Hadi kiasi cha rushwa wanachopokea kwa siku unajua.Kuna wafanyakazi wa TANROADS wanakuwa na gari Hardbody Ya Tanroads nyeupe inasimama njia ya Msata - Bagamoyo mida ya usiku, wanakula rushwa kwa kila fuso za mizigo zinazopita njia ile.
Kwa siku wafanyakazi hao huenda nyumbani na sh3m.
Tuanze na jipu hilo kwanza maana huo mchezo ulikuwepo tangu yeye akiwa waziri wa ujenzi.
utaifakwanza
Serikali inaibiwa !!!!!!
Sana tena sana wakati wa ukusanyaji ushuru magetini wafanyabiashara hawalipi ushuru sitahiki magetini ,
Wanatoa rushwa private mazao yanapita free kama mzigo ni millioni kumi mfanyabiashara analipa millioni tatu then mzigo unapita free
Simu zinapigwa kabla gari kupita mtu anatanguliza rushwa baadae gari haisimamishwi inapita free ko mfanyabiashara anaweza kutoa kila geti laki tano tano nakupita kwa faida kubwa....!!!
Kabisa hilo inabidi lifanyiwe kazi na wahusika.Jipu uchungu nimeliona hospitali ya Mwananyamala kitengo cha maabara watu wanaanza kupewa huduma saa tano. Na wakati wafanyakazi wanafika ofisini saa moja wao ni stori tu na kuacha wagonjwa wanaendelea kuzidiwa....
Mtu amepima toka jana lakini kumpa tu majibu yake asubiri hadi saa tano ndo waanze kutoa majibu....wao na stori tu ofisini
wew kinachokuuma n nini
WasalimieKuna wafanyakazi wa TANROADS wanakuwa na gari Hardbody Ya Tanroads nyeupe inasimama njia ya Msata - Bagamoyo mida ya usiku, wanakula rushwa kwa kila fuso za mizigo zinazopita njia ile.
Kwa siku wafanyakazi hao huenda nyumbani na sh3m.
Tuanze na jipu hilo kwanza maana huo mchezo ulikuwepo tangu yeye akiwa waziri wa ujenzi.
utaifakwanza
Ndugu wana JamiiForums,
Nchi yetu imetafunwa mno na ni wakati sasa tuseme imetosha. Tumsaidie Rais Magufuli na Serikali yake kuweza kuzifahamu kero zetu za yanayotusumbua kama watanzania ambayo tungependa yafanyiwe kazi.
Karibuni sana.
MWONGOZO: Elezea jipu/kero yako na kama ina ufafanuzi wa kutosha (nani, wapi, lini, kivipi n.k) ukiambatana na nyaraka itapendeza zaidi.
Kero hizi zitachapwa na kupelekwa kwa mamlaka husika ili zifanyiwe ufuatiliaji.
Ni wanufaika wa vyeo tenda mbalimbali kwenye kampuni zake binafsi na Serikalini hao kutwa kumsifia bila Aibu
Tunahitaji katiba mpya ambayo hizo sauti zitapewa uzitoNdugu wana JamiiForums,
Nchi yetu imetafunwa mno na ni wakati sasa tuseme imetosha. Tumsaidie Rais Magufuli na Serikali yake kuweza kuzifahamu kero zetu za yanayotusumbua kama watanzania ambayo tungependa yafanyiwe kazi.
Karibuni sana.
MWONGOZO: Elezea jipu/kero yako na kama ina ufafanuzi wa kutosha (nani, wapi, lini, kivipi n.k) ukiambatana na nyaraka itapendeza zaidi.
Kero hizi zitachapwa na kupelekwa kwa mamlaka husika ili zifanyiwe ufuatiliaji.
Watanzania ni wakati wa kuamka