Toka kwa Wananchi: Kero na vitendo vya kifisadi vinavyoendelea nchini vinavyotakiwa kufuatiliwa

Toka kwa Wananchi: Kero na vitendo vya kifisadi vinavyoendelea nchini vinavyotakiwa kufuatiliwa

sco na body ilipitisha wakandarasi wote wafanye kazi za usambazi wa umeme vikundi na kazi za matengenezo kwajir kuongeza wigo wa wateja ili tanesco wauze umeme kwa wateja na selikali iongeze kukusanya mapato ndio dhumun imebadilika badala kupewa vikundi izo kazi wanazifanya wahandishi wa shirika kinyemela mgongano wa masilai na ushirikiano wa wahasibu kutoa pesa kuwapa wahandishi kulipa mafundi na wao kuchukua Chao badala kulipa ktk account za vikundi kulipa Kodi. Ili watu wa rushwa na auditing wamelala aiwezekani pesa aionekani imetoka wapi analipwa Nani ktk account ipi. Na wapokeaji awa sainishwi ni mgongano wa masilai na wizi pia kupoteza mapato ya serikali. Imefikia kazi azina ufanisi mpaka kupunguza ku connect wateja kwa wingi. Wanalipwa mshahara na bado wanachukua pesa sio zao na ili mpaka ktk miradi ya rea udalali sugu sub contractor resposiblity 95% to provide all facility and to run the project personal before any payment any support any cooperation and to results and to deliver the job personal ili main contractor is not part of work because is not resposiblity. Kwaiyo watu wa idara rushwa na polisi mlifatilie kwa utafit na upelelezi wa kitergensia umakini kisomi mtayabaini Aya . Kwa mkurugenzi wa tanesco linakusu kufatilia na director wa rea na karibu mkuu wa wizara nishati na mwenyekit wa body rea na tanesco. Uzalendo muimu ni haki elimu utambuzi to investing thinking capacity to realize position thinking
 
uhamiaji watarudisha nyuma jitihada za Samia, hongo inayoendelea ya kuwanyanyasa wageni na wawekezaji kapitao kituo cha mikumi hasa wanapokuwa wanapita wakielekea kwenye barozi zao Dar ku renew working permit zao kwa kuwatoza badala ya kuwaelekeza na kuwasaidia ni janga nashauri Kamishina aifumue Uhamiaji na hasa kituo cha mikumi.
 
Ndugu wana JamiiForums,

Nchi yetu imetafunwa mno na ni wakati sasa tuseme imetosha. Tumsaidie Rais Magufuli na Serikali yake kuweza kuzifahamu kero zetu za yanayotusumbua kama Watanzania ambayo tungependa yafanyiwe kazi.

Karibuni sana.

MWONGOZO: Elezea jipu/kero yako na kama ina ufafanuzi wa kutosha (nani, wapi, lini, kivipi n.k) ukiambatana na nyaraka itapendeza zaidi.

Kero hizi zitachapwa na kupelekwa kwa mamlaka husika ili zifanyiwe ufuatiliaji.

Bado vijana wanahitaji kuamshwa kifikira hadi sasa juu ya katiba hali ni haki kwa kila mtanzania
 
Tupieni macho kwenye kuchagua vijana wa kujiunga na kozi za bomba la mafuta ghafi.

Kuna janjajanja ya wazi iliyogubikwa na usiri mkubwa.

Walipita kila vyuo na maeneo mbalimbali kuwashawishi vijana wasome online na wakifaulu wajiunge na kozi za bomba la mafuta ghafi.

Vijana wengi walijitoa na kupoteza muda wao kusoma online na wakafaulu vizuri sana lakini chaajabu dili zinaendelea kupigwa wajanja wameteka nyala zoezi.

Kwanini mungu huyu hawapi laana mafisadi wa aina hii? Wale tuliowategemea wawe watetezi wawanyonge wameamua kutunyonga.

Amini nawaapia mtaona kitakacho wapata.
 
Eleza kwa mapana. Yan malalamiko Yako yana mashiko lkn umeeleza kwa mafumbo A to Z
 
Tupieni macho kwenye kuchagua vijana wa kujiunga na kozi za bomba la mafuta ghafi.

Kuna janjajanja ya wazi iliyogubikwa na usiri mkubwa....
Hebu fafanua zaidi maana tunashindwa kuelewa kama hizo nafasi waliopewa ni kina nani
 
KERO kubwa kwa idara ya Maji kasulu, Maji yanayotoka bombani ni tope sio Maji. Either ni ubovu wa chujio lao au ni uzembe wa idara ya Maji.

Sijajua lengo lao ni nini hadi kutoa tope badala ya maji na bili zinakuja mwisho wa mwezi. Ombi kwa Mamlaka ya Maji na Mbunge wetu Mama Ndalichako liangalieni hili suala kabla ya mlipuko wa magonjwa
 
Ndugu wana JamiiForums,

Nchi yetu imetafunwa mno na ni wakati sasa tuseme imetosha. Tumsaidie Rais Magufuli na Serikali yake kuweza kuzifahamu kero zetu za yanayotusumbua kama Watanzania ambayo tungependa yafanyiwe kaz...
Unapigia mbuzi gitaa
 
Ninaona ripoti ya CAG isiwasilishwe hadharani. Inasababisha wananchi kuchukia serikali yao kwani mambo yanajirudia hatua hazichukuliwi
 
Back
Top Bottom