Sio rahisi kuyapata kwa staili hii ya KILA ajae huja na yakeMaendeleo Ni mchakato. Kuna siku yatatimia kwa kiasi chake hayo unayotoka.

Uko na upuuzi sanaKipimo cha Kiongozi au Rais ni kuwatoa wale anaowaongoza kwenye matatizo, tena kuwatoa haraka.
Sasa basi, toka tumepata uhuru miaka 60 iliyopita tumepata marais wa 5, huyu ni wa sita. Wote hawa tukiwapima kwenye kipimo cha kututoa kwenye matatizo yetu wanapwaya vibaya.
Bado raia sisi ni maskini wa kutupwa, juzi tumeingia kwenye uchumi wa kati wa chini ambao bado ni umaskini.
Nchi bado utapiamlo ni tatizo kubwa. Tena nasikia kabla ya uhuru tulikuwa ndiyo wauzaji wakubwa wa chakula Afrika, kwenye hiki tunerudi nyuma. Elimu bado ni tatizo kubwa, wanaofika sekondari hawafiki hata 30%. Afya , maji na indicator zote za maendeleo nchi yetu bafo ipo nyuma sana.
Ni kweli kuna hatua tumepiga toka uhuru lakini sidhani kama ni sababu ya uongozi bora bali ni natural course ya mambo, si sababu ya uelewa wa viongozi. Baada ya muda kuna hatua mtu utapiga.
Tukiwapima Marais wetu kwenye kazi yao kubwa, kututoa kwenye umaskini, wamefeli vibaya sana. Ima maana toka uhuru hatujawahi pata Rais wa maana?
Tungendelea na awamu ya tano tungefilisika kabisaAwamu ya tano tulipiga hatua kubwa mno ila awamu ya sita nchi inaenda kuwa ya asali na maziwa hela itajaa mtaani kutokana na mavuno mazuri ya rasilimali zetu yakiwemo madini na wawekezaji kujaa bongo na kufanya ajira kuwa nyingi.
Kumbuka Ubaguzi wa rangi? Basi ulikuwa hadi kwenye ElimuSouth Africa imepata uhuru juzi tu, tizama maendeleo yao, tena baada ya uhuru maendeleo yameslow down mpaka wanapitwa na Nigeria.... Tatizo uongozi, kweli hatujapata watu wenye akili na maarifa ya kwenda sambamba na speed ya dunia.
Changamoto zetu zinafananaUnajipimaje na mjinga mwenzio,kipofu na kipofu mwisho ni shimoni.
Hahahaaaaa, ndiyo wakina Zuma. Hata kiingereza hafahamu na nchi inaongea kiingereza, anaishia kuiba kijinga.Kumbuka Ubaguzi wa rangi? Basi ulikuwa hadi kwenye Elimu
Sasa unamtoa mpiganaji wa Umkhonto we Sizwe porini Msumbiji unakuja kumpoza na Shirika kubwa na factors nyingine nyingi
Tungendelea na awamu ya tano tungefilisika kabisaAwamu ya tano tulipiga hatua kubwa mno ila awamu ya sita nchi inaenda kuwa ya asali na maziwa hela itajaa mtaani kutokana na mavuno mazuri ya rasilimali zetu yakiwemo madini na wawekezaji kujaa bongo na kufanya ajira kuwa nyingi.
Unachuki na jk haikusaidii.Jk ndie aliyefanya bei ya vitu iwe chini watz wamudu kununua vitu.Jk ndie aliyepunguza nyumba za nyasi nchini.Safari zake za nje zilileta tija ikiwemo Wawekezaji walioleta ajira na kodi.Kikwete wako hakuwa mzalendo. Alikuwa tayari nchi iuzwe kwa Wachina. Ujambazi mitaani kwake sawa. Maajali ma njia panda, sawa. Mtoto wake kuwa celebrity tajiri, sawa. Ma umeme na ma maji kukatika, sawa ili mradi yeye anapata.
Mahuduma ya afya duni kwake sawa, ili mradi yeye anaenda kufanyiwa surgery ya tezi dume na medical check up John Hopkins Hospital, Maryland, Marekani.
Mameneja wa NMB wanasema ilikuwa ukiona land cruiser la Ikulu limekuja benki ujue limebeba masanduku ya madafu wabadilishiwe wapewe dola na ujue kesho yake JK anaamsha. Kwenda kuomba misaada ya vyandarua, na ume spend kugharamia safari na msafara hela nyingi kuliko thamani ya vyandarua unavyoenda kuomba!
