Hatuwezi kujifananisha na Wenzetu ili tuone kama Drc Mali na Burkina.
Ndio maana nimesema kwetu sisi angalao tunauafazaliUnachofanya ni kufurahia kwa sababu wewe una D wakati mwenzako an F pasipo kuangilia katika darasa hilo hilo kuna wengine wana A+
Hi tabia ya kupiga nyundo kulenga msumari sio tabia ya kupendekeza.Kwa dhana yako hiyo ina maana kwa miaka 30 Chadema haijapata mwenyekiti wa maana kwa sababu hawana maendeleo yoyote hata jengo tu!
Kwanini tusijipime na Waafrika wenzetu kwanza halafu ndio tuangalie Mashariki
Ndio maana nimesema kwetu sisi angalao tunauafazali
Wakati niko mdogo hali ilikuwa ni mbaya zaidi
Nyerere alijenga na kuboronga baada ya ile Siasa aliyotoka nayo China aliyotukazimisha nayo kufeli
Mwinyi alijenga na kuboronga lakini alitaka Nchi iachane na Ujamaa
Mkapa alijenga kwa kuifungua Nchi ili Wawekezaji walete mitaji yao
Kikwete ndie Raisi bora sana kwa Maendeleo katika kipindi chake Uchumi wa Mtaani ulipiga hatua kubwa
Magufuli alikuja kubomoa Demokrasia haki za binadamu Katiba na Sheria na mambo mengi ya kutisha
Kipimo cha Kiongozi au Rais ni kuwatoa wale anaowaongoza kwenye matatizo, tena kuwatoa haraka.
Sasa basi, toka tumepata uhuru miaka 60 iliyopita tumepata marais wa 5, huyu ni wa sita. Wote hawa tukiwapima kwenye kipimo cha kututoa kwenye matatizo yetu wanapwaya vibaya.
Bado raia sisi ni maskini wa kutupwa, juzi tumeingia kwenye uchumi wa kati wa chini ambao bado ni umaskini.
Nchi bado utapiamlo ni tatizo kubwa. Tena nasikia kabla ya uhuru tulikuwa ndiyo wauzaji wakubwa wa chakula Africa, kwenye hiki tunerudi nyuma. Elimu bado ni tatizo kubwa, wanaofika sekondari hawafiki hata 30%. Afya , maji na indicator zote za maendeleo nchi yetu bafo ipo nyuma sana.
Ni kweli kuna hatua tumepiga toka uhuru lakini sidhani kama ni sababu ya uongozi bora bali ni natural course ya mambo, si sababu ya uelewa wa viongozi. Baada ya muda kuna hatua mtu utapiga.
Tukiwapima Marais wetu kwenye kazi yao kubwa, kututoa kwenye umaskini, wamefeli vibaya sana. Ima maana toka uhuru hatujawahi pata Rais wa maana?
Uongozi unaounda sera na mambo mengine ndiyo huleta maendeleo. Hata ufanye kazi kwa bidii ya mwisho, na hata uwe na ubunifu gani, kama nchi haina sera za kukuwezesha kuendelea hutaendelea kamwe.Maendeleo yanakuja kwa kufanya kazi na ubunifu sio kuongea ongea
Hao Waasia walijikita kwenye Elimu sisi hizi Elimu zetu za kukaririshwa bila kuelewa ndio zinazotuangamiza hata ukikaa na Wamalaya (Malaysians) mindset zao tofauti kabisa na sisi huwezi kumsikia Mmalaya akiongelea Ngono kila saa au ukute akihadisia jinsi Demu fulani lilivyojaaliwa Chura.Tunatakiwa tujipime na wale tuliokuwa nao sawa na sawa wametuacha mbali kabisa na sio hao vilaza wengine ambao nao wameshindwa kwenda popote. Hao wengine walioshindwa zaidi yetu waache wao wajilinganishe na sisi.
Binadamu hata ukimtawaza baada ya haja atakulalamika vidole vina sugu.Unajua maana ya Taifa?
Lini tumekuwa Taifa?
