Tofauti ya Sunni na Sh’ia ni ipi hasa?

Tofauti ya Sunni na Sh’ia ni ipi hasa?

Kwanza muamini Mungu mmoja tu ambaye hakuzaa wala kuzaliwa ,wala hana mwana wala anayefanana naye,na amini kiwa muhmaad S.a.w ni mtume wake pamoja na mitume kabla yake issa(Yesu),musa,ibrahm mpka adam kuwa hawa ni mitume wa Mungu wametumwa kuufikisha ujembe mmoja wa kuabudiwa mungu mmoja tu na hawajawahi tofautiana.

then tutakupa utafauti murua wa sunn na shea
karibu sana

Yesu ni Mungu/Wana wa Mungu aliye Hai,tambua hilo kwanza.
 
Kwanza muamini Mungu mmoja tu ambaye hakuzaa wala kuzaliwa ,wala hana mwana wala anayefanana naye,na amini kiwa muhmaad S.a.w ni mtume wake pamoja na mitume kabla yake issa(Yesu),musa,ibrahm mpka adam kuwa hawa ni mitume wa Mungu wametumwa kuufikisha ujembe mmoja wa kuabudiwa mungu mmoja tu na hawajawahi tofautiana.

then tutakupa utafauti murua wa sunn na shea
karibu sana
Jibu swali bwana acha braabraa

Sent from my TECNO BB2 using JamiiForums mobile app
 
TOFAUTI IPO:

Kwa kifupi ulisikia SUNNI maana yake wale WAISLAM wanaojinasibisha na kuihuisha Sunnah yaani MAFUNDISHO YA DINI KAMA ALIVYOYAISHI MTUME WA ALLAH REHEMA NA AMANI ZIWE JUU YAKE....

SHIA ilianza kama VUGUVUGU la kisiasa then baadaye kundi hili likawa na misingi yake ya THEOLOGIA na kwa wasomi wengi wa KIISLAM [JAMUHURIL ULAMAAH] wanaliona kundi hili kuwa sii WAISLAM bali ni kama CULT kwa sababu mafundisho yao mengi yapo kinyume na mafundisho ya Mtume wa Allah Rehema na amani ziwe juu yake.
Yataje hayo mafundisho
 
Kila kundi Lina hadithi zake za mtume,ndiyo maana wengine hatutaki hadithi sababu ni uzushi wa wahuni kuwatoa waislam kwenye Qur'an, Bilal bin rabah alikua mweusi na miongoni mwa wa mwanzo kusilimu,lakini hakuna Hadith toka kwa Bilal bin rabah...
Embu tueleze namna ya kujitoharisha mpk unamaliza kuswali kutoka ndani ya Qur-ani tu kma unakataa hadithi

Embu tueleze maisha ya mtume wetu kipenzi yalikuaje ndani ya Qur-ani tu kma unakataa hadithi

Ukiweza hayo mm nakua mfuasi wa nyinyi Ahlul Qur-an pekee
 
Kwanza muamini Mungu mmoja tu ambaye hakuzaa wala kuzaliwa ,wala hana mwana wala anayefanana naye,na amini kiwa muhmaad S.a.w ni mtume wake pamoja na mitume kabla yake issa(Yesu),musa,ibrahm mpka adam kuwa hawa ni mitume wa Mungu wametumwa kuufikisha ujembe mmoja wa kuabudiwa mungu mmoja tu na hawajawahi tofautiana.

then tutakupa utafauti murua wa sunn na shea
karibu sana
Ili aingie kichwa kichwa
 
UDHU
Qur'an 5:6
KUSIMAMA
2:238,2:144
KUSOMA
73:1-4,17:110
SUJUD
22:77,32:15
VIPINDI
73:1-4,32:15-16,17:78-79,11:114,20:130,30:17-18,24:58
 
Mwenendo wa mtume saw ni Qur'an,Kama unataka kujua alikuwa mtu wa nchi gani,kabila gani,watoto na wake zake basi historia..lakini havihusiani na uislam
 
Wengi kutoka wapi?... Umekwenda mataifa ya Uajemi? kuona hili dhehebu nguvu yake.

UMEELEZEA VYEMA LAKINI ULIBAKI 'ndani ya boksi'
Jamuhurul ULAMAAH hujui maana yake mpaka unaniuliza wengi kutoka wapi?

Shia ni kama Mormonism in Christian faith....

Ni Cult anyway;

SHIA ilianza kama VUGUVUGU la kisiasa wakati wa UKHALIFA WA ALIY ALLAH AMRIDHIE baada ya kifo cha HUSSEIN several years later ikaanzishwa THEOLOGIA ya SHIA na kutokana na resentments walizokuwa nazo wakawakufutisha baadhi ya maswahaba wakike na kiume....

