Toka tumepata uhuru hadi leo, hatujawahi pata Rais wa maana!

Pamoja na mapungufu yake.. nadhani Mkapa alikuwa kiongozi mwenye vision. Japo sipendi matabia yake mengi, lakin nampa credit mbele ya wenzake
Mkapa mimi naona ni moja ya marais wa ovyo kabisa. Ule ukuaji wa uchumi unaosemekana ulitokea kipindi chake ilikuwa ni sababu ya kuuza mali za umma.

Alifanya ubinafsishaji wa hovyo na kuzalisha mabepari uchwara. Mbaya zaidi akafanya ufisadi kwa kujimilikisha mgodi. Mkapa alikuwa mtu wa ovyo tu. Japo kama nilivyosema, hata mtu wa hovyo akikaa ikulu miaka 10 lazima kuna jambo jema litafanywa.
 
Fahamu asilimia 26 au Watanzania milioni 15 wanaishi katika lindi la umaskini uliotopea.
Hapo ni kabla hatujazungumza matatizo mengine mengi ya kudumu kwa wafanyakazi,wanafunzi, afya, kilimo n.k
Ukiona hivyo ujuwe,mtizamo wako ni hasi,sio chanya.Maendeleo tunayaona,hayahitaji tochi.
 
Haya
Kipimo cha Kiongozi au Rais ni kuwatoa wale anaowaongoza kwenye matatizo, tena kuwatoa haraka.

Sasa basi, toka tumepata uhuru miaka 60 iliyopita tumepata marais wa 5, huyu ni wa sita. Wote hawa tukiwapima kwenye kipimo cha kututoa kwenye matatizo yetu wanapwaya vibaya.

Bado raia sisi ni maskini wa kutupwa, juzi tumeingia kwenye uchumi wa kati wa chini ambao bado ni umaskini.

Nchi bado utapiamlo ni tatizo kubwa. Tena nasikia kabla ya uhuru tulikuwa ndiyo wauzaji wakubwa wa chakula Afrika, kwenye hiki tunerudi nyuma. Elimu bado ni tatizo kubwa, wanaofika sekondari hawafiki hata 30%. Afya , maji na indicator zote za maendeleo nchi yetu bafo ipo nyuma sana.

Ni kweli kuna hatua tumepiga toka uhuru lakini sidhani kama ni sababu ya uongozi bora bali ni natural course ya mambo, si sababu ya uelewa wa viongozi. Baada ya muda kuna hatua mtu utapiga.

Tukiwapima Marais wetu kwenye kazi yao kubwa, kututoa kwenye umaskini, wamefeli vibaya sana. Ima maana toka uhuru hatujawahi pata Rais wa maana?
Haya ,Rais mzuri ,ni Mbowe au Lissu.Tusubiri tuone.
 
Tangu vizazi na, vizazi hatujawahi pata vizazi korofi kama nyie
 
Tungekuwa na msingi na kujua tunaelekea wapi, ingefanyika analysis ya kujua chanzo kikubwa cha mapato cha wananchi, baada ya kujua ni 80% kilimo......budget na uwekezaji huko ungekuwa mkubwa kuanzia pembejeo bora, vifaa bora vya kilimo, Vifaa bora na uwekezaji kwenye mbegu bora za mifugo......sasa Nyerere alijenga viwanda, Mkapa akauza.......
 
Watu wana ropoka pasipo kuangalia time frame,maendeleo lazima yaendane na Muda kwa resource's tulizonazo tulitakiwa kuwa kama hizo Nchi.Kikwete alikuwa amisha anza kuonesha mwanga kidogo Magufuli ndio akaja kuharibu kabisa kila kitu.