Ili upige maendeleo lazima kwanza uwezekano kuwa Taifa..
Marais karibu wote ukimtoa Magufuli wamefanya vizuri kujenga Taifa...
Sasa tunaweza kujiita ni Taifa...
Tumepata Uhuru hatuna lugha yetu wenyewe ya kusomea..
Ndo Nyerere akaanzisha Kiswahili Kwa elimu ya msingi..
Tumepata Uhuru bado watu Wana akili za kikabila...ndo angalau siku hizi tunaoana makabila tofauti ..
Wasomi hatuna...angalau siku hizi..
Kuna kujenga Taifa na kuna kutafuta maendeleo ya Taifa...
Sisi tumejenga Taifa
Mimi nikiangalia maendeleo tuliyopata kwenye baadhi ya Sekta tokea nikiwa Shule ya Msingi ni Maendeleo makubwa labda tuseme 'Pace' ndio ndogoNi mwendo wa hatua moja mbele, mbili kurudi nyuma.
Kama wananchi wenyewe ni kama mtoa thread Red Giant kweli utawalaumu viongozi wetu.Kipimo cha Kiongozi au Rais ni kuwatoa wale anaowaongoza kwenye matatizo, tena kuwatoa haraka.
Sasa basi, toka tumepata uhuru miaka 60 iliyopita tumepata marais wa 5, huyu ni wa sita. Wote hawa tukiwapima kwenye kipimo cha kututoa kwenye matatizo yetu wanapwaya vibaya.
Bado raia sisi ni maskini wa kutupwa, juzi tumeingia kwenye uchumi wa kati wa chini ambao bado ni umaskini.
Nchi bado utapiamlo ni tatizo kubwa. Tena nasikia kabla ya uhuru tulikuwa ndiyo wauzaji wakubwa wa chakula Africa, kwenye hiki tunerudi nyuma. Elimu bado ni tatizo kubwa, wanaofika sekondari hawafiki hata 30%. Afya , maji na indicator zote za maendeleo nchi yetu bafo ipo nyuma sana.
Ni kweli kuna hatua tumepiga toka uhuru lakini sidhani kama ni sababu ya uongozi bora bali ni natural course ya mambo, si sababu ya uelewa wa viongozi. Baada ya muda kuna hatua mtu utapiga.
Tukiwapima Marais wetu kwenye kazi yao kubwa, kututoa kwenye umaskini, wamefeli vibaya sana. Ima maana toka uhuru hatujawahi pata Rais wa maana?
Nchi nyingi ulizozitaja hapo zina mitaji ya USA (South Korea, Singapore), China (Vietnam, Singapore, Malaysia).Ukitika kupima maendeleo yetu tujipime na nchi kama Singapore,Vietnam, Malysia na Korea ya kusini ambazao mwaka 1960 wakati tunapata huru tulikuwa sawa nazo kimaendeleo ndipo utajua jinsi tunapiga tu mark time kwa miaka 60.
Unajua maana ya Taifa?
Lini tumekuwa Taifa?
Ili upige maendeleo lazima kwanza uwezekano kuwa Taifa..
Marais karibu wote ukimtoa Magufuli wamefanya vizuri kujenga Taifa...
Sasa tunaweza kujiita ni Taifa...
Tumepata Uhuru hatuna lugha yetu wenyewe ya kusomea..
Ndo Nyerere akaanzisha Kiswahili Kwa elimu ya msingi..
Tumepata Uhuru bado watu Wana akili za kikabila...ndo angalau siku hizi tunaoana makabila tofauti ..
Wasomi hatuna...angalau siku hizi..
Kuna kujenga Taifa na kuna kutafuta maendeleo ya Taifa...
Sisi tumejenga Taifa
Mbaya zaidi taifa ni kiini macho tu, illusion. Si kitu cha kujisifia kujenga. Baada ya miaka 50 utashangaa hakuna nchi inaitwa Tanzania. kama ambavyo Tz haikuwepo 60years zilizopita.Unajua maana ya Taifa?