No scrap of patriotism. Uzalendo sifuri. To hell with that man Kikwete.
South Afrika itaporomoka sana na hata inaweza kuingia kwenye Vita vya wenyewe kwa wenyeweHahahaaaaa, ndiyo wakina Zuma. Hata kiingereza hafahamu na nchi inaongea kiingereza, anaishia kuiba kijinga.
Raisi utengeneza mazingira ya wwe kuweza jiletea maendeleo.Ndio wafanyavyo walioendelea.Maendeleo yanaanzia kwako binafsi, kama huwezo kubadilisha maisha yako hakuna rais atakayekuletea maendeleo.
Bwana mdogo fanya kazi upate mlo wa siku.Kipimo cha Kiongozi au Rais ni kuwatoa wale anaowaongoza kwenye matatizo, tena kuwatoa haraka.
Sasa basi, toka tumepata uhuru miaka 60 iliyopita tumepata marais wa 5, huyu ni wa sita. Wote hawa tukiwapima kwenye kipimo cha kututoa kwenye matatizo yetu wanapwaya vibaya.
Bado raia sisi ni maskini wa kutupwa, juzi tumeingia kwenye uchumi wa kati wa chini ambao bado ni umaskini.
Nchi bado utapiamlo ni tatizo kubwa. Tena nasikia kabla ya uhuru tulikuwa ndiyo wauzaji wakubwa wa chakula Afrika, kwenye hiki tunerudi nyuma. Elimu bado ni tatizo kubwa, wanaofika sekondari hawafiki hata 30%. Afya , maji na indicator zote za maendeleo nchi yetu bafo ipo nyuma sana.
Ni kweli kuna hatua tumepiga toka uhuru lakini sidhani kama ni sababu ya uongozi bora bali ni natural course ya mambo, si sababu ya uelewa wa viongozi. Baada ya muda kuna hatua mtu utapiga.
Tukiwapima Marais wetu kwenye kazi yao kubwa, kututoa kwenye umaskini, wamefeli vibaya sana. Ima maana toka uhuru hatujawahi pata Rais wa maana?
Imeendelea lakini matatizo hayajaisha still there is unemployment still there are people who are extremely poor still there is high mortality rate and criminals.so matatizo hayawez ishaMarekani ni nchi iliyoendelea.
Hata Nyerere?"The beautful ones are not yet born"
Sasa tufanyeje?Kipimo cha Kiongozi au Rais ni kuwatoa wale anaowaongoza kwenye matatizo, tena kuwatoa haraka.
Sasa basi, toka tumepata uhuru miaka 60 iliyopita tumepata marais wa 5, huyu ni wa sita. Wote hawa tukiwapima kwenye kipimo cha kututoa kwenye matatizo yetu wanapwaya vibaya.
Bado raia sisi ni maskini wa kutupwa, juzi tumeingia kwenye uchumi wa kati wa chini ambao bado ni umaskini.
Nchi bado utapiamlo ni tatizo kubwa. Tena nasikia kabla ya uhuru tulikuwa ndiyo wauzaji wakubwa wa chakula Afrika, kwenye hiki tunerudi nyuma. Elimu bado ni tatizo kubwa, wanaofika sekondari hawafiki hata 30%. Afya , maji na indicator zote za maendeleo nchi yetu bafo ipo nyuma sana.
Ni kweli kuna hatua tumepiga toka uhuru lakini sidhani kama ni sababu ya uongozi bora bali ni natural course ya mambo, si sababu ya uelewa wa viongozi. Baada ya muda kuna hatua mtu utapiga.
Tukiwapima Marais wetu kwenye kazi yao kubwa, kututoa kwenye umaskini, wamefeli vibaya sana. Ima maana toka uhuru hatujawahi pata Rais wa maana?
Walikua sawa kukutumbua na vyeti feki vyakoIli tuwe na maendeleo ni bora tuajiri viongozi toka nje hata kama watalipwa pesa nyingi.
Mfano Rais tunaajiri toka israel.
Mawaziri toka india,japan,uk,kenya nk ili tupate cream tuchanganye changanye.
Sio mimi tu, mamilioni ya Watanzania wanachukia kwa uchungu dalili za kurudi mauza uza ya enzi za JK.Unachuki na jk haikusaidii.Jk ndie aliyefanya bei ya vitu iwe chini watz wamudu kununua vitu.Jk ndie aliyepunguza nyumba za nyasi nchini.Safari zake za nje zilileta tija ikiwemo Wawekezaji walioleta ajira na kodi.