wala anayefanana naye,na amini kiwa muhmaad S.a.w ni mtume wake pamoja na mitume kabla yake issa(Yesu),musa,ibrahm mpka adam kuwa hawa ni mitume wa Mungu wametumwa kuufikisha ujembe mmoja wa kuabudiwa mungu mmoja tu na hawajawahi tofautiana.
then tutakupa utafauti murua wa sunn na shea
karibu sana
UDHUEmbu tueleze namna ya kujitoharisha mpk unamaliza kuswali kutoka ndani ya Qur-ani tu kma unakataa hadithi
Embu tueleze maisha ya mtume wetu kipenzi yalikuaje ndani ya Qur-ani tu kma unakataa hadithi
Ukiweza hayo mm nakua mfuasi wa nyinyi Ahlul Qur-an pekee
Mwenendo wa mtume saw ni Qur'an,Kama unataka kujua alikuwa mtu wa nchi gani,kabila gani,watoto na wake zake basi historia..lakini havihusiani na uislamEmbu tueleze namna ya kujitoharisha mpk unamaliza kuswali kutoka ndani ya Qur-ani tu kma unakataa hadithi
Embu tueleze maisha ya mtume wetu kipenzi yalikuaje ndani ya Qur-ani tu kma unakataa hadithi
Ukiweza hayo mm nakua mfuasi wa nyinyi Ahlul Qur-an pekee
Jamuhurul ULAMAAH hujui maana yake mpaka unaniuliza wengi kutoka wapi?Wengi kutoka wapi?... Umekwenda mataifa ya Uajemi? kuona hili dhehebu nguvu yake.
UMEELEZEA VYEMA LAKINI ULIBAKI 'ndani ya boksi'
Narudia tena acha kumfananisha Yesu na mtu aliyepewa utume na mkewe tena marioo.Lakini unakubali kua Yesu alikua anakwenda chooni kukata gogo? (kunya).
Unakubali kua Yesu alikua anakula, tena mitonge mikubwa kinoma?
Kiufupi Yesu na mimi tofauti zetu ni zama tu, za kuishi hapa Duniani.
Madhehebu ya Kiislam yapo zaidi ya 70, mbona umeuliza hayo tu Sheikh na sio Sallafi, Imam Hussein n.k?Waislamu ninyi hua mnanielewesha vizuri kabisa maswali yangu.
Naomba mnipe tofauti kati ya sunni na sh’ia na mnielezee nini kimesababisha tofauti hizo ziwepo na je hua kuna migongano baina ya hayo makundi mawili?
Tafadhali naomba nielimishwe juu ya hayo masuala adhimu ili nipate kujifunza vyema na nipate uelewa.
Shia. - BAKWATAWaislamu ninyi hua mnanielewesha vizuri kabisa maswali yangu.
Naomba mnipe tofauti kati ya sunni na sh’ia na mnielezee nini kimesababisha tofauti hizo ziwepo na je hua kuna migongano baina ya hayo makundi mawili?
Tafadhali naomba nielimishwe juu ya hayo masuala adhimu ili nipate kujifunza vyema na nipate uelewa.
Huwa Hamuelewi. Wayahudi, Wakristo na Waislam wote ni Monotheist (Wanaamini hivyo)Kwanza muamini Mungu mmoja tu ambaye hakuzaa wala kuzaliwa ,wala hana mwana wala anayefanana naye,na amini kiwa muhmaad S.a.w ni mtume wake pamoja na mitume kabla yake issa(Yesu),musa,ibrahm mpka adam kuwa hawa ni mitume wa Mungu wametumwa kuufikisha ujembe mmoja wa kuabudiwa mungu mmoja tu na hawajawahi tofautiana.
then tutakupa utafauti murua wa sunn na shea
karibu sana
Umejitahidi kwa uwezo wako kijanaUDHU
Qur'an 5:6
KUSIMAMA
2:238,2:144
KUSOMA
73:1-4,17:110
SUJUD
22:77,32:15
VIPINDI
73:1-4,32:15-16,17:78-79,11:114,20:130,30:17-18,24:58
Upumbavu wa SGR huu yni hutaki kujua mtume wako katoka wapi ety sio Uislamu pumbavu kabisaaa embu nioneshe jinsi ya kuhiji kwa Qur-an tuMwenendo wa mtume saw ni Qur'an,Kama unataka kujua alikuwa mtu wa nchi gani,kabila gani,watoto na wake zake basi historia..lakini havihusiani na uislam
Kukataa hadithi kuna karibiana zaidi na Kukataa Uislamu na ibada zake nyingi ,niambie wapi kama sio hadithi wametoa maelezo maneno yanatamkwa kwenye swala kuwa ukiwa kwenye Tahyatu useme hivi nk ?Kila kundi Lina hadithi zake za mtume,ndiyo maana wengine hatutaki hadithi sababu ni uzushi wa wahuni kuwatoa waislam kwenye Qur'an, Bilal bin rabah alikua mweusi na miongoni mwa wa mwanzo kusilimu,lakini hakuna Hadith toka kwa Bilal bin rabah...