Toka kwa Wananchi: Kero na vitendo vya kifisadi vinavyoendelea nchini vinavyotakiwa kufuatiliwa

Na Kodi yangu wanakata inaeenda wapi?
ahahahaha!! Kwa hiyo unakunya hovyo!! Na kutumia mali za sirikali hovyo kwa ajili ya kinyongo na kodi yako siyo?

Utahangaika na kusubili sana dogo.
ile kodi inaishia ulinzini huko. Kodi nyingine ni wewe kutunza mali hizo uzuri.

Hata huyo unaetaka akuhudumie anakatwa kodi tena faster hukohuko!!

Hata ivo mnunuzi ni sirikali yako.
 
NBC BANK pesa za mikopo zimeisha au hujuma? Haiwezekani MTU unaomba mikopo mwezi Mzima hela haipatikani.Kama mmeishiwa pesa si useme watu waende kwengine?
 
kwa nini usisafishe wewe mtumiaji? Huna ubwana mkubwa wowote.
Kutumia hovyo utumie wewe akusafishie mwigine kwa hela gani uliyo nayo.

Anaenukisha ni wewe mtumiaji huduma. Huoni hata aibu?

siyo wafanyakazi wa ward kwa malipo gani manono ya huyo mfanya kazi unadhani...mnastahili hayo kwa tabia zebu chafu.

Km vipi nenda Agakhani pasafi kwa wasafi uone gharama zake.nyie wachafu mnastahili uchafu msilie.unatoka kwa mtogole unataka pawe km agakhani mweee!! Si kila mswahili ataomba kulazwa!!

Unatamani pawe km TMJ Hosp??? Ni gharama zile nenda kaonje huduma bora kwa walio barikiwa maskini wewe....
Usafi ni jambo ambalo hatujaumbiwa watu weusi.watu weusi wengi ni wachafu sana.mtu anatumia choo maji yapo na bado ha flush choo au kumwagia tu.
Wafanyakazi wanasafisha,wanafua,wanafagia nje kumaintain usafi kwa hali nzuri ni ngumu maana mara nyingi wapo wachache.sasa ni vizuri watumiaji wawe wastaarabu
 
Kwa vile huu uzi ulikuwa wa kumsifia Mwendazake na baadae akaja kuwa adui mkubwa wa Jamii Forum, na kutaka kuifunga kama angeweza..
FUTENI HUU UZI..
Wacha ubaki kwa kumbukumbu ila waanzishe mpya wa awamu ya sita,tena upewe jina (mwambie Mama Samia kero zako) itapendezaa zaidi haswa ukizingatia mama amejitambulisha kuwa mpenzi wa mitandao ,na imani akijua amefunguliwa page ya kupokea kero atatendea haki kero zetu ,kwako Max ,Jf response terms as whole JamiiForum members
 
Hapa Namtumbo-Ruvuma kuna jipu idara ya maji,Maji yanatoka mara moja kwa wiki tena usiku ila pesa inakusanywa elfu kumi/10000/= per month.
Wananchi wanaona ni aina ya ufisadi na kufanya maisha ya watu kuwa magumu,maana kungekuwa na mita uhalali ungekuja elfu 3 au 4 per month.
Kijana wangu Juma Awesso tunakuomba uje utuokoe kama utapita na kuisoma hii kero
 
Tulitegemea huyu rais aje na utatuzi wa mitanziko mikubwa iliyojitokeza ktk awamu ya 5 baada ya mwendazake kutumia katiba yetu mbovu na sheria zetu mbaya kuliyumbisha taifa. Hivyo tulitarajia yafuatayo:-

1. Abatilishe na kubadilisha sheria zinazowaweka watuhumiwa rumande kimabavu, mfano;- mashekhe, Harbinder Seth, Papaa Msofe, n.k

2. Aibadilishe katiba ili isitoe mwanya kwa mtu mmoja (rais) ama chama tawala kuharibu uchaguzi kama ilivyokuwa 2020.

3. Atoe tamko hata la kulaani tu kama sheria haimpi uwezo wa kuwatumbua kabisa Covid-19 waliopo bungeni. Lkn anaonekana kudemka ngoma ya mtangulizi wake. Nimeona alipokuwa Mwanza amemtambua Nusrat kama mbunge anayewakilisha vijana mkoa wa Singida na akapewa nafasi ya kutoa neno.

4. Ajitenge na makada wa chadema walionunuliwa na akina Bashiru na Polepole. Lkn naona bado anawapa uwaziri, uDC, n.k. Nadhani atawatumia huko mbeleni kwa staili zile zile za awamu ya 5.

5. Afanye teuzi kwa misingi ya weledi. Lkn naona anaangalia zaidi wale wanaoweza kumsogeza mbele kisiasa.

Ndiyo maana anaondoa wasiyo wake na anapachika walio wakwake. Akina Bashiru, Polepole, Heri James pamoja na katibu wa UVCCM amewatoa na anatia chachandu yake.

My take.
Kwa jinsi tunavyoenda, huyu rais wetu hana nia ya kubadilisha katiba na sheria kandamizi.
 
Du! Huyu mwanamke mtamuua.
Ama kweli kuwa Rais ni mtiti.
Leo ni lawama tu toka asubuhi

Rais Samia nakukumbusha tena usijaribu kumridhisha kila unayemwongoza ova.
 
