ahahahaha!! Kwa hiyo unakunya hovyo!! Na kutumia mali za sirikali hovyo kwa ajili ya kinyongo na kodi yako siyo?Na Kodi yangu wanakata inaeenda wapi?
Usafi ni jambo ambalo hatujaumbiwa watu weusi.watu weusi wengi ni wachafu sana.mtu anatumia choo maji yapo na bado ha flush choo au kumwagia tu.kwa nini usisafishe wewe mtumiaji? Huna ubwana mkubwa wowote.
Kutumia hovyo utumie wewe akusafishie mwigine kwa hela gani uliyo nayo.
Anaenukisha ni wewe mtumiaji huduma. Huoni hata aibu?
siyo wafanyakazi wa ward kwa malipo gani manono ya huyo mfanya kazi unadhani...mnastahili hayo kwa tabia zebu chafu.
Km vipi nenda Agakhani pasafi kwa wasafi uone gharama zake.nyie wachafu mnastahili uchafu msilie.unatoka kwa mtogole unataka pawe km agakhani mweee!! Si kila mswahili ataomba kulazwa!!
Unatamani pawe km TMJ Hosp??? Ni gharama zile nenda kaonje huduma bora kwa walio barikiwa maskini wewe....
Wacha ubaki kwa kumbukumbu ila waanzishe mpya wa awamu ya sita,tena upewe jina (mwambie Mama Samia kero zako) itapendezaa zaidi haswa ukizingatia mama amejitambulisha kuwa mpenzi wa mitandao ,na imani akijua amefunguliwa page ya kupokea kero atatendea haki kero zetu ,kwako Max ,Jf response terms as whole JamiiForum membersKwa vile huu uzi ulikuwa wa kumsifia Mwendazake na baadae akaja kuwa adui mkubwa wa Jamii Forum, na kutaka kuifunga kama angeweza..
FUTENI HUU UZI..
Katiba haiombwi ni sharti na haki ya raia kudai katiba .....ukiona kimya ingia baeabarani ni haki yako kama huna subira usiombe ingia katiTulitegemea huyu rais aje na utatuzi wa mitanziko mikubwa iliyojitokeza ktk awamu ya 5 baada ya mwendazake kutumia katiba yetu mbovu na sheria zetu mbaya kuliyumbisha taifa. Hivyo tulitarajia yafuatayo:-
1. Abatilishe na kubadilisha sheria zinazowaweka watuhumiwa rumande kimabavu, mfano;- mashekhe, Harbinder Seth, Papaa Msofe, n.k
2. Aibadilishe katiba ili isitoe mwanya kwa mtu mmoja (rais) ama chama tawala kuharibu uchaguzi kama ilivyokuwa 2020.
3. Atoe tamko hata la kulaani tu kama sheria haimpi uwezo wa kuwatumbua kabisa Covid-19 waliopo bungeni. Lkn anaonekana kudemka ngoma ya mtangulizi wake. Nimeona alipokuwa Mwanza amemtambua Nusrat kama mbunge anayewakilisha vijana mkoa wa Singida na akapewa nafasi ya kutoa neno.
4. Ajitenge na makada wa chadema walionunuliwa na akina Bashiru na Polepole. Lkn naona bado anawapa uwaziri, uDC, n.k. Nadhani atawatumia huko mbeleni kwa staili zile zile za awamu ya 5.
5. Afanye teuzi kwa misingi ya weledi. Lkn naona anaangalia zaidi wale wanaoweza kumsogeza mbele kisiasa.
Ndiyo maana anaondoa wasiyo wake na anapachika walio wakwake. Akina Bashiru, Polepole, Heri James pamoja na katibu wa UVCCM amewatoa na anatia chachandu yake.
My take.
Kwa jinsi tunavyoenda, huyu rais wetu hana nia ya kubadilisha katiba na sheria kandamizi.
Duuh! Yote hayo within 3 monthsTulitegemea huyu rais aje na utatuzi wa mitanziko mikubwa iliyojitokeza ktk awamu ya 5 baada ya mwendazake kutumia katiba yetu mbovu na sheria zetu mbaya kuliyumbisha taifa. Hivyo tulitarajia yafuatayo...
Nchi nyingi zilitumia mtutu na kumwaga damu ili kudai Uhuru. Lkn Tanzania hizo hizo wonders zilitupatia uhuru bila kumwaga damu.Tanzania raha Rais anaombwa kuwe na Katiba Mpya.hahaha wonders shall never end!.
Ni kweli. Lkn wakumbuke mwendazake alisababisha maumivu hata kwa wanaccm. Kwasbb ya katiba mbovu.Mwisho wa siku tusisahau Rais ni mwanaccm...
Tulitegemea huyu rais aje na utatuzi wa mitanziko mikubwa iliyojitokeza ktk awamu ya 5 baada ya mwendazake kutumia katiba yetu mbovu na sheria zetu mbaya kuliyumbisha taifa. Hivyo tulitarajia yafuatayo
Mkuu hapo gumu ni moja tu la katiba mpya. Kwenye hilo angetoa hata kauli ya kuonesha nia tu. Hajafanya hivyo.Duuh! Yote hayo within 3 months
Tulitegemea huyu rais aje na utatuzi wa mitanziko mikubwa iliyojitokeza ktk awamu ya 5 baada ya mwendazake kutumia katiba yetu mbovu na sheria zetu mbaya kuliyumbisha taifa. Hivyo tulitarajia yafuatayo:-