Toka kwa Wananchi: Kero na vitendo vya kifisadi vinavyoendelea nchini vinavyotakiwa kufuatiliwa

Njia ya Msata-Bagamoyo sehemu gani exactly mkuu!? Pia ukiweza hata utuwekee namba za hiyo gari hapa. Ahsante sana.

Round about ya bagamoyo unataka sasa kuelekea mjini kuna check point flan hivi ambayo sio rasmi sana hao wanatabu sana
 
Ajira ni kero na inauma zaidi kuona wageni wengi wakifanya kazi bila vibali vya kazi wanachukua nafasi zetu pia serikali haipati kodi
 
Watumishi tunadai shabiki zetu hatujawahi kupanda madaraja wala kubadilishiwa mishahara miaka mitano sasa
 
NAUZA CARWASH MPYA YA KISASA
MAELEZO: UJENZI, MACHINE ZOTE, VYOMBO, SIMTANK, KODI n.k
JUMLA: TZS 8,000,000

LOCATION: KINONDONI BLOCK 41
CALL: 0717 26 33 77
 
Brela ni tatizo zana wanamkwamisha sana juhudu Za wawekeaje wanajifanya wanajua kila.kitu yaani mtu uko huko ndani maporini umeamua kusajili biashara yako wanachukua hela na wanakusumbua eti hujaeleźea viZuri location una print mara nyingi sana hadi inaźidi hela ya kulipia kwao
 
Matatizo yapo huku mtaani kuna miradi ya uzoaji takataka imeshakuwa Keri maana kwa mwezi watu wanakusanya zaidi ya milioni 10 lakini mradi wenyewe kwa mwezi ni laki 4 tuu. Ukiuliza hizo milionis nyingine zinakwenda wapi hakuna jibu. Hii ndio nchi ya Tanzania ya Mama
 
Nchi inaliwa na weusi km nyie mnalia.

Akila Mzungu.Muarabu mnaufyata yanachukiana yenyewe kwa yenyewe!!

Ulaji hata mbinguni upo.shetani aliposema na kudai haki ili ale km Mungu.

nae eti akae kwenye kiti cha enzi yalimpata makubwa mpaka leo akili zimeruka!! anaonea watu aibu. Gataki kujitokeza hadharani.

Mleta mada na jiwe wako ni wajukuu wa shetani mna tabia zile zile sasa hao TRA wakale wapi?kwa mkeo nymbafuuu kufwaaa!!!

Jiwe halipo tena....
 
Muda wa kuanza huduma hospitali au vituo vya afya vya umma ni tatizo. Usafi unafanywa kuanzia saa 2. Wodini ndo usiseme, kunanunuka, majibu yanasikitisha!
kwa nini usisafishe wewe mtumiaji? Huna ubwana mkubwa wowote.
Kutumia hovyo utumie wewe akusafishie mwigine kwa hela gani uliyo nayo.

Anaenukisha ni wewe mtumiaji huduma. Huoni hata aibu?

siyo wafanyakazi wa ward kwa malipo gani manono ya huyo mfanya kazi unadhani...mnastahili hayo kwa tabia zebu chafu.

Km vipi nenda Agakhani pasafi kwa wasafi uone gharama zake.nyie wachafu mnastahili uchafu msilie.unatoka kwa mtogole unataka pawe km agakhani mweee!! Si kila mswahili ataomba kulazwa!!

Unatamani pawe km TMJ Hosp??? Ni gharama zile nenda kaonje huduma bora kwa walio barikiwa maskini wewe....
 
Na Kodi yangu wanakata inaeenda wapi?
 


Kwa vile huu uzi ulikuwa wa kumsifia Mwendazake na baadae akaja kuwa adui mkubwa wa Jamii Forum, na kutaka kuifunga kama angeweza..
FUTENI HUU UZI..
 
Habar za asubuh wakuu,

Kwa mda mrefu nimekua nikisubir mama atoe tamko au afanye jambo pale kwenye wizara nyeti hasa inayogusa maisha ya watanzania moja kwa moja naona mama yuko kimya tu km vile alikua aoni wakati janga linakula watu km muchwana kuna mkulu mmoja tena anajiita Musomi sijui wa Phd anajifunika na kujifukiza mara anakunywa mwarobaini saiv yuko busy anavaa barakoa 24/7 na ameshaua watu wetu kwa kushindwa kuchukua hatua sijui bado anafanya nin?

Pale yule msaanii wa Bongo fleva mama nakusihi fanya jambo kwa ajiri ya watanzania yule Dr wa miti shamba afai kuwa mkulu wa kitengo cha afya pale HQ.


Sent from my SM-J410F using JamiiForums mobile app
 
Mambo mazuri aliyoyafanya Hayati Magufuli yafuatuliwe kwa karibu. Narudia yake mazuri, na nitataja machache.
1. Ufisadi,uonevu ubadhirishaji. Kwa mfano matukio ya kupindisha mambo...kwa sasa imerudia wananchi wakiuza au kununua shamba au nyumba Ofisi za serikali za Mitaa kudai 10% hii naona imerudia kwa kasi..

2. Hata wenye vyeti feki wanarejea oh my God ness
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…