Shia nao wana makundi kadhaa kama sikosei Luna makundi 12 ya itikadi za KISHIA wakiwafuata maimamu wao 12....

Ni somo refu
 
Lakini unakubali kua Yesu alikua anakwenda chooni kukata gogo? (kunya).
Unakubali kua Yesu alikua anakula, tena mitonge mikubwa kinoma?

Kiufupi Yesu na mimi tofauti zetu ni zama tu, za kuishi hapa Duniani.
Narudia tena acha kumfananisha Yesu na mtu aliyepewa utume na mkewe tena marioo.
 
Waislamu ninyi hua mnanielewesha vizuri kabisa maswali yangu.

Naomba mnipe tofauti kati ya sunni na sh’ia na mnielezee nini kimesababisha tofauti hizo ziwepo na je hua kuna migongano baina ya hayo makundi mawili?

Tafadhali naomba nielimishwe juu ya hayo masuala adhimu ili nipate kujifunza vyema na nipate uelewa.
Madhehebu ya Kiislam yapo zaidi ya 70, mbona umeuliza hayo tu Sheikh na sio Sallafi, Imam Hussein n.k?
 
Waislamu ninyi hua mnanielewesha vizuri kabisa maswali yangu.

Naomba mnipe tofauti kati ya sunni na sh’ia na mnielezee nini kimesababisha tofauti hizo ziwepo na je hua kuna migongano baina ya hayo makundi mawili?

Tafadhali naomba nielimishwe juu ya hayo masuala adhimu ili nipate kujifunza vyema na nipate uelewa.
Shia. - BAKWATA
Sunni - BALUKTA
 
Kwanza muamini Mungu mmoja tu ambaye hakuzaa wala kuzaliwa ,wala hana mwana wala anayefanana naye,na amini kiwa muhmaad S.a.w ni mtume wake pamoja na mitume kabla yake issa(Yesu),musa,ibrahm mpka adam kuwa hawa ni mitume wa Mungu wametumwa kuufikisha ujembe mmoja wa kuabudiwa mungu mmoja tu na hawajawahi tofautiana.

then tutakupa utafauti murua wa sunn na shea
karibu sana
Huwa Hamuelewi. Wayahudi, Wakristo na Waislam wote ni Monotheist (Wanaamini hivyo)
Suala la Trinity ni lingine
Screenshot_20230208-213436~2.jpg
 
UDHU
Qur'an 5:6
KUSIMAMA
2:238,2:144
KUSOMA
73:1-4,17:110
SUJUD
22:77,32:15
VIPINDI
73:1-4,32:15-16,17:78-79,11:114,20:130,30:17-18,24:58
Umejitahidi kwa uwezo wako kijana

Katika udhu kuna vitenguzi vyake na mipaka ya viungo vya udhu na fadhila za udhu naona hizi hujanionesha kwenye Qur-an

Acha ujinga ww uko ulipo wapotoshwa na tutakupigeni Raddi mpk umma wote wajue kua Uislamu ni Qur-an na Sunnah

Ikiwa unakataa hadithi utatwambia nn kuhusu wosia wa mtume kua tushikamane na Sunnah zake na Sunna za makhalifa wake waongofu
 
Mwenendo wa mtume saw ni Qur'an,Kama unataka kujua alikuwa mtu wa nchi gani,kabila gani,watoto na wake zake basi historia..lakini havihusiani na uislam
Upumbavu wa SGR huu yni hutaki kujua mtume wako katoka wapi ety sio Uislamu pumbavu kabisaaa embu nioneshe jinsi ya kuhiji kwa Qur-an tu

Na lau ukipta jinsi ya kuhiji ndani ya Qur-an pekee mm nakua mfuasi wenu sasa ivi

Ety unakataa maisha ya mtume sasa utajuaje mafundisho yake

Ah mda mwingine nyie watu m naona akili zenu zimefyonzwa na hao wajinga wenzenu

Hadithi sahihi zipo
Hadithi hassan zipo
Hadithi za kutunga zipo na zinajulikana
 
Kila kundi Lina hadithi zake za mtume,ndiyo maana wengine hatutaki hadithi sababu ni uzushi wa wahuni kuwatoa waislam kwenye Qur'an, Bilal bin rabah alikua mweusi na miongoni mwa wa mwanzo kusilimu,lakini hakuna Hadith toka kwa Bilal bin rabah...
Kukataa hadithi kuna karibiana zaidi na Kukataa Uislamu na ibada zake nyingi ,niambie wapi kama sio hadithi wametoa maelezo maneno yanatamkwa kwenye swala kuwa ukiwa kwenye Tahyatu useme hivi nk ?
 
Back
Top Bottom