Vincenzo Jr
Platinum Member
- Sep 23, 2020
- 24,262
- 58,728
Kero yangu ni kwa nini wanatukatia umeme kila mudaðŸ˜ðŸ˜
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bado vijana wanahitaji kuamshwa kifikira hadi sasa juu ya katiba hali ni haki kwa kila mtanzaniaNdugu wana JamiiForums,
Nchi yetu imetafunwa mno na ni wakati sasa tuseme imetosha. Tumsaidie Rais Magufuli na Serikali yake kuweza kuzifahamu kero zetu za yanayotusumbua kama Watanzania ambayo tungependa yafanyiwe kazi.
Karibuni sana.
MWONGOZO: Elezea jipu/kero yako na kama ina ufafanuzi wa kutosha (nani, wapi, lini, kivipi n.k) ukiambatana na nyaraka itapendeza zaidi.
Kero hizi zitachapwa na kupelekwa kwa mamlaka husika ili zifanyiwe ufuatiliaji.
Mafanikio ya Rais Magufuli: Viva Rais Magufuli, viva Tanzania
Binafsi nimefurahishwa na kasi ya Rais Dkt. Magufuli. Naamini wapo pia wengi wanaoungana nami katika furaha hii. Rais Magufuli ameanza kwa kasi ambayo kama ataimaintain, Tanzania haimalizi miaka mitano itakuwa tayari ni nchi yenye kipato cha kati. Hata hivyo wapo baadhi yetu ambao wanakejeli...www.jamiiforums.com
Hebu fafanua zaidi maana tunashindwa kuelewa kama hizo nafasi waliopewa ni kina naniTupieni macho kwenye kuchagua vijana wa kujiunga na kozi za bomba la mafuta ghafi.
Kuna janjajanja ya wazi iliyogubikwa na usiri mkubwa....
Tunazo nyingi tu. Lakini nani yupo tayari kuzitatua? Wanazisoma na kuziacha kama zilivyo.Ina maana watanzania mwezi mzima wa Disemba hamna kero...
😎😎😎😎
Ndugu wana JamiiForums,
Nchi yetu imetafunwa mno na ni wakati sasa tuseme imetosha. Tumsaidie Rais Magufuli na Serikali yake kuweza kuzifahamu kero zetu za yanayotusumbua kama Watanzania ambayo tungependa yafanyiwe kazi...
DuuuTunazo nyingi tu. Lakini nani yupo tayari kuzitatua? Wanazisoma na kuziacha kama zilivyo.
HayaTunazo nyingi tu. Lakini nani yupo tayari kuzitatua? Wanazisoma na kuziacha kama zilivyo.
Unapigia mbuzi gitaaNdugu wana JamiiForums,
Nchi yetu imetafunwa mno na ni wakati sasa tuseme imetosha. Tumsaidie Rais Magufuli na Serikali yake kuweza kuzifahamu kero zetu za yanayotusumbua kama Watanzania ambayo tungependa yafanyiwe kaz...