Toka tumepata uhuru hadi leo, hatujawahi pata Rais wa maana!

Kipimo cha Kiongozi au Rais ni kuwatoa wale anaowaongoza kwenye matatizo, tena kuwatoa haraka.

Sasa basi, toka tumepata uhuru miaka 60 iliyopita tumepata marais wa 5, huyu ni wa sita. Wote hawa tukiwapima kwenye kipimo cha kututoa kwenye matatizo yetu wanapwaya vibaya.

Bado raia sisi ni maskini wa kutupwa, juzi tumeingia kwenye uchumi wa kati wa chini ambao bado ni umaskini.
Nchi bado utapiamlo ni tatizo kubwa. Tena nasikia kabla ya uhuru tulikuwa ndiyo wauzaji wakubwa wa chakula Africa, kwenye hiki tunerudi nyuma. Elimu bado ni tatizo kubwa, wanaofika sekondari hawafiki hata 30%. Afya , maji na indicator zote za maendeleo nchi yetu bafo ipo nyuma sana.

Ni kweli kuna hatua tumepiga toka uhuru lakini sidhani kama ni sababu ya uongozi bora bali ni natural course ya mambo, si sababu ya uelewa wa viongozi. Baada ya muda kuna hatua mtu utapiga.

Tukiwapima Marais wetu kwenye kazi yao kubwa, kututoa kwenye umaskini, wamefeli vibaya sana. Ima maana toka uhuru hatujawahi pata Rais wa maana?
Ukitaka kujua kuongoza na kuleta maendeleo kwa jinsi unavyowaza ni mchakato, jiulize wewe katika familia yako umefanikiwa kwa kiasi gani ingawa ni familia tu, Kama umefanikiwa ulichukua muda gani?
 
Ni kiwango kidogo cha umaskini.

Huwa yanapatikana kwa;
Uhuru mkubwa wa kuchagua Kiongozi unayemtaka, huduma bora za afya, elimu, maji, nishati n.k, miondombinu bora.
Bado hujanipa jibu mkuu define neno "maendeleo " sijasema useme afya sijui miundombinu n.k
 
Ukitaka kujua kuongoza na kuleta maendeleo kwa jinsi unavyowaza ni mchakato, jiulize wewe katika familia yako umefanikiwa kwa kiasi gani ingawa ni familia tu, Kama umefanikiwa ulichukua muda gani?
Kama nikishindwa kuiletea familia yangu maendeleo ndani ya miaka 60, nakuwa nimefeli vibaya sana.
 
Kwenye familia yako unakusanya kodi??
Una mbuga za wanyama, bandari, madini?
Unaweza kukopa bila kuwa na dhamana?
Ukitaka kujua kuongoza na kuleta maendeleo kwa jinsi unavyowaza ni mchakato, jiulize wewe katika familia yako umefanikiwa kwa kiasi gani ingawa ni familia tu, Kama umefanikiwa ulichukua muda gani?
 
Maendeleo ni raia wengi kuwa na hali nzuri kiuchumi au juu ya mstari wa umaskini( $1 kwa siku)
Bado hujanipa jibu mkuu define neno "maendeleo " sijasema useme afya sijui miundombinu n.k
 
Mleta uzi anaongelea maendeleo sio matatizo tu. Anaongelea viongozi wako kwenda kutibiwa Marekani wakiacha hospitali zao hapa. Haongelei mabishano ya kodi,aina za bima, ushoga, uhamiaji, abortion, mazingira n.k kati ya Republicans na Democrats.

Umewahi kusikia wagombea Urais, ugavana, useneta wakiwaambia wananchi wa Marekani watawajengea shule, vyuo, hospitali,barabara na mabomba ya maji?? Umewahi kusikia wakisema watawanunulia ndege??
Umewahi kusikia wakisema watawajengea jengo la kijiji??
Pambaf zako! Marekani toka uhuru wake ina marais wangapi mpaka sasa? Na je wameweza kumaliza matatizo yote ya wamarekani?
 
Kipimo cha Kiongozi au Rais ni kuwatoa wale anaowaongoza kwenye matatizo, tena kuwatoa haraka.

Sasa basi, toka tumepata uhuru miaka 60 iliyopita tumepata marais wa 5, huyu ni wa sita. Wote hawa tukiwapima kwenye kipimo cha kututoa kwenye matatizo yetu wanapwaya vibaya.

Bado raia sisi ni maskini wa kutupwa, juzi tumeingia kwenye uchumi wa kati wa chini ambao bado ni umaskini.