Tulitegemea huyu rais aje na utatuzi wa mitanziko mikubwa iliyojitokeza ktk awamu ya 5 baada ya mwendazake kutumia katiba yetu mbovu na sheria zetu mbaya kuliyumbisha taifa. Hivyo tulitarajia yafuatayo:-

1. Abatilishe na kubadilisha sheria zinazowaweka watuhumiwa rumande kimabavu, mfano;- mashekhe, Harbinder Seth, Papaa Msofe, n.k

2. Aibadilishe katiba ili isitoe mwanya kwa mtu mmoja (rais) ama chama tawala kuharibu uchaguzi kama ilivyokuwa 2020.

3. Atoe tamko hata la kulaani tu kama sheria haimpi uwezo wa kuwatumbua kabisa Covid-19 waliopo bungeni. Lkn anaonekana kudemka ngoma ya mtangulizi wake. Nimeona alipokuwa Mwanza amemtambua Nusrat kama mbunge anayewakilisha vijana mkoa wa Singida na akapewa nafasi ya kutoa neno.

4. Ajitenge na makada wa chadema walionunuliwa na akina Bashiru na Polepole. Lkn naona bado anawapa uwaziri, uDC, n.k. Nadhani atawatumia huko mbeleni kwa staili zile zile za awamu ya 5.

5. Afanye teuzi kwa misingi ya weledi. Lkn naona anaangalia zaidi wale wanaoweza kumsogeza mbele kisiasa.

Ndiyo maana anaondoa wasiyo wake na anapachika walio wakwake. Akina Bashiru, Polepole, Heri James pamoja na katibu wa UVCCM amewatoa na anatia chachandu yake.

My take.
Kwa jinsi tunavyoenda, huyu rais wetu hana nia ya kubadilisha katiba na sheria kandamizi.
Katiba haiombwi ni sharti na haki ya raia kudai katiba .....ukiona kimya ingia baeabarani ni haki yako kama huna subira usiombe ingia kati
 
Tulitegemea huyu rais aje na utatuzi wa mitanziko mikubwa iliyojitokeza ktk awamu ya 5 baada ya mwendazake kutumia katiba yetu mbovu na sheria zetu mbaya kuliyumbisha taifa. Hivyo tulitarajia yafuatayo...
Duuh! Yote hayo within 3 months
 
Tanzania raha Rais anaombwa kuwe na Katiba Mpya.hahaha wonders shall never end!.
Nchi nyingi zilitumia mtutu na kumwaga damu ili kudai Uhuru. Lkn Tanzania hizo hizo wonders zilitupatia uhuru bila kumwaga damu.

Kqma hilo la kudai Uhuru liliwezekana basi hata hili la katiba mpya linawezwkana.
 
Tulitegemea huyu rais aje na utatuzi wa mitanziko mikubwa iliyojitokeza ktk awamu ya 5 baada ya mwendazake kutumia katiba yetu mbovu na sheria zetu mbaya kuliyumbisha taifa. Hivyo tulitarajia yafuatayo
 
Duuh! Yote hayo within 3 months
Mkuu hapo gumu ni moja tu la katiba mpya. Kwenye hilo angetoa hata kauli ya kuonesha nia tu. Hajafanya hivyo.

Jingine ni hili la kubadilisha sheria. Tunampa muda.

Mengine hayo yana ugumu gani?
 
Nchi ya kudai tuu ...
huyu anadai hiki
Yule anadai kile ...
Hawa wanadai mishahara waongezwe ...
Hawa wanadai vyeo...
Hawa wanadai teuzi....
Hawa wanadai katiba...
Hawa wanadai sheria zimewaonea eti mfano wao ni Seth Harbinder Singh kaonewa daaah
 
Tulitegemea huyu rais aje na utatuzi wa mitanziko mikubwa iliyojitokeza ktk awamu ya 5 baada ya mwendazake kutumia katiba yetu mbovu na sheria zetu mbaya kuliyumbisha taifa. Hivyo tulitarajia yafuatayo:-

1. Abatilishe na kubadilisha sheria zinazowaweka watuhumiwa rumande kimabavu, mfano;- mashekhe, Harbinder Seth, Papaa Msofe, n.k

2. Aibadilishe katiba ili isitoe mwanya kwa mtu mmoja (rais) ama chama tawala kuharibu uchaguzi kama ilivyokuwa 2020.

3. Atoe tamko hata la kulaani tu kama sheria haimpi uwezo wa kuwatumbua kabisa Covid-19 waliopo bungeni. Lkn anaonekana kudemka ngoma ya mtangulizi wake. Nimeona alipokuwa Mwanza amemtambua Nusrat kama mbunge anayewakilisha vijana mkoa wa Singida na akapewa nafasi ya kutoa neno.

4. Ajitenge na makada wa chadema walionunuliwa na akina Bashiru na Polepole. Lkn naona bado anawapa uwaziri, uDC, n.k. Nadhani atawatumia huko mbeleni kwa staili zile zile za awamu ya 5.

5. Afanye teuzi kwa misingi ya weledi. Lkn naona anaangalia zaidi wale wanaoweza kumsogeza mbele kisiasa.

Ndiyo maana anaondoa wasiyo wake na anapachika walio wakwake. Akina Bashiru, Polepole, Heri James pamoja na katibu wa UVCCM amewatoa na anatia chachandu yake.

My take.
Kwa jinsi tunavyoenda, huyu rais wetu hana nia ya kubadilisha katiba na sheria kandamizi.

Fao la kujitoa umelisahau kuliweka.
 
Back
Top Bottom