havumilakiniyumo
Member
- Mar 19, 2016
- 16
- 5
Maafisa wakuu wa majeshi wakague Magari ya watumishi wao inatia aibu polisi kuongoza kwa kuvunja sheria, majeshi yote yaanzishe ukaguzi wa magari yanayoingia kwenye maeneo yao ili kulinda nidhamu majeshini.
Lazima kuwe Na utaratibu wa hawa watu kukaguliwa kitofauti, au wakuu wa majeshi watangaze zawadi Kwa watakao waumbua hawa watu. Kama askari anavunja sheria hivi ndogo ndogo basi ni mwanzo wa kuwa askari mchafu
Ninaunga mkono hoja.
Mimi faili langu limepotea inabidi nianze upya. Huyo mama wa kipare nilifika ofisini kwake akaonyesha jeuri ya hali ya juu. Watu wanalipwa mshahara kwa kodi yetu ili watutumikie lakini bado wanataka tuwape hela watufanyie kazi ambayo ni haki yetu. Angalau wangefanya hiyo kazi wakapewa shukurani baadaye.
Hili jipu kama halitatumbuliwa basi itakuwa ni shida sana kupata haki yako hapo Halmashauri ya Kinondoni.
leseni kwa mkulima ni haki Leo tarehe 20/4/2015 nimezuiliwa gari yenye mazao kwa madai kuwa lazima niwe na leseni ya mazao wakati naenda kuuza Arusha Mtama nimezuiliwa babati na afisa wa TRA Makame wakati mimi ni mkulima au mimi mkulima siruhusiwi kufika Arusha Na mazao? Naomba kujuzwaNdugu wana JamiiForums,
Nchi yetu imetafunwa mno na ni wakati sasa tuseme imetosha. Tumsaidie Rais Magufuli na Serikali yake kuweza kuzifahamu kero zetu za yanayotusumbua kama watanzania ambayo tungependa yafanyiwe kazi.
Karibuni sana.
MWONGOZO:
Elezea jipu/kero yako na kama ina ufafanuzi wa kutosha (nani, wapi, lini, kivipi n.k) ukiambatana na nyaraka itapendeza zaidi.
Kero hizi zitachapwa na kupelekwa kwa mamlaka husika ili zifanyiwe ufuatiliaji.
Kuna mtu kumbe anaendelea kuthubutu kusumbua wenzake ndani ya serikali ya Magufuli?Ninaunga mkono hoja.
Mimi faili langu limepotea inabidi nianze upya. Huyo mama wa kipare nilifika ofisini kwake akaonyesha jeuri ya hali ya juu. Watu wanalipwa mshahara kwa kodi yetu ili watutumikie lakini bado wanataka tuwape hela watufanyie kazi ambayo ni haki yetu. Angalau wangefanya hiyo kazi wakapewa shukurani baadaye.
Hili jipu kama halitatumbuliwa basi itakuwa ni shida sana kupata haki yako hapo Halmashauri ya Kinondoni.
subutuuuuuu!!!! ataanzia wap? naona kutumbuatumbua kumemuathiri ila tatizo haoni anachokitumbua..Wakuu
Habari za asubuhi,
Mh.Rais Magufuli na wasaidizi wake wameanza kasi nzuri katika kusafisha serikali. Lakini tunachoshangaa wananchi watendaji tena wengi wa ngazi za chini ndio tu nasikia wanasimamishwa kazi na kupeleka mahakakani.
Sasa Mimi nahoji Je Mh.Magufuli majipu makubwa ya "kitaifa" kama Vigogo waliochota fedha kwenye akaunti ya escrow unawaogopa.? Kama kweli umeamua kuwa mtenda haki na siyo mnafiki Mkuu tunakuomba Ulitumbuwe hili maana si jipu ni tambazi.
Ni hayo tu .
Mimi ndio raisi magufuli acha nikwambie kituWakuu habari za asubuhi,