Nchi bado utapiamlo ni tatizo kubwa. Tena nasikia kabla ya uhuru tulikuwa ndiyo wauzaji wakubwa wa chakula Afrika, kwenye hiki tunerudi nyuma. Elimu bado ni tatizo kubwa, wanaofika sekondari hawafiki hata 30%. Afya , maji na indicator zote za maendeleo nchi yetu bafo ipo nyuma sana.

Ni kweli kuna hatua tumepiga toka uhuru lakini sidhani kama ni sababu ya uongozi bora bali ni natural course ya mambo, si sababu ya uelewa wa viongozi. Baada ya muda kuna hatua mtu utapiga.

Tukiwapima Marais wetu kwenye kazi yao kubwa, kututoa kwenye umaskini, wamefeli vibaya sana. Ima maana toka uhuru hatujawahi pata Rais wa maana?
Ukiona hivi, juwa tatizo ni mfumo mbovu...institutions zetu ni mbovu!
 
Pamoja na mapungufu yake.. nadhani Mkapa alikuwa kiongozi mwenye vision. Japo sipendi matabia yake mengi, lakin nampa credit mbele ya wenzake
 
Kipimo cha Kiongozi au Rais ni kuwatoa wale anaowaongoza kwenye matatizo, tena kuwatoa haraka.

Sasa basi, toka tumepata uhuru miaka 60 iliyopita tumepata marais wa 5, huyu ni wa sita. Wote hawa tukiwapima kwenye kipimo cha kututoa kwenye matatizo yetu wanapwaya vibaya.

Bado raia sisi ni maskini wa kutupwa, juzi tumeingia kwenye uchumi wa kati wa chini ambao bado ni umaskini.

Nchi bado utapiamlo ni tatizo kubwa. Tena nasikia kabla ya uhuru tulikuwa ndiyo wauzaji wakubwa wa chakula Afrika, kwenye hiki tunerudi nyuma. Elimu bado ni tatizo kubwa, wanaofika sekondari hawafiki hata 30%. Afya , maji na indicator zote za maendeleo nchi yetu bafo ipo nyuma sana.

Ni kweli kuna hatua tumepiga toka uhuru lakini sidhani kama ni sababu ya uongozi bora bali ni natural course ya mambo, si sababu ya uelewa wa viongozi. Baada ya muda kuna hatua mtu utapiga.

Tukiwapima Marais wetu kwenye kazi yao kubwa, kututoa kwenye umaskini, wamefeli vibaya sana. Ima maana toka uhuru hatujawahi pata Rais wa maana?
Ukiona hivyo ujuwe,mtizamo wako ni hasi,sio chanya.Maendeleo tunayaona,hayahitaji tochi.
 
Ukitika kupima maendeleo yetu tujipime na nchi kama Singapore,Vietnam, Malysia na Korea ya kusini ambazao mwaka 1960 wakati tunapata huru tulikuwa sawa nazo kimaendeleo ndipo utajua jinsi tunapiga tu mark time kwa miaka 60.
Watu wana ropoka pasipo kuangalia time frame,maendeleo lazima yaendane na Muda kwa resource's tulizonazo tulitakiwa kuwa kama hizo Nchi.Kikwete alikuwa amisha anza kuonesha mwanga kidogo Magufuli ndio akaja kuharibu kabisa kila kitu.

Matatizo haya yote yanatokana na Siasa yetu mbovu ambayo inatokana na Wananchi wengi wajinga-umaskini wa fikra bado ni tatizo sana.
 
Itabadilisha pakubwa namna viongozi wetu wanavyopatikana ambalo ni jambo muhimu sana kwa sababu wao ndio wanahusika kutunga sheria,sera,na kuzisimamia. Wao ndio wanahusika kuingia na kuivunja mikataba.Wao ndio wanasimamia ujenzi wa miondombinu.Wao ndio wanaosimamia ukusanyaji wa kodi.
Mbona hii ya sasa haifuatwi kwenye hayo mazuri ikija katiba mpya itabidilisha nini
 
Singapore, Vietnam na Malysia zina rasilimali chache zaidi yetu.Labda robo ya tulizo nazo!
Watu wana ropoka pasipo kuangalia time frame,maendeleo lazima yaendane na Muda kwa resource's tulizonazo tulitakiwa kuwa kama hizo Nchi.Kikwete alikuwa amisha anza kuonesha mwanga kidogo Magufuli ndio akaja kuharibu kabisa kila kitu.

Matatizo haya yote yanatokana na Siasa yetu mbovu ambayo inatokana na Wananchi wengi wajinga-umaskini wa fikra bado ni tatizo sana.
 
Kuna kitu nimekiona kina ukweli kwenye hiyo siredi yako yenye jicho la tatu.......

Hatujajua nchi yetu inataka nini, kila Rais aliyekuja alifanya mambo kwa maono yake tu
 
Back
Top Bottom