Baba Masagu
Senior Member
- Aug 30, 2020
- 128
- 41
Hiyo ya barabara, tayari mkuu lami imewekwa
Kutuo kikubwa na cha kisasa zaidi kuwahi kuwepo Afrika tayari kinafanyiwa umaliziaji.
Tuwe na subira kabisa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hiyo ya barabara, tayari mkuu lami imewekwa
hapo umemaliza mkuu, mitano tena
hapo umemaliza mkuu, mitano tena
Pamoja na wizara husika kupiga marufuku tuition, mimi sioni ubaya wa tuition. Tuition inawasaidia watoto wa wenye kipato cha chini na kati kuwapa watoto wao elimu ya kuwavusha. Kwa wenyenazo hupeleka watoto wao kwenye supper/premium schools ambapo ushindi kwa kawaida ni 100%. Kama wanapiga marifuku tuition shule za serkali je, watadhtu kupiga marufuku shule za binafsi, ambazo mtoto analipia tuitio kama sehemu ya karo?Kuna majipu bado yapo mengi mfano:
Utafiti mdogo niliofanya, umeonesha kuna shule za msingi zinaendesha tuisheni, mfano.
Shule ya msingi Tumaini na Kimanga zote shule hizi zimeunganishwa pamoja. Walimu wao wamekuwa wakiendesha tuisheni, pembeni kidogo ya shule hizo.
Walimu hao huendesha tuisheni, katika majengo ya shule ya sekondari ya wazazi iliyoko maeneo ya sokoni huko huko tabata kimanga
Chanzo mimi mwenyewe nimefanya utafiti.
Pale Dodoma nashukuru Waziri wa Maji, Ndugu Aweso amefanya jambo. Dodoma maji yalikua yashida sana na hakuna sababu za maana zinazotolewa hakuna. Ila tangu Mkurugenzi wa DUWASA ahamishwe maji yanatoka kila siku na hata usiku ambao ulikua maji yanakatika sasa yanatoka.Ndugu wana JamiiForums,
Nchi yetu imetafunwa mno na ni wakati sasa tuseme imetosha. Tumsaidie Rais Magufuli na Serikali yake kuweza kuzifahamu kero zetu za yanayotusumbua kama watanzania ambayo tungependa yafanyiwe kazi.
Karibuni sana.
MWONGOZO: Elezea jipu/kero yako na kama ina ufafanuzi wa kutosha (nani, wapi, lini, kivipi n.k) ukiambatana na nyaraka itapendeza zaidi.
Kero hizi zitachapwa na kupelekwa kwa mamlaka husika ili zifanyiwe ufuatiliaji.
MhuuuPale Dodoma nashukuru Waziri wa Maji, Ndugu Aweso amefanya jambo. Dodoma maji yalikua yashida sana na hakuna sababu za maana zinazotolewa hakuna. Ila tangu Mkurugenzi wa DUWASA ahamishwe maji yanatoka kila siku na hata usiku ambao ulikua maji yanakatika sasa yanatoka.
Ila kiukweli ni kua Mkurugenzi alikua akihujumiwa na watendaji wa chini. Hivyo ipo haja hata wao wakamulikwa maana Mkurugenzi pekee bila waliochini yake waliokua wakikwamisha haiwezekani. Na kuna kauli kua mtu huyo alikua mkali na wakaamua kumhujumu.
Jipu linaanzia kwake yeye mwenyewe kuvuruga uchaguzi 2020 na kufuta mfumo wa vyama vingi sasa on athari yake viboko vya mkoloni kwa wakosaji vimezaliwa bila kufuata utaratibu,sheria na mwongozo wa nchi.Ndugu wana JamiiForums,
Nchi yetu imetafunwa mno na ni wakati sasa tuseme imetosha. Tumsaidie Rais Magufuli na Serikali yake kuweza kuzifahamu kero zetu za yanayotusumbua kama watanzania ambayo tungependa yafanyiwe kazi.
Karibuni sana.
MWONGOZO: Elezea jipu/kero yako na kama ina ufafanuzi wa kutosha (nani, wapi, lini, kivipi n.k) ukiambatana na nyaraka itapendeza zaidi.
Kero hizi zitachapwa na kupelekwa kwa mamlaka husika ili zifanyiwe ufuatiliaji.
kero yangu kupanda kwa bei za vitu mfano wiki mbilizilizo pita mafuta ya kula lita ili kua 3800 ila hadi leo mafita lita ni 5000 tuna elekea wapiNdugu wana JamiiForums,
Nchi yetu imetafunwa mno na ni wakati sasa tuseme imetosha. Tumsaidie Rais Magufuli na Serikali yake kuweza kuzifahamu kero zetu za yanayotusumbua kama watanzania ambayo tungependa yafanyiwe kazi.
Karibuni sana.
MWONGOZO: Elezea jipu/kero yako na kama ina ufafanuzi wa kutosha (nani, wapi, lini, kivipi n.k) ukiambatana na nyaraka itapendeza zaidi.
Kero hizi zitachapwa na kupelekwa kwa mamlaka husika ili zifanyiwe ufuatiliaji.
HabariNdugu wana JamiiForums,
Nchi yetu imetafunwa mno na ni wakati sasa tuseme imetosha. Tumsaidie Rais Magufuli na Serikali yake kuweza kuzifahamu kero zetu za yanayotusumbua kama Watanzania ambayo tungependa yafanyiwe kazi.
Karibuni sana.
MWONGOZO: Elezea jipu/kero yako na kama ina ufafanuzi wa kutosha (nani, wapi, lini, kivipi n.k) ukiambatana na nyaraka itapendeza zaidi.
Kero hizi zitachapwa na kupelekwa kwa mamlaka husika ili zifanyiwe ufuatiliaji.
Mafanikio ya Rais Magufuli: Viva Rais Magufuli, viva Tanzania
Binafsi nimefurahishwa na kasi ya Rais Dkt. Magufuli. Naamini wapo pia wengi wanaoungana nami katika furaha hii. Rais Magufuli ameanza kwa kasi ambayo kama ataimaintain, Tanzania haimalizi miaka mitano itakuwa tayari ni nchi yenye kipato cha kati. Hata hivyo wapo baadhi yetu ambao wanakejeli...www.jamiiforums.com
Ukisha fichua ww inakusaidia nn?,maana watu hawafanyi hayo kwa kupenda bali kutokana na ugumu wa maishaTufuchue vijiwe vya wavuta bangi ktk maeneo/mitaa yetu,
Madanguro, pombe haramu nk
vp msokoto mmoja una bei gani saiv mkuuUkisha fichua ww inakusaidia nn?,maana watu hawafanyi hayo kwa kupenda bali kutokana na ugumu wa maisha