Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sawa sawa. Yani kwa upande wa wanawake in chorus na uimbaji alikuwa hana mpinzani.Kipindi kile cha miaka ya 2012 kushuka chini jide alikuwa anaua sana kwenye upande mzima wa Chorus na ni wazi alikuwa level ya kina Juma nature,Q chilla na Ferooz.
Anaweza ila kwa sauti hata mm nasema wapo wanaomzidiAmna Jide anaweza sana, sema enzi zake mziki haukuwa na promo kivile kama sasa.
Inawezekana asijitaje kutokana na ule msemo wa kizuri hakijisifu bali husifiwa.Mmmmh.....sema umeamua kumpigia promo tu au umemkumbuka.....hata jaydee mwenyewe ukimuuliza ni msanii Gani wa kike mwenye sauti nzuri hawezi kujitaja yeye...
Hapana sio kweli....msanii mwenye sauti nzuri na vocal Kali ni ruby na hata kwenye interviews nyingi walizofanya wasanii wengi wa kike walipoulizwa wote walikiri kuwa Kwa ruby hawaoni ndani...ruby anauwezo wa kuimba tunes ya chini kabisa ambayo wasanii wengine hawawezi kuifikia na anaimba tune ya juu (base) ambapo sio kitu Cha kawaita katika sauti...Inawezekana asijitaje kutokana na ule msemo wa kizuri hakijisifu bali husifiwa.
Ila wewe fuatilia nyimbo zake vizuri nina imani utakubaliana na kile tunachokiandika hapa.
Umeona enhee...enzi hizo Ray C ndio alikuwa zuchu wa sasa hahahaaaaa.....tatizo aliingia kwenye biashara ya unga sasaNi kwakua Ray c alikosa nidhamu tu ya maisha ila Jaydee hakuwa anaingia kwa kiuno bila mfupa
Mkuu mbona umekimbilia kugusia sauti tu?Ana sauti ya kawaida sana
Sio nzuri ya kumuanzishia hadi uzi sasa
Kuna wasanii wana sauti hadi ukisikia wanaimba unapatwa na goosebumps
Hicho ndicho kilichoandikwa kwenye tittle ya Uzi huu....imeongeleea sauti kwanza sioMkuu mbona umekimbilia kugusia sauti tu?
Vipi utungaji na sifa zingine nilizoandika hapo juu?