Matatizo haya yote yanatokana na Siasa yetu mbovu ambayo inatokana na Wananchi wengi wajinga-umaskini wa fikra bado ni tatizo sana.
Bandari ya Bagamoyo na mradi wa gesi vilisimama kabisa kipindi cha Magufuli,
 
Kwa dhana yako hiyo ina maana kwa miaka 30 Chadema haijapata mwenyekiti wa maana kwa sababu hawana maendeleo yoyote hata jengo tu!
mada ni pana sana ila kwa utashi wako unaipeleka unakotaka wewe kwenye uchama
maendeleo bado kwa hali hii
 
Itabadilisha pakubwa namna viongozi wetu wanavyopatikana ambalo ni jambo muhimu sana kwa sababu wao ndio wanahusika kutunga sheria,sera,na kuzisimamia. Wao ndio wanahusika kuingia na kuivunja mikataba.Wao ndio wanasimamia ujenzi wa miondombinu.Wao ndio wanaosimamia ukusanyaji wa kodi.
Hoja yangu ni kwamba mambo mengi mabaya yaliyotokea yalikuwa kinyume na katiba ya sasa hivyo hata ikija hiyo mpya kama watu hawataiheshimu ni kazi bure tu. Kwa Tanzania wakuu wa vyombo vya ulinzi wanateuliwa na Rais na hii haiwezi kubadilika hata ikija katiba mpya, marekani na ulaya pia wakuu wa hivyo vyombo vya usalama wanateuliwa na wakuu wa nchi ila utofauti wetu na wao ni kwamba wao wanafata sheria na sio mtu hata kama amewateua.
 
Kipimo cha Kiongozi au Rais ni kuwatoa wale anaowaongoza kwenye matatizo, tena kuwatoa haraka.

Sasa basi, toka tumepata uhuru miaka 60 iliyopita tumepata marais wa 5, huyu ni wa sita. Wote hawa tukiwapima kwenye kipimo cha kututoa kwenye matatizo yetu wanapwaya vibaya.

Bado raia sisi ni maskini wa kutupwa, juzi tumeingia kwenye uchumi wa kati wa chini ambao bado ni umaskini.

Nchi bado utapiamlo ni tatizo kubwa. Tena nasikia kabla ya uhuru tulikuwa ndiyo wauzaji wakubwa wa chakula Afrika, kwenye hiki tunerudi nyuma. Elimu bado ni tatizo kubwa, wanaofika sekondari hawafiki hata 30%. Afya , maji na indicator zote za maendeleo nchi yetu bafo ipo nyuma sana.

Ni kweli kuna hatua tumepiga toka uhuru lakini sidhani kama ni sababu ya uongozi bora bali ni natural course ya mambo, si sababu ya uelewa wa viongozi. Baada ya muda kuna hatua mtu utapiga.

Tukiwapima Marais wetu kwenye kazi yao kubwa, kututoa kwenye umaskini, wamefeli vibaya sana. Ima maana toka uhuru hatujawahi pata Rais wa maana?
Naunga mkono hoja, hatuwahi kupata raisi wa maana na inawezekana tusipate kabisa
 
Unajua South Korea ina Idadi ya Watu sawa na Tanzania,ila ukubwa wa Nchi Tanzania ina KM za mraba 945,087 ambayo ni 30 Duniani kwa ukubwa wa eneo na South Korea ina KM za mraba 100,210 ambayo ni ya 107 Duniani kieneo-hii maana yake ni kuwa South Korea inaingia Mara 9 kwa Tanzania.

Twende kiuchumi sasa,Tanzania GDP (nominal) ni USD (Million) 65,919 na South Korea ni USD (Million) 1,806,707.Uchumi wa S.K ni Mara 27 ya Uchumi wa Tanzania hizo takwimu ni kulingana na estimates za Mwaka 2021.

Njoo kwenye Natural resources tulizo nazo hao South Korea tunawazidi Mara 1000,sasa tuambizane ukweli hapo Tatizo sio Bongo zetu zinazopelekea kuwa na Siasa mbovu-mwisho kuwa na viongozi wabovu???
 
Back
Top